Frediluu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 1,075
- 266
Hakika ipo siku watajua nguvu ya uma ni nini.Hao ni nguruwe tu.
Hakika ipo siku watajua nguvu ya uma ni nini.Hao ni nguruwe tu.
Awapishe wenye damu zenye virusi ?Miaka zaidi ya 10 uliyokuwepo kwenye kiti inatosha pisha damu mpya kuja kuleta ari mpya kasi mwenendo utaofaa kwa maslahi ya upinzani Tanzania
Wapo wanaoweza kuuvusha upinzani vizuri tu kuna Meya Jacob Boniface yupo vizuri sana
Kama wanaweza kupambana na huu udikteta sawa ila nina mashaka.Miaka zaidi ya 10 uliyokuwepo kwenye kiti inatosha pisha damu mpya kuja kuleta ari mpya kasi mwenendo utaofaa kwa maslahi ya upinzani Tanzania
Wapo wanaoweza kuuvusha upinzani vizuri tu kuna Meya Jacob Boniface yupo vizuri sana
Mbowe hawezi kukusikia mkuu, ukizubaa ata Ku chacha wangwe!Miaka zaidi ya 10 uliyokuwepo kwenye kiti inatosha pisha damu mpya kuja kuleta ari mpya kasi mwenendo utaofaa kwa maslahi ya upinzani Tanzania
Wapo wanaoweza kuuvusha upinzani vizuri tu kuna Meya Jacob Boniface yupo vizuri sana
Kumbe kushindwa kwa Chadema kunachangiwa na mamba mengi!, kitu kinachoitwa karma, sio mchezo!. Karma haina mswalie Mtume!.Ona huyu kilichomkutaView attachment 1270116