Mh Mbowe amesema anaomba watu wamruhusu kunyamaza kwanza kwa kipindi hiki atakapo kuwa tayari atazungumza na taifa na watanzania kwa ujumla!
My opinion
Mbowe hawatendei haki wafuasi wake na watanzania ambao walimuombea usiku na mchana leo hii anawataka wampe muda wa kunyamaza?
Mbowe alitakiwa kuongea na watanzania kabla hata ya kuongea na Rais kwani watanzania walio wengi walitamani kuona Mbowe anakuwa wa kwanza kuongea nao na sio kuwaomba muda wa kunyamaza!
Mbowe sidhani kama ana sababu za msingi za kutoongea kwa sasa na sidhani kama kuongea na watanzania kwa sasa kungepunguza chochote! Ikiwa aliweza kuongea na Rais kwanini asiongee na watanzania?View attachment 2141158
Mbowe alisema vijana wana mihemkoNakumbuka Lissu aliongea na wanahabari baada ya kutoka kuongea na Samia, wengine mkaanza kudai Lissu amekosa hekima hakutakiwa kuongea yote aliyozungumza na Samia.
Juzi Mbowe katoka kuongea na Samia, baada ya hapo hajasema chochote mpaka atakapokaa na viongozi wenzake ndio waje na msimamo mmoja, hili nalo nashangaa wengine hamjaridhika.
Kutokana na hizo scenario mbili tofauti hapo juu zinaonesha vile baadhi yenu msivyoridhika na chochote, hata mfanyiwe nini bado mtalalamika tu, na hapo ndipo napata picha vile viongozi wa CDM wanavyowaongoza wanachama vichwa ngumu.
Aongee nini wakati mama kaenda kule lupango kabla na kumwambia.. 'wewe mangi nimeambiwa unafungwa. Ushahidi upande wa mashitaka wameshaona una hatia makosa manne kati ya matano. Wanasheria wananambia hata ukijitetea vipi huwezi chomoa makosa yote.Mh Mbowe amesema anaomba watu wamruhusu kunyamaza kwanza kwa kipindi hiki atakapo kuwa tayari atazungumza na taifa na watanzania kwa ujumla!
My opinion
Mbowe hawatendei haki wafuasi wake na watanzania ambao walimuombea usiku na mchana leo hii anawataka wampe muda wa kunyamaza?
Mbowe alitakiwa kuongea na watanzania kabla hata ya kuongea na Rais kwani watanzania walio wengi walitamani kuona Mbowe anakuwa wa kwanza kuongea nao na sio kuwaomba muda wa kunyamaza!
Mbowe sidhani kama ana sababu za msingi za kutoongea kwa sasa na sidhani kama kuongea na watanzania kwa sasa kungepunguza chochote! Ikiwa aliweza kuongea na Rais kwanini asiongee na watanzania?View attachment 2141158
Yaani na wewe ulimuamini Godbless Lema?Aongee nini wakati mama kaenda kule lupango kabla na kumwambia.. 'wewe mangi nimeambiwa unafungwa. Ushahidi upande wa mashitaka wameshaona una hatia makosa manne kati ya matano. Wanasheria wananambia hata ukijitetea vipi huwezi chomoa makosa yote. Kwa hivyo kama unakubali kufunga domo lako na kujidai wewe ndio unajua haki ni nini kuliko watu wote nchini, kama mkuu wa nchi na serikali nitamuomba dpp akufutie mashitaka. Lakini ujue ukileta ujuaji tunarejesha kesi iendelee ilikoishia. Kama unakubali nijibu hapahapa. Sijakuja kwa mkutano au mapatano yoyote'. Mbowe akajibu haraka .. 'naam mama nakubali naona maji kina kimezidi nazama niokoe' mama akaondoka.
Nakumbuka Lissu alitoa taarifa kwa umma kupitia mitandao ya kijamii baada ya kutoka kuongea na Samia, wengine mkaanza kudai Lissu amekosa hekima hakutakiwa kuongea yote aliyozungumza na Samia.
Juzi Mbowe katoka kuongea na Samia, baada ya hapo hajasema chochote mpaka atakapokaa na viongozi wenzake ndio waje na msimamo mmoja, hili nalo nashangaa wengine hamjaridhika, wakati simply anaonesha sifa ya kiongozi - collective responsibility.
Kutokana na hizo scenario mbili tofauti hapo juu zinaonesha vile baadhi yenu msivyoridhishwa na chochote, hata mfanyiwe nini bado mtalalamika tu, na hapo ndipo napata picha vile viongozi wa CDM wanavyowaongoza wanachama vichwa ngumu.
Wacha tuu tumruhusu maana hatuwezi jua kule ikulu alilishwa nini maana kila anaeingia huko akitoka anakuwa sio yeye kabisaMh Mbowe amesema anaomba watu wamruhusu kunyamaza kwanza kwa kipindi hiki atakapo kuwa tayari atazungumza na taifa na watanzania kwa ujumla!
My opinion
Mbowe hawatendei haki wafuasi wake na watanzania ambao walimuombea usiku na mchana leo hii anawataka wampe muda wa kunyamaza?
Mbowe alitakiwa kuongea na watanzania kabla hata ya kuongea na Rais kwani watanzania walio wengi walitamani kuona Mbowe anakuwa wa kwanza kuongea nao na sio kuwaomba muda wa kunyamaza!
Mbowe sidhani kama ana sababu za msingi za kutoongea kwa sasa na sidhani kama kuongea na watanzania kwa sasa kungepunguza chochote! Ikiwa aliweza kuongea na Rais kwanini asiongee na watanzania?View attachment 2141158
Washwahili hamna dogo kwa kweli
Ila ni kawaida hata picha zake tu mnaweza kuzitungia maneno na kumlisha kuwa kasema yeye
Ukiingia kwa hao jamaa kuongea huwa ni ngumu sana
Hivi MO wakati ule alisema chochote mpaka leo?