Mbowe sio yule tuliyemzoea

Alitambulishwa kingunge na maisha yanaendelea mpaka leo hii!

Na atatambulishwa Huyu na bado maisha yataendelea. Ila 2020 kipenga kikilia mechi itakuwa ngumu sana na transfers from your side to this side zitakuwa nyingi na Refa akiwa fair usishangae Africa Kubeba KOMBE LA DUNIA.
 
Nimeona video moja ya ubungo, Mbowe alikuwa ana wasi wasi na mda haina mfano, alikuwa anaogopa kupitiliza mda aliopangiwa na waliompa ruhusa ya kuongea tofauti na enzi zile.
Heshima imerudi na wanatii sheria sasa!
 
Na atatambulishwa Huyu na bado maisha yataendelea. Ila 2020 kipenga kikilia mechi itakuwa ngumu sana na transfers from your side to this side zitakuwa nyingi na Refa akiwa fair usishangae Africa Kubeba KOMBE LA DUNIA.
Ni ndoto kama unavyoota huku unaandika!
 
Atatoa wapi ujasiri wakati kageuza chama kuwa "safe haven" ya mafisadi? Shame
Ndio maana naomba Mungu itikadi za vyama zisitawale akili yangu maana maana hutataka kuusema ukweli hata kama upo simply upo kiitikadi zaidi.

Mimi mtazamo wangu ni huu. Inachofanya serikali kuzuia mikutano ya siasa hadi kipindi cha uchaguzi ni jambo la maana sana kwasababu inaruhusu serikali kufanya kazi zake bila political pressure ambapo vyama pinzani muda mwingi nikutafuta public confidence kwakuikosoa serikali hata kwakusingizia uongo. Hii inaleta frustration kwa serikali iliyopo madarakani.

Nadhani hata nchi nyingi mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa kwakiasi kikubwa ni kipindi cha kampeni. Kwanza kunaleta hali ya utulivu na amani. So it is a good thing to limit some political practices.

Tukija suala la kudumaa kwa Mbowe na Chadema kama kupo kweli kwa mtazamo wangu kumesababishwa na kuzuiliwa kwa shughuli za kisiasa hasa kuifikia hadhira nakuzungumza nayo kama ilivyozoeleka awali. Pia tukumbuke umaarufu wa hivi vyama ulisababishwa na mijadala iliyokuwa inaendelea bungeni LIVE. Nadhani hata Tundu Lisu na Kina Zito Kabwe ndiko walipotengenezea umaarufu wao.

Kwahiyo tupende kusimamia ukweli. Hizi propaganda za sijui kupokelewa Lowasa au kuhongwa bili 10 tuziache. LET NOT BE IDIOLOGICALLY SLAVE. Not say black while it's white.
 
Maccm ,Yaani mumfilisi mtu mali zake zote .bado tuu mnafuata mpaka na roho yake sasa .hii kujiamini ni roho ya mtu kwa maana hiyo maccm mnataka roho sasa .mshindwe na kulegea
 
Mbowe ni mfanya biashara mkubwa
Siasa ni njia tu ya kuendeleza biashara zake
Mtalaumu bure tu
 
Maccm ,Yaani mumfilisi mtu mali zake zote .bado tuu mnafuata mpaka na roho yake sasa .hii kujiamini ni roho ya mtu kwa maana hiyo maccm mnataka roho sasa .mshindwe na kulegea
Amejenga amelima kwenye vyanzo vya maji alikua anadaiwa akajifanya jengo anamiliki kumbe mpangaji sasa wapi alipofilisiwa!
 
Uhuru gani unaousema? Wa kuingiza siasa wakati wa kutoa 'kamisheni' kwa wanajeshi? Pole sana.
Hakuna kinachomzuia kuzungumza habari ya siasa,hakuwa kwenye kampeni ya kusema chagua fulani!
 
hiyo "leo hii" ni baada ya kuwataja mafisadi halisi. aliowataja wasingekuwa ndiyo mafisadi wenyewe halisi basi wangemtaja fisadi wanayemjua na sasa angekuwa yupo Segerea.

suspect wa uhalifu akimtaja mhalifu halisi, anabakia kuwa shahidi. UKAWA wakishika ikulu, Lowasa atakuwa shahidi #1.
 
mmepoteza matumaini kabisa!
Matumaini kwa nan!? Maana wewe ni lumumba inamaana ata nyie lumumba mlikua mnamatumaini na CHADEMA? Kwann msiseme mapema kwamba sisi vijana wa lumumba tunamatumaini na imani na chadema...

Bunduki za nn kwenye utawala wa sheria na haki za binadamu?
 
Yule mbunge muuza kahawa aliye owa house Girl mbona anamatusi sanaa na hakamatwi... Unakumbuka ile kauli et cdm imepata dume inamaana huko alikoenda kunamajike.... Acha double standard inzi wee
 
Ukiongea kitu jaribu kutoa na ushahidi sio kuropoka tu eti kwa sababu everyone dare to talke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…