Greenwhich
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 1,337
- 968
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amesema nipo tayari kuondoka CHADEMA ikiwa wanainchi hawatapata haki zao.
Source: Gazeti la Majira.
Mbowe ameonyesha commitment ya hali ya juu.Ni kiongozi makini hana mfano.