Mbowe rudisha hela zetu

Ni kiasi gani kwani kimepatikana,mbona hatuambiwi??
 
Kama unanufaika na pesa za utapeli wa mbiwe hutaona uchungu tulionao wana ukawa
Bila shaka mbowe kakugawia mgao

Unasema huu uzi wa kudai haki zetu sio wa muhim
Huu uzi n wa muhimu sana
ila kwakuwa mbowe huwaanakupatia madil ndio maana unasema huu uzi sio wa mhimu

Shikamoo mbowe
 
Kama zito ni generous kwann sshv kafulia tumieni akili nsitumie makalio!ww ulichanga shilingi ngapi na ulichangia wapi?kama unashida ya pesa njoo tukupe acha kujiuza kwa mafumbo tunakujua ww siliziki hutusumbui
 
Hata mimi nahitaji nirudishiwe pesa yangu.

kumbe na wewe umejiunga juzi.Karibu sana mkuu.Nenda kwa mbowe mwenyewe mwambie akupe hela yako au nenda ofisini akupe nchanganuo wa matumizi ya hela yako
 
Mbowe uchaguzi unakaribia,hela ulizokusanya mpaka sasa hatujajua ulipata kiasi gani na umetumiaje?Tunaomba kama kazi hiyo imekushinda basi turudishie michango yetu,wananchi tumejinyima kuwachangia ila tunaona wanaonufaika ni wachache tu
 
Tunataka hela zetu tunataka hela zetu!!!
 
Hela gani hizo za kuchangisha hata mahesabu hakuna bhana,poleni mliochanga
 
Mbowe uchaguzi unakaribia,hela ulizokusanya mpaka sasa hatujajua ulipata kiasi gani na umetumiaje?Tunaomba kama kazi hiyo imekushinda basi turudishie michango yetu,wananchi tumejinyima kuwachangia ila tunaona wanaonufaika ni wachache tu

tuliyochanga tunajua pesa zetu zinatumikaje,!! Na ww nakuuliza twiga wetu wako wap?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…