Mbowe, Steven Nyerere mikononi mwa polisi

Mbowe, Steven Nyerere mikononi mwa polisi

Sasa kama mwaka 1990 pound 1 ilikuwa na sh 300 ya TZ. ..........issue Hii peke yake Leo Hii inakusaidia nini katika maisha yako
 
Naona ni serikali ya mashindano maana kukicha ni mahakamani ripoti kituoni sasa hizo kazi za maendeleo zitafanyika lini na miaka ndiyo inakatika
 
Mnamo January mosi mwaka 1990. Pound moja ya uingereza GBP £ ilikua sawa na Shilingi 300 za Tanzania Tshs.

Je wajua thamani ya pound moja ya uingereza kwa shilingi ya kitanzania leo.

Haya ya Wema Sepetu, haya ya Steve Nyerere wala hayatorudisha thamani ya Shilingi yetu.

Tuyapuuze, tufanye kazi, tuinue uchumi wetu.View attachment 474256
Je wajua weme 1990 ilikua na umli gani
 
Msanii Steven Mengele aka Steve Nyerere ataongea na Waandishi leo saa 4 asubuhi katika ukumbi wa hotel ya SeaShells uliopo jengo la zamani la Millenium Tower Kijitonyama. Moja ya mambo anayotaka kufafanua ni pamoja na tuhuma za uhusika wake katika audio iliyotapakaa kuhusu maongezi yake na kada mpya wa Chadema mamake Wema Sepetu,audio ambayo imeibua gumzo jijini hasa kwakuwa ilihusisha kutaja watu mashuhuri na maarufu. KUBWA jingine ni pamoja na kumruka kimanga Wema Sepetu kuwa wao Wasanii haiwadai CCM na kama Wema kaenda Chadema aende tu asisingizie kutolipwa deni kiporo cha deni la uchaguzi. Tega sikio.
(NB Mods ni kawaida yenu kuondoa kila uzi ninaoleta humu hadi najiona mnyonge kuhisi huenda JF sio yangu ina wenyewe acheni watu walete maoni tofauti kwa jambo hili.)
 
Naona ni serikali ya mashindano maana kukicha ni mahakamani ripoti kituoni sasa hizo kazi za maendeleo zitafanyika lini na miaka ndiyo inakatika
Hv si magufuli ndo alisema tufanye kazi...sasa cjui kama na hz n kaz kwel....
 
Kuna miaka 26 imepita tangu paundi moja iwe 300 kwa Tzs.

Katika hiyo miaka 26 wenzetu hawakuletewa kitu kinaitwa SAP.

Walikua tayari na sera za elimu nzuri sisi tulikua tupo na UPE na walimu wa kujitolea wa kizungu na hata shughuli za usimamizi zilifanywa na wazungu pale TAMISEMI Ferry.

Wenzetu walikua wana demokrasia wakishirikiana kuijenga nchi sisi tumeendelea kuisigina demokrasia mpaka sasa hivi ninavyoandika na mawazo mbadala yakiwekwa pembeni.

Maamuzi yao yanalenga zaidi ya karne mbele, raisi mstaafu Mwinyi alipendekeza Barabara ya Moroko Hotel ijengwe kwa kupanuliwa wakagoma mwaka juzi wenyewe wakaanza kuipanua kwa ajili ya BRT.

Maamuzi ya kiongozi hua ni kwa ajili ya manufaa ya wengi, huku kwetu maamuzi ni kwa ajili ya kijiji anachotoka na kikundi chake kidogo ndiyo hufaidika na maamuzi hayo.

Wakaimarisha viwanda wakiwa wameshaupita uchumi wa kilimo, sisi tukawa tupo bize kudanganyana na sera ya kilimo kwanza huku pembejeo zikiwa Dar na mkulima akionekana ndiye maskini kuzidi matonya.

Kuna mengi yaliyosababisha leo paundi iwe imepiga hatua zaidi ya mara 2000 na yote chanzo ni viongozi wetu waliopita na waliopo wote wanatoka chama kile kile ambacho kwao kulinufaisha Taifa ni dhambi ni wao na matumbo yao.

Nisiposikiliza hiyo audio ndiyo watafuata katiba? Ndiyo watafanya maamuzi kwa maslahi ya taifa? Ndiyo wataacha kuukumbatia ufisadi na wafanyabiashara wa dawa za kulevya? Ndiyo watajua kwamba Tz hatuna utajiri hivyo kidogo kilichopo kisambazwe nchi nzima na kisipelekwe Chato peke yake?

Ushanikera
 
Msanii Steven Mengele aka Steve Nyerere ataongea na Waandishi leo saa 4 asubuhi katika ukumbi wa hotel ya SeaShells uliopo jengo la zamani la Millenium Tower Kijitonyama. Moja ya mambo anayotaka kufafanua ni pamoja na tuhuma za uhusika wake katika audio iliyotapakaa kuhusu maongezi yake na kada mpya wa Chadema mamake Wema Sepetu,audio ambayo imeibua gumzo jijini hasa kwakuwa ilihusisha kutaja watu mashuhuri na maarufu. KUBWA jingine ni pamoja na kumruka kimanga Wema Sepetu kuwa wao Wasanii haiwadai CCM na kama Wema kaenda Chadema aende tu asisingizie kutolipwa deni kiporo cha deni la uchaguzi. Tega sikio.
(NB Mods ni kawaida yenu kuondoa kila uzi ninaoleta humu hadi najiona mnyonge kuhisi huenda JF sio yangu ina wenyewe acheni watu walete maoni tofauti kwa jambo hili.)
Utafutwa tu kama zitakuwa ni porojo ili urudi hukohuko ulikotoa jina unalotumia humu ndani
 
Huyu andunje anapata mabalaa kwa sababu anatumia jina la ukoo ambalo sio lake.

Afungwe tu hana faida yoyote mjini.
 
Hii nchi haitaisha maigizo, kichaa akikupora nguo CHUTAMA, na hii ndio ilikua dhana ya Mwalimu kupika viongozi ndani ya chama na kuanzisha vyuo vya utumishi wa umma.
Hii mteue mteue ndio shida hizi, nataka kutangaza biashara ya zambarau TBC sjui ntapata nafasi?

Ngoja nijikumbushe tulikotoka, tuanze na ubeti wa pili....Tanzania Tanzania
 
Tukubali tu uhuru wa habari unabanwa kAma nchi jirani anako asili...yake ambao sasa kawaleta "wataalam wa IT "had jikonii
 
Kuna mtu humu alisema hii nchi imekuwa kama ya wapare sasa, kila siku kesi tu.
 
Akikana ajue ndio ameharibu na wenzake wataeleza hata yale ambayo hawakuyasema.

Mama Sepetu anaweza hata kusema aliamua kuficha baadhi ya mambo ili kuwanusuru kina fulani ila Steve akiongea hovyo mama anaweza kusema hata tusiyoyatarajia.
 
Back
Top Bottom