Mbowe: Sidaiwi hata senti NHC

Mh. Mbowe
Ni vyema ungetoa uthibitisho wa nyaraka kwenye gazeti. Ili uthibitishe kauli yako.
Hivi uliona wapi Mali ya umma ikatwaliwa na mtu binafsi bila nyaraka zozote.
Thamini muda wa watu unapotoa taarifa kama hizo kwa kuto kuhangaika kusoma habari zisizo kuwa thabiti.
Vinginevyo unatafuta huruma kwa wananchi ukiwa una fahamu ukweli.
 
Nilikuwa sifahamu Tanzania Daima ni la Mbowe,nilijua la Chadema,kama CCM linavyomiliki Uhuru/Mzalendo.
 
Dawa ya Deni kulipa
 
Hapa tunamuongelea mbowe.
Huwezi ukaja public kupayuka kuwa hudaiwi eti tu kunafulani anadaiwa.
Mbowe alipe deni kodi yetu iende ikafanye miradi ya maendeleo.

Aache utapeli. Utapeli umepitwa na wakati.

Ungekuwa unadai yale mabilion ya escrow.epa. nk ivyoo ungekuta inchi iko mbali.

Mabilion Hudai unaweka mkia mtakoni kabilion kakupandikizwa ndo unakashadadia. Utakuwa huna akili kama mwenyekiti wako.
 
Hapa tunamuongelea mbowe.
Huwezi ukaja public kupayuka kuwa hudaiwi eti tu kunafulani anadaiwa.
Mbowe alipe deni kodi yetu iende ikafanye miradi ya maendeleo.

Aache utapeli. Utapeli umepitwa na wakati.
Mbowe na NHC wana mkataba.NHC wamekiuka mkataba.Wakati tunasubiri hukumu ya mahakama nashauri na wizara zenye madeni sugu zitupiwe vitu nje na tuanza na wizara ya Nape.
 
Mbowe na NHC wana mkataba.NHC wamekiuka mkataba.Wakati tunasubiri hukumu ya mahakama nashauri na wizara zenye madeni sugu zitupiwe vitu nje na tuanza na wizara ya Nape.
Sasa kama mnasubiri hukumu mahakamani. Kwanini mnapayuka payuka na huyo mbowe wako kusema hamdaiwi?

Ache kabisa cheap popularity alivyoviimba vinamtosha. Sisi tunataka alipe deni analodaiwa aache kubwabwaja.
 
Ungekuwa unadai yale mabilion ya escrow.epa. nk ivyoo ungekuta inchi iko mbali.

Mabilion Hudai unaweka mkia mtakoni kabilion kakupandikizwa ndo unakashadadia. Utakuwa huna akili kama mwenyekiti wako.
Kwahiyo hiyo escrow ndiyo inampa uhalali mbowe kutapeli na kuibia NHC?
 
Hapa tunamuongelea mbowe.
Huwezi ukaja public kupayuka kuwa hudaiwi eti tu kunafulani anadaiwa.
Mbowe alipe deni kodi yetu iende ikafanye miradi ya maendeleo.

Aache utapeli. Utapeli umepitwa na wakati.
Kama maendeleo yenyewe ndio kujenga uwanja wa ndege chato endeleeni kulipa kwa bidii, kwenu pakavu kwa mwenzenu mwajaza mchuzi.

Mimi nanunua sarawili kumi za jinzi kunitosha miaka mitano, kipindi hiki nalima mahindi ya kunitosha mimi tu!!

Siwezi kulipa kodi huku nasimangwa kama mtumwa.
 
Kesi iende mahakamani ndipo tutajua mwenye kichaa either atakuwa NHC au Mbowe. Maana kila mmoja anajiaminisha yeye ndiye mkweli.
 
Kwangu mimi madai ya Mbowe kukarabati lile jengo mwaka 1993 kwa TZS 1.3b ni ushahidi tosha kuwa alikuwa anafanya ujanja ujanja katika mkataba huo na NHC kwa kushirikiana na baadhi ya watu toka serikalini/NHC.
 
Tunasubiri tu kesi ya msingi isikilizwe mwishon ibainike tu ilikua kukurupuka serikali walipe fidia za mabilioni.
 
Sasa kama mnasubiri hukumu mahakamani. Kwanini mnapayuka payuka na huyo mbowe wako kusema hamdaiwi?

Ache kabisa cheap popularity alivyoviimba vinamtosha. Sisi tunataka alipe deni analodaiwa aache kubwabwaja.
Ndugu.....kinachoumiza ni pale serikali inapotumia taasis zake za umma kudhoofisha vyama vya upinzani.Ifike mahali watu washindane kwa hoja na sio vinginevyo.
 
Wewe fanya yako sisi tunafanya yetu. Ila mbowe aache utapeli.
Kama utalima mahindi ni issue zako private hazituhusu sisi.
Mbowe alipe deni. Aache kuwayawaya.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…