Mbowe: Tukio la mlipuko lina mambo mengi ndani yake

Mbowe: Tukio la mlipuko lina mambo mengi ndani yake

HAMY-D

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2011
Posts
7,146
Reaction score
3,829
Mbowe akizungumza katika hospitali ya Selian jana aliwataka wanachama wa chama hicho watulie kwa sababu tukio hilo ni kubwa na lina mambo mengi ndani yake.

Alisema wanachofanya sasa ni kuhakikisha kuwa watu waliojeruhiwa katika tukio hilo wanapata matibabu kwanza.

Mbowe aliwataka watu wote waliopotelewa na ndugu kufika katika hospitali zote za mji wa Arusha kutambua ndugu zao waliojeruhiwa.

Alisema Chadema itagharimia matibabu ya watu wote waliojeruhiwa katika tukio hilo.

Mbowe alisema chama chake kwa sasa hakiwezi kutoa tamko lolote kuhusiana na tukio hilo la bomu kwa sababu wanafuatiliwa na baadhi ya askari polisi na maofisa wa Usalama wa Taifa.

My take;

Mhe Mbowe, watanzania wote tungependa kujua hayo mambo mengi yaliyo ndani ya tukio la mlipuko uliotokea kwenye mkutano wako wa kufunga kampeni ni yapi hasa.

Ni vyema ukaweka hisia zako juu ya jeshi letu la polisi pembeni, na ushirikiane nao kuwapa ushahidi usio na shaka ili waweze kuwabaini wahusika wakuu wa tukio hilo la mlipuko.
 
Uwezo wako jmeishia hapo. Awape ushahidi usio na shaka.? Unajua maana yake au unatamka tu kwa vile una keyboard?
 
Ni vema Mh. Mbowe ukatoa tamko kama chama kwa haraka iwezekanavyo. Kwasasa katika jamii zimezagaa habari nyingi zenye mkanganyiko na zingine zikiwahusisha CHADEMA ukiwemo wewe mwenyekiti wake. Mbona POLISI wao wamekwisha toa tamko lao, kwanini kama chama msikae maramoja na kutoa kauli.

View attachment 97831
 
Wewe kenge nini! Watu wemekufa na wengine kuumia kisha unataka kauli ya haraka tu? Nenda kamuulize Mwigulu a.k.a Savimbi ile kauli ya Msipotuchagua hakika mtakufa alikuwa anamaanisha nini.

Kweli kuwa ndani ya CHADEMA ni kama kuwa ndani ya gereza la fikra.

Kwahiyo sasa hivi hamtaki tena kauli wala ushahidi wala kujua anayo yajua Mbowe kuhusu tukio la mlipuko?

Hata kama tumefiwa na tunaendelea kuuguza majeruhi, haituzuii kuwatafuta wahusika wa tukio.
 
Mkuu Hamy D unadhani kweli jeshi la polisi likipewa ushahidi na viongozi wa chadema wataufanyia kazzi kiuadilifu,kama jeshi la polisi lingekuwa halitumiwi sidhani kama mrusha hilo bomu angeweza kutoka bila kukamatwa kwenye ule umati wa watu pale,kwanini bomu lilipuliwe badala ya polisi kutoa msaada wao wapige mabomu ya machozi,Mkuu CCM wangekubali tu lolote ambalo lingetokea ktk uchaguzi kwa heshima yao,chaguzi bado zipo nyingi na kama wana nia ya kutumikia wananchi basi wajipange upya ktk kutekeleza ahadi zao na wala hawatakuwa na mshindani......tatizo kubwa ninaloliona ndani ya ccm ya sasa uongozi dhaifu,naamini hata wengine ndani ya ccm wanalijua hili ila ndio pakusemea hakuna.
 
Ati jeshi letu huyu kweli maji kichwa hilo jeshi lenu la Police unalosema hivi kweli lipo?Yaani watu wengi tu wameumia na wengine kufa wewe unataka Mh Mbowe atoa kauli wakati yuko busy kama alivyosema kuwahudumia majeruhi.Hivi kwa nini watu wengine mnakuwa na akili za mgando yaani mnashindwa hata kufikiria wakati kitu kiko wazi ndio maana mmeridhika na kila kitu kifanyachwo na maccm ona vitabu vya shule vilivyo feki 3+3=9 lol!!kama kweli hao unaowaita Police kama wangekuwa wanafanya kazi basi yote haya yasingetokea Bongo hakuna Police kubali yaishe na CCm imechoka na kushindwa kila kona ya nchi ndio maana sasa wanawatumia Police na vibaka kuvuruga amani ya nchi ili tu wasitoke madarakani
 
Mkuu Hamy D unadhani kweli jeshi la polisi likipewa ushahidi na viongozi wa chadema wataufanyia kazzi kiuadilifu,kama jeshi la polisi lingekuwa halitumiwi sidhani kama mrusha hilo bomu angeweza kutoka bila kukamatwa kwenye ule umati wa watu pale,kwanini bomu lilipuliwe badala ya polisi kutoa msaada wao wapige mabomu ya machozi,Mkuu CCM wangekubali tu lolote ambalo lingetokea ktk uchaguzi kwa heshima yao,chaguzi bado zipo nyingi na kama wana nia ya kutumikia wananchi basi wajipange upya ktk kutekeleza ahadi zao na wala hawatakuwa na mshindani......tatizo kubwa ninaloliona ndani ya ccm ya sasa uongozi dhaifu,naamini hata wengine ndani ya ccm wanalijua hili ila ndio pakusemea hakuna.

Hatua zipo nyingi za kuchukua, kama kweli Mbowe ana ushahidi wa wahusika, apeleke nakala polisi na nyingine azisambaze kwenye vyombo vya habari, na kwa sasa vipo vingi mno, telesheni, redio na hata mitandao ya kijamii. Zaidi ya yote Mbowe ni mbunge, na anaweza akatumia hiyo nafasi kuliwasilisha ili suala kwenye mhimili huu wa dola.

Natoa haya yote kwa lengo jema, muhusika apatikane.
 
Safi sana Mbowe.
CCM na serikali yake wana mambo mengi ya hila wanaweza kutumia nafasi hii kutaka kupotosha umma.
Ni muhimu kutulia kwanza.
 
Polisi wanajua suala zima, walihusika katika kuratibu na hata aliyerusha hilo bomu wanamjua. Mambo mengine wanayofanya ni kutaka kuhadaa umma wa Watanzania tu na hakuna la ziada.
 
Kweli kuwa ndani ya CHADEMA ni kama kuwa ndani ya gereza la fikra.

Kwahiyo sasa hivi hamtaki tena kauli wala ushahidi wala kujua anayo yajua Mbowe kuhusu tukio la mlipuko?
atoe tamko wakati wanajua wao ndo walipuaji
 
Poleni sana makamanda na mungu atie nguvu hasa katika kipindi hiki kilichogubikwa na wingu zito la majonzi bt ukombozi uko karibu

viva chadema viva a-town
 
Mbowe akizungumza katika hospitali ya Selian jana aliwataka wanachama wa chama hicho watulie kwa sababu tukio hilo ni kubwa na lina mambo mengi ndani yake.

Alisema wanachofanya sasa ni kuhakikisha kuwa watu waliojeruhiwa katika tukio hilo wanapata matibabu kwanza.

Mbowe aliwataka watu wote waliopotelewa na ndugu kufika katika hospitali zote za mji wa Arusha kutambua ndugu zao waliojeruhiwa.

Alisema Chadema itagharimia matibabu ya watu wote waliojeruhiwa katika tukio hilo.

Mbowe alisema chama chake kwa sasa hakiwezi kutoa tamko lolote kuhusiana na tukio hilo la bomu kwa sababu wanafuatiliwa na baadhi ya askari polisi na maofisa wa Usalama wa Taifa.

My take;

Mhe Mbowe, watanzania wote tungependa kujua hayo mambo mengi yaliyo ndani ya tukio la mlipuko uliotokea kwenye mkutano wako wa kufunga kampeni ni yapi hasa.

Ni vyema ukaweka hisia zako juu ya jeshi letu la polisi pembeni, na ushirikiane nao kuwapa ushahidi usio na shaka ili waweze kuwabaini wahusika wakuu wa tukio hilo la mlipuko.

P, sijui kwanini ile ajali ya pikipiki ulipona, bora ungekufa tu. Mzushi mchonganishi mkubwa. Na siku zako zinahesabika
 
Hamy D, bado uko kwenye siasa? Tuache tuhudumie wenzetu kama unataka tamko mtafute mwigulu au nape
 
Acheni upumbavu wenu nyie vibaraka wa mauaji. Tangu lini chadema wakatoa matamko kwa kukurupuka?
 
P, sijui kwanini ile ajali ya pikipiki ulipona, bora ungekufa tu. Mzushi mchonganishi mkubwa. Na siku zako zinahesabika

PERFECT,

Mkuu, hayo yote yametoka wapi tena?

Kumuomba Mbowe ashirikiane na polisi ni unafiki na uchonganishi?

Kuhusu uzushi nadhani uelekeze tuhuma hizi za Slaa, kwani yeye ndiye amekuwa akijitutumua kuwa na intelijensia mathubuti kumbe hana lolote.
 
Last edited by a moderator:
Wewe kenge nini! Watu wemekufa na wengine kuumia kisha unataka kauli ya haraka tu? Nenda kamuulize Mwigulu a.k.a Savimbi ile kauli ya Msipotuchagua hakika mtakufa alikuwa anamaanisha nini.
Na kama kweli Mwigulu alitamka maneno hayo kwenye kampeni. na hivi sasa watu wamekufa.

Kitendo cha jeshi la polisi kuwa hakijamkamata hadi dakika hii, ili kumhoji kutokana na kauli hiyo. Huo peke yake unatosha kuwa ushahidi usio na maashaka yoyote kuwa CCM imeshirikiana na vyombo vya do9la kuplan huo mpango mwovu wa kutisha, kwa masalahi tu ya kisiasa!
 
Hamy D, bado uko kwenye siasa? Tuache tuhudumie wenzetu kama unataka tamko mtafute mwigulu au nape

Kutafuta wahusika na mashahidi wa hili tukio pia ni huduma. Mimi nimewekeza nguvu zangu kuwapata wanaojua chochote kuhusu tukio la mlipuko lililo tokea jana.
 
kwa kuwa haukuwepo kwenye tukio ndio maana unaona rahisi kihivyo lets tell u kwenye ile taharuki tu kulikuwa na habari kama tatu zilizokuwa zinakuja na huku tunakimbia mabomu ya machozi na risasi moja nakuhakikishia mpiga picha moja alichukua lile tukio bomu lilivyorushwa hadi polisi walivyomdefend na kukimbia naye kwenye gari yao tofauti aliinama kidogo na camera ikayumba lkn soon mtaiona,kingine polisi kutushambulia baada ya kutoa moungozo nini tufanye take my note Mbowe alirisk maisha yake baada ya kumuamulu mlizi wake asaidie watu waliojeruhiwa ikiwezekana watumie gari yake huku yy tunakimbia wote na bado anatuasa tusaidie watu na hku tunagawana maji madogo kunawa uso bado baadhi ya watu walikuwa wanataka atoe amri tukapambane ili tufe wote kwn hatuwezi kuona watu wanakufa mbele yetu nashukulu mm sio kiongozi wala nn nilitoa neno ambalo aliniunga mkono kuwa sio wakati wake hapa ni kuwasaidia hawa wenye khali mbaya sisi baadaye na hayo mengine yatafata kwn hatujui nn hasa na nani hasa
 
Back
Top Bottom