technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,697
- 58,743
- Thread starter
- #81
Nani kakwambia Mimi ni Uvccm??Eeeee!! ndo umegundua leo kuwa sisiemu iliwaharibu vijana toka zamani??? na itawaharibu sana tu!! maana huko green guard mnafundishwa kuwa wazalendo na watiifu kwa chama na wala siyo kwa taifa; sasa hapo unategemea nini! ndo maana wanozalishwa na uvsisem ndo wanakuwa watawala na baadaye kuanza kukwapua hazina ya taifa na kuihamishia chichiem kwakuwa walishaambiwa chchiem no1 siyo taifa; ngoja ngosha ambaye hajapitia ukada kindakinda awahenyeshe huko uvccm mkome na kishasema hatatoa cent ya gv kuipeleka chamani, safari hii mtakufa na ukame, book7 kwishazake, tafuteni kazi zingine propagada kwishaaaaa!!