Mbowe sio yule tuliyemzoea

Na bado.Atawaliza wale wanaodhani ni mwenzao.Mwenye macho haambiwi tazama.
 
Empty kuliko wewe, no one shalll be condemed guilt until proved by compitent court. We ropo ropo unajua hilo..
Mlivyokuwa mnawataja mafisadi kwenye "list of shame" uliona sahihi? Au ulikiwa hata hujaota meno, funza brain
 
Kwahiyo mlivyokuwa mnawaita mafisadi kipindikile walikuwa na kesi yoyote? Empty brains!
Dola wanayo CDM?! Mbona mnaumia na ilhali tuna mahakama ya mafisadi?! Jaribuni muone kama kombora halitaiangukia nyumba yenu wenyewe Lumumba
 
Mbowe anayesemwa kapooza na ni muoga na hawa mavuvuzela jana aliuwasha moto akifungua kampeni Saranga.
Ya nini mpoteze nguvu na pesa ya chama na muda si mrefu kasi ya magufuli itawapeleka ccm!
 
Unataka kumtukana rais matusi ya nguoni ,unataka kuhutubia mpaka saa moja usiku we nani usikamatwe tii sheria bila shurti!
 
Hata hakueleweka pale alikua anaongea lugha gani

Mwambieni ras simba kasema usipojua anakurudishia pesa kama anaogopa kisa serikali inabana matumizi
Kama mwenyeji wake alimuelewa inatosha alikua akiongea na waganda kizungu masaa 24 si nyinyi huku udaku masaa 24 hamuwezi muelewa!
 
Upuuzi mtupu najiulizaga sh ngapi mnalipwa mpaka unaandika kitu hata ubongo wako sidhani kama unasadifu... shame
 
Leo mtu anatambulishwa Mtwara huko, naona hamtulii.
 
Nakubaliana na wee mkuu,, mikiki anayopata mbowe kama si jasiri angekua kama bwana yule au akina momose.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…