Mbowe, nitagombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA

Mbowe, nitagombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA

Huko kwa Zitto ndiyo kichefuchefu zaidi!Katiba ya ACT haina utofauti kabisa na Katiba ya chama tawala cha Jamhuri ya watu wa Iran cha Islamic Republic Party cha Rohollah Khomen

Ni sahihi kabisa kwa Zitto kuitwa Ayatollah Zitto Kabwe


Nadhan huelewi au unapotosha kwa makusudi. Nenda kenya ukajifuze akina Raila, Uhuru, Ruto, Kalonzo, Mudavadi wana nafasi gani katika vyama vyao ukitoka hapo ukafuatilie nchi nyingi za jumuia ya madola zikoje.
 
Upupu tu, ni kutaka kuhamisha mjadala wa VAT kwenye miamala ya fedha kupitia simu za mikononi na mabenki. Kichwa cha habari kimendaliwa kuvutia wasomaji wajielekeze kuisoma.... Statement ni yako lakini utadhani aliye tamka hayo ni Mbowe mwenyewe aidha hukuweka muhitasari katika hoja yako badala yake ametaja sababu zako za kutaka kugombea/..... full shit!


Usipanic Mjomba kamanda katumia uhuru wake wa kuongea mjomba..
au na wewe ni dikteta nini??
 
Hapana...Mbowe amechoka..hana kipya kwa sasa.....hana ubunifu mpya tena

Abaki kama mshauri chama apewe kijana mwingine

Na siungi mkono kabisa mtu kama sumaye kuwa mwenyekiti

Mtoa mada technically ni haki yako ya kikatiba ruksa kamanda
Mtu aliyechoka ataweza kushauri? Chama hapewi mtu kwa sababu ni kijana!
 
Sababu zangu ni zifuatazo

1: Mimi ni mwanachama halali wa CHADEMA

2: Mimi ni mjumbe wa halimashauri kuu ya CHADEMA Taifa

3: Ni kutokana na wewe kushindwa kutimiza baadhi ya maazimio ya kamati kuu

4: Ukishindwa kufanikisha operation UKUTA!!
We ni MSALITI WALA HUTAVUMILIWA
 
Kwanini jamani hakuna MTU mwingine wa kutake over nafasi ya uwenyekiti?? Mbona ni dubwasha/dj mbowe tu ndio anawakalia?? Kweli chadema ni one man show?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nitagombea na ni msimamo wangu uwezi ujui pia na Mimi Nani yupo nyuma yangu
 
Acha uongo chadema imeanzishwa 1992 ? usifikiri unachati na watoto wenzio hapa.. kawadanganye lumumba na Act wenzio.. tuachieni chadema yetu
Ungemjua unayebishana naye usingeruhusu
vidole vyako viandike ujinga huu
 
Sababu zangu ni zifuatazo

1: Mimi ni mwanachama halali wa CHADEMA

2: Mimi ni mjumbe wa halimashauri kuu ya CHADEMA Taifa

3: Ni kutokana na wewe kushindwa kutimiza baadhi ya maazimio ya kamati kuu

4: Ukishindwa kufanikisha operation UKUTA!!
wewe ni msaliti mkubwa! tunakufuta uanachama
 
Nawewe mkuu!!! mwenyekitu wa ccm taifa ndiyo huthibitishwa tu wala hagombeagi na hakuna uchaguzi wa mwenyekiti ccm taifa, hivi Mwl. Nyerere aligombea na nani kweli; na mpinzani wake alipata kura ngapi? je mshindani wa Mwinyi alikuwa nani? mpinzani wake alipata kura ngapi? je ni nani alisimama na Mkapa kugombea uenyekiti? mpinzani alipata kura ngapi? Shibuda alijaribu tu kusema kuwa atapambana na JK kwenye uenyekiti ccm, yaani hata form tu hakuziona na alishia kufukuzwa chamani; je JPM alisimama kugombea uenyekiti na nani? je mpinzani wake alipata kura ngapi? chezea chichiem yetu wewe!!!

kwahiyo hata Mbowe naye akithibitishwa tu kuwa mwenyekiti anatuiga sisi chama tawala! hivyo tumpongeze tu na siyo kumshutumu.
Vijana wa ukawa akili zao zinatia shaka.. Kwahiyo kama ccm kuna matatizo basi na Chadema ndio halali..


Nimeamini wafuasi wa upinzani wengi hawajui dhima ya kuundwa kwa vyama mbadala, Mi nilizani vyama vya upinzani vimeundwa sababu ya mapungufu yaliyopo CCM.. Kumbe mambo yale yale tu ni vyanzo vya ajira
 
Mbowe ndo chaguo letu sisi chadema wenye mtazamo wa mbali... Hatuwezi kuwapa chama watu ambao ni rahisi kurubuniwa na magamba.. Mbowe ndo kiboko ya ccm.. ktk wenyeviti wa vyama vya upinzani hakuna na hajatokea mwenyekiti aliyeitikisa ccm kama mbowe... Viva mbowe Viva chadema.. chama bado kinakuhitaji sana kuliko unavyokihitaji chama... lkn nyie mnaokuja kupima mafuta kama yana moto kwa kidole pia mnakaribishwa.. Maana mna haki kikatiba... People'sssss... tukutane September mosi tu.. UKUTA ndo habari ya mujini
nyie sijui mmelogwa kwani hamjui tu kuwa huyo mboowe ni undercover agent wa seritamu
 
Vijana wa ukawa akili zao zinatia shaka.. Kwahiyo kama ccm kuna matatizo basi na Chadema ndio halali..


Nimeamini wafuasi wa upinzani wengi hawajui dhima ya kuundwa kwa vyama mbadala, Mi nilizani vyama vya upinzani vimeundwa sababu ya mapungufu yaliyopo CCM.. Kumbe mambo yale yale tu ni vyanzo vya ajira
Mkuu umeongea ukweli lakini hakuna atakayekulelewa kwenye Taifa la watu wenye ushabiki wa vyama!!!
Hebu tazama watu wanavyotokwa povu hapo kwenye comment za Uzi huu ndio utagundua Watanzania wapo tayari kushuudia maovu yanafanyika lakini wakakaa kifua mbele kuyatetea

Nimeshagundua ni kwanini kama nchi hatuendelei!!
 
WanaJamvi na Wapenda Demokrasia,

Tusikubali kuingia kwenye mtego wa kututoa katika ajenda ya kupambambna na udikteta kupitia operesheni UKUTA(Umoja wa Kupambana na Udikteta Tanzania)

Tutaona kadiri tunapoelekea Septemba Mosi baadhi ya Mijadala ikianzishwa humu kuzua chochoko ndani ya Upinzani

Mfano;Kushambulia Personalty za Viongozi wa Upinzani au kuzusha mijadala inayozua confussion

Huu ni mkakati maalumu unaoratibiwa na Serikali na kwa kushirikiana na Chama Tawala

Hatua hii itaelekea kwenye Vyombo vya Habari kuanzia wiki ijayo
Wanawake wa Rombo halafu ubunge mkuu eti ukapata kura sita. Hujisikii vibaya?

Kuokoteza ajenda bila core philosophy ni ngumu sana. Na September mosi uandamane kweli tena uwe huko mbele kabisa kwenye mabomu na risasi "bandia". Na familia yako yote iwepo!
 
Heading imekaa kipropaganda....JF inazidi kuwa ya ajabu....maana kilichopo ndan na heading ni tofauti
 
Vijana wa ukawa akili zao zinatia shaka.. Kwahiyo kama ccm kuna matatizo basi na Chadema ndio halali..


Nimeamini wafuasi wa upinzani wengi hawajui dhima ya kuundwa kwa vyama mbadala, Mi nilizani vyama vya upinzani vimeundwa sababu ya mapungufu yaliyopo CCM.. Kumbe mambo yale yale tu ni vyanzo vya ajira
Laiti kama uvsisiemu mngekuwa na mnajitimbua kwanza kabisa tungeona mnapinga kitendo cha mwenyekit taifa wenu kuteuliwa tu! eti nanvyie mnajidai mnademocracy!! he!! makubwa!! tena nyie ndo mnakuwa wakwanza kumshambulia Mbowe eti yeye tu anaongoza? bora Mbowe maana yeye huchaguliwa kwa kugombea na mtu mwingine kisha yeye kushinda; sasa nyie huko na akina Lizabon juzi juzi hapa tu mlikuwa manawashambulia tena kwa kuwahisi tu wale waliosemekana wanania ya kugombea uchair person! mmemshambulia mzee Lukuvi wee!! bila hata kujali kuwa mnaichonganisha serikali, baba wa watu kajinyamazia tu maana aliwaapuuza kabisa; uvsisiem jirekebisheni,

Tena kumbe mnajua fika kuwa huko kwenu mnamatatizo halafu bila aibu mnakuwa wakwanza kushambulia ukawa? kumbe yenu yamewashinda!!!! aibu kwenu!!!
 
Mkuu umeongea ukweli lakini hakuna atakayekulelewa kwenye Taifa la watu wenye ushabiki wa vyama!!!
Hebu tazama watu wanavyotokwa povu hapo kwenye comment za Uzi huu ndio utagundua Watanzania wapo tayari kushuudia maovu yanafanyika lakini wakakaa kifua mbele kuyatetea

Nimeshagundua ni kwanini kama nchi hatuendelei!!
Eeeee!! ndo umegundua leo kuwa sisiemu iliwaharibu vijana toka zamani??? na itawaharibu sana tu!! maana huko green guard mnafundishwa kuwa wazalendo na watiifu kwa chama na wala siyo kwa taifa; sasa hapo unategemea nini! ndo maana wanozalishwa na uvsisem ndo wanakuwa watawala na baadaye kuanza kukwapua hazina ya taifa na kuihamishia chichiem kwakuwa walishaambiwa chchiem no1 siyo taifa; ngoja ngosha ambaye hajapitia ukada kindakinda awahenyeshe huko uvccm mkome na kishasema hatatoa cent ya gv kuipeleka chamani, safari hii mtakufa na ukame, book7 kwishazake, tafuteni kazi zingine propagada kwishaaaaa!!
 
Aisee....sio kila mtu anayemkosoa Mbowe ni CCM ....Hebu ulizia wenzako humu jukwaani watakueleza kuwa wengine sisi hatujawahi hata kuitamani CCM...Na CHADEMA tupo tangu 1992
Mkuu upo sahihi alafu si kila anayesema ukweli awe adui
 
Back
Top Bottom