Mpuuzi mwenyewe.Umeshawahi kuona namtukana mtu.??Ni jibu kwa hoja lakini usiniiye mpuuzi. Sasa mpuuzi ni wewe mwenyewe
Hao polis ni vyema wangewashitaki kwenye Mahakama za kimataifa The Hague ili iwe fundisho waache kutumiki na ccm kunyanyasa wapinzani .Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA,Freeman Mbowe amesema chama chake kimechoshwa na kukamatwa kwa Wabunge wake kwa hila za kisiasa. Akihojiwa na ITV,Mbowe amesema chama chake kinalaani kukamatwa na kudhalilishwa kwa Wabunge wake.
Mbowe amesema chama chake kinalaani hila zote na kuitaka Serikali itende haki hasa kwenye uchaguzi wa Meya wa Dar es Salaam. Leo nyumba ya Mbunge wa Kawe Halima Mdee imekaguliwa na polisi wanaosemwa kuwa walikuwa wakisaka nyaraka.
Mbunge Mdee amedai kuwa Mbunge wa Ukonga,Mwita Mwakwabe amekamatwa na polisi. Pia,Mbunge Lijualikali wa Kilombero amekamatwa na polisi.
Magufuli alianza vizuri lakini ghafra kageuka na kuanza kuwa Dikteta , asipokanywa mapema lazima atakuja kuwa Kama msevenUnajua Chadema siwaelewi mwanzo mlisema Magufuli anatekeleza sera za Chadema hata miezi sita bado mmeishaanza kuchoka daah!!..
Jk mlisema rais dhaifu hafai kaja Magufuli ambaye mnasema kainga mambo ya Chadema anafanya yake mnalia lia kuwa mmechoka daah!!.
Kwa mfano Mbowe unasema umechoka unataka Magufuli hawafanyie nini?
Mnamkanya vipi wakati mnasema anatekeleza sera za Chadema.Magufuli alianza vizuri lakini ghafra kageuka na kuanza kuwa Dikteta , asipokanywa mapema lazima atakuja kuwa Kama mseven
ni kweli Mkuu matamko na kulaani havisaidii kitu kwani ccm hawaogopi Laana , kitu pekee ambacho kinaweza kuwatikisa ccm ni kuwapeleka kwenye Mahakama ya kimataifa The Hague polis wote walioshiriki unyanyasaji washitakiwe na Yule mama aliyesababisha hili sakata na yeye ashitakiwe ndipo italeta haki za binadamu ,Mbowe amekuwa dhaifu mno, kama uongozi wa chama umemshinda aachie damu changa akina Mnyika. Kiongozi wa chama cha upinzani hatakiwi kuwa anakubali kila dhuluma anayofanyiwa na chama tawala na polisisiemu na kuishia kutoa matamko yasiyo na tija.
Itisha maandamano Mbowe, Lijualikali amekataliwa kupiga kura, huku Dar wabunge wanadhalilishwa wewe unaleta matamko yasiyo na tija. Hakuna hata tamko moja limeleta faida. If you cant beat them join them achia chama watu wa kazi
sasa kawa Dikteta mkubwa hatekelezi chochote. Alianza vizuri kalewa madaraka anaenda kuiharibu kupita marais wote tokea 1961Mnamkanya vipi wakati mnasema anatekeleza sera za Chadema.
Kwa hiyo kama amechoka sisi tufanye nini sasa? Mwambie aende Dubai likizo kupumzika! Halafu pia mwambie awaache Askari wetu wafanye kazi yao, Askari wetu wana uwezo wa kuingia popote pale ndani ya ardhi ya TanZania hivyo hata yeye Mbowe pia ajitayarishe tu siku wakimpigia hodi atoe ushirikiano!
Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA,Freeman Mbowe amesema chama chake kimechoshwa na kukamatwa kwa Wabunge wake kwa hila za kisiasa. Akihojiwa na ITV,Mbowe amesema chama chake kinalaani kukamatwa na kudhalilishwa kwa Wabunge wake.
Mbowe amesema chama chake kinalaani hila zote na kuitaka Serikali itende haki hasa kwenye uchaguzi wa Meya wa Dar es Salaam. Leo nyumba ya Mbunge wa Kawe Halima Mdee imekaguliwa na polisi wanaosemwa kuwa walikuwa wakisaka nyaraka.
Mbunge Mdee amedai kuwa Mbunge wa Ukonga,Mwita Mwakwabe amekamatwa na polisi. Pia,Mbunge Lijualikali wa Kilombero amekamatwa na polisi.
Huko mahakani nendeni, lakini itabidi mrekebishe tabia kwanza. Muachane na uvunjaji wa sheria kwanza, Yaani mambo ya kupigana kazini, kuzomea, na kutukana matusi hadharani, which mmeisha chelewa kwa sasa, huko mtaonekana kituko na mtatolewa mbata.ni kweli Mkuu matamko na kulaani havisaidii kitu kwani ccm hawaogopi Laana , kitu pekee ambacho kinaweza kuwatikisa ccm ni kuwapeleka kwenye Mahakama ya kimataifa The Hague polis wote walioshiriki unyanyasaji washitakiwe na Yule mama aliyesababisha hili sakata na yeye ashitakiwe ndipo italeta haki za binadamu ,
Sasa Mbowe unalia lia kuwa umechoka na Kizza Besigye, atasemaji unadhani siasa ni kudeka gangamara!
sasa kawa Dikteta mkubwa hatekelezi chochote. Alianza vizuri kalewa madaraka anaenda kuiharibu kupita marais wote tokea 1961
madhara ya kulawitiwa mpaka akili,kwani kila post inayo husu upinzani lazima uchangie fani yako kuanzisha post zinazohusu makalio makubwa nenda kachangie hukoKwa hiyo kama amechoka sisi tufanye nini sasa? Mwambie aende Dubai likizo kupumzika! Halafu pia mwambie awaache Askari wetu wafanye kazi yao, Askari wetu wana uwezo wa kuingia popote pale ndani ya ardhi ya TanZania hivyo hata yeye Mbowe pia ajitayarishe tu siku wakimpigia hodi atoe ushirikiano!