Nchi hii sio ya CCM peke yao kwamba wanaweza kuendesha watakavyo tupo na tupo macho tutakula sahani moja naoyanayoendelea yapo sawasawa sema tu IQ ze2 hazipo sawa, wanaotaka kuandamana iq zao zimechoka ndo maana wanajiita choka mbaya!

Sasa wewe Boko Haram halafu mwoga hahahaha.........?:cool2::cool2:Maandamano wanayaweza waarabu hakuna watu mafisi kama wadanganyika! Mbowe anajua akikamatwa ataachiwa wenzangu na mie sasa...
H a mkwaray kipumbavu kabisa Nye TISS mumeshindwa kuisimamia nchi katiba inasiginwa mbele za uso wenu mumenyamaza tuli hamuoni hatari mwananchi gani asieji tambua tumejitambuana tunaunga mkono kusimamishwa kwa uhuni unaofnyika Dodoma
Ndiyo maana kinaitwa chama tawala..!
No my brother ......................... there is no Rule of Law in Tanzania...................!!!
kwa yanayoendelea na yanayopigiwa kelele hayatakiwi kuvimilika,yanatakiwa kupingwa kwa nguvu zote na wala sio vurugu km unavofikiri
Maandamano wanayaweza waarabu hakuna watu mafisi kama wadanganyika! Mbowe anajua akikamatwa ataachiwa wenzangu na mie sasa...
Nimemsikia akiongea ITV na kusisitiza kuwa maandamano yako pale pale acha hata damu zimwagike japo CP Chagonja ametangaza kuwathibiti watakaofanya maandamano hayo.
Huyu Mbowe naona ana mihemko ya kuchaguliwa baada ya kubeba vibabu toka maeneo mbalimbali vimchukulie fomu.
Ni vema akakae chini atafakari nafasi aliyojitafutia ajue wapi aboreshe na siyo kutafutia waliomchagua matatizo.
Aache kulewa madaraka ya uenyekiti na kuropoka ovyo, hiyo raha aliyo nayo akaimalize kwanza ndipo aje aongee jambo la kitaifa yy kama kiongoz wa kambi ya upinzani. Akipata uraisi si atataka watu waandamane kwa kutembea kwa miguu hadi Uswisi!
Nimepigania demokrasia ya vyama vyingi kwa karibu miaka 22 sasa,ndoto yangu ni kuona nchi inayowajibika na siyo kama hii ambayo demokrasia inaminywa kwa njia zote.ccm ijue inakwenda ni juu ya vyombo vya haki kusimamia haki za wananchi na wapewe.tanzania tena siyo ya mwaka 47.
Nimemsikia akiongea ITV na kusisitiza kuwa maandamano yako pale pale acha hata damu zimwagike japo CP Chagonja ametangaza kuwathibiti watakaofanya maandamano hayo.
Huyu Mbowe naona ana mihemko ya kuchaguliwa baada ya kubeba vibabu toka maeneo mbalimbali vimchukulie fomu.
Ni vema akakae chini atafakari nafasi aliyojitafutia ajue wapi aboreshe na siyo kutafutia waliomchagua matatizo.
Aache kulewa madaraka ya uenyekiti na kuropoka ovyo, hiyo raha aliyo nayo akaimalize kwanza ndipo aje aongee jambo la kitaifa yy kama kiongoz wa kambi ya upinzani. Akipata uraisi si atataka watu waandamane kwa kutembea kwa miguu hadi Uswisi!
Hii ndio hatari ya akili ndogo kuongaza akili kubwa. Wakati mwengine najiuliza ivi kweli Slaa ni Dr.? au Lisu anaifahamu kweli sheria? Kwa nini wasimshauri kiongozi wao kimantiki! au ni kwa sababu haja soma. Huu ni ujinga wa kuihangamiza taifa. Police piga ikiwezekana vunja miguu wajinga wote watakaoshirikiana na mjinga Mbowe kwenye mahandamano.