Mbowe, nitagombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA

Mbowe, nitagombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA

Sababu zangu ni zifuatazo

1: Mimi ni mwanachama halali wa CHADEMA

2: Mimi ni mjumbe wa halimashauri kuu ya CHADEMA Taifa

3: Ni kutokana na wewe kushindwa kutimiza baadhi ya maazimio ya kamati kuu

4: Ukishindwa kufanikisha operation UKUTA!!
Mkuu,msingi wa hoja yako ni nini?.
Maana naona kama imevunjikavunjika hivi..
 
Mkuu,msingi wa hoja yako ni nini?.
Maana naona kama imevunjikavunjika hivi..
Kuandika kwenyewe kwa shida alafu anataka awe mwenyekiti wa chama.. kujenga hoja hawezi ndo tumpe chama? Ni sawa na kibajaji kupewa awe mwenyekiti wa ccm mbona itakuwa vioja aisee
 
Kuandika kwenyewe kwa shida alafu anataka awe mwenyekiti wa chama.. kujenga hoja hawezi ndo tumpe chama? Ni sawa na kibajaji kupewa awe mwenyekiti wa ccm mbona itakuwa vioja aisee
Sikutaka kuamini kama CHADEMA inaweza kuwa na mtu wa aina yake!
 
CHADEMA na CCM wote wapo hovyo jinsi ya kupata viongozi wao wa kitaifa hasa MWENYEKITI
Wana minya sana demokrasia
CCM juzi Rais Magufuli kapigiwa kura na kivuli ndiyo mpinzani
Mbowe the same thing,hana mpinzani
Wanaogopa nn?
CHADEMA tofauti yenu na CCM kwenye kuchaguana ni nn?
 
Hapana...Mbowe amechoka..hana kipya kwa sasa.....hana ubunifu mpya tena

Abaki kama mshauri chama apewe kijana mwingine

Na siungi mkono kabisa mtu kama sumaye kuwa mwenyekiti

Mtoa mada technically ni haki yako ya kikatiba ruksa kamanda
ww ndo umechoka mkuu na b7 za lumumba.. sisi bado hatujamchoka mbowe.. Lini nyie uvccm mkamtaka mbowe aendelee kuwa mwenyekiti ndani ya chadema? Mbowe ndo kiboko yenu na ataendelea kuwa.. Mpka aseme imetosha na kwa ridhaa yake na si vinginevyo
 
WanaJamvi na Wapenda Demokrasia,

Tusikubali kuingia kwenye mtego wa kututoa katika ajenda ya kupambambna na udikteta kupitia operesheni UKUTA(Umoja wa Kupambana na Udikteta Tanzania)

Tutaona kadiri tunapoelekea Septemba Mosi baadhi ya Mijadala ikianzishwa humu kuzua chochoko ndani ya Upinzani

Mfano;Kushambulia Personalty za Viongozi wa Upinzani au kuzusha mijadala inayozua confussion

Huu ni mkakati maalumu unaoratibiwa na Serikali na kwa kushirikiana na Chama Tawala

Hatua hii itaelekea kwenye Vyombo vya Habari kuanzia wiki ijayo
 
CHADEMA na CCM wote wapo hovyo jinsi ya kupata viongozi wao wa kitaifa hasa MWENYEKITI
Wana minya sana demokrasia
CCM juzi Rais Magufuli kapigiwa kura na kivuli ndiyo mpinzani
Mbowe the same thing,hana mpinzani
Wanaogopa nn?
CHADEMA tofauti yenu na CCM kwenye kuchaguana ni nn?
Act wazalendo mna kiongozi mkuu wa chama ambaye ni zzk.. je aligombea na nani ndo akashinda kama c mlifanya kama ccm.. Magufuri na kimvuli?
 
Sababu zangu ni zifuatazo

1: Mimi ni mwanachama halali wa CHADEMA

2: Mimi ni mjumbe wa halimashauri kuu ya CHADEMA Taifa

3: Ni kutokana na wewe kushindwa kutimiza baadhi ya maazimio ya kamati kuu

4: Ukishindwa kufanikisha operation UKUTA!!

kwani wewe mkwe wa mtei
 
Hahaha wewe hujipendi
Utapotezwa fasta
Mungu mtu hakosolewi
 
Act wazalendo mna kiongozi mkuu wa chama ambaye ni zzk.. je aligombea na nani ndo akashinda kama c mlifanya kama ccm.. Magufuri na kimvuli?
Huko kwa Zitto ndiyo kichefuchefu zaidi!Katiba ya ACT haina utofauti kabisa na Katiba ya chama tawala cha Jamhuri ya watu wa Iran cha Islamic Republic Party cha Rohollah Khomen

Ni sahihi kabisa kwa Zitto kuitwa Ayatollah Zitto Kabwe
 
Nasikia Prof. Lipumba naye anataka kuhamia huko ili agombee uenyekiti baada ya kutoswa kule alipotaka kurudi
 
Act wazalendo mna kiongozi mkuu wa chama ambaye ni zzk.. je aligombea na nani ndo akashinda kama c mlifanya kama ccm.. Magufuri na kimvuli?
Hapa mnawaonea CCM, mng'atane wenyewe ACT ya Kiongozi Mkuu wa Chama na CDM ya mkwe wa Mbowe.
 
Back
Top Bottom