Mbowe: Nimeitwa kwa DCI Manumba

Mbowe: Nimeitwa kwa DCI Manumba

likianza libeneke hakuna wakuachwa mjombaa uwage na akili et watuache sisi.kwa taarifa tu polis wako elfu arobain nchi nzima na sisi tuko ml45 takwim ni askari mmoja raia elfu moja miasita so wapi na wapi na maandamano ni haki ya raia yeyote anaejitambua dunian kuzuia maandamano nikuyachochea.hakuna nchi africa iliyokua na amani kama averycost lakini rais wao alipigwa vibao kama mtoto mdogo hivi huzi juzi tu.na watnzania tunazijua mbivu ok mh kamanda wa anga songa mbele tuko nyumayako kifo sio kitendo cha aibu
 
Sasa hapa kwa kauli za hawa wanasiasa sasa tunasubili wale ng'ombe wanasubili kuburutwa burutwa wapambene na dola wakati viongozi wao wanakula bata.
 
Hivi maandamano si haki ya raia ya kikatiba?

mkuu ni hivyo ila mleta mada naona hajtambui hilo. unajua ulevi wa madaraka unawapofusha macho ccm na vibaraka wao sasa tunaandamana mpaka kieleweke
 
mkuu ni hivyo ila mleta mada naona hajtambui hilo. unajua ulevi wa madaraka unawapofusha macho ccm na vibaraka wao sasa tunaandamana mpaka kieleweke

kama na wewe utaandamana make sure una sifa zifuatazo;
1. Mlevi wa pombe za bei rahc kama viroba, gongo, wanzuki, n.k
2. Mvuta bange
3. Unakula kuberi, ugoro, mirungi.
4. Mbakaji, mporaji, mkabaji
5. Mwizi, mdokozi
6. Msagaji/Shoga
 
watoto wa Mbowe wote wako Marekani ni raia wa marekani kwa kuzaliwa Siku wakiwa mstari wa mbele kwenye maandamano na mimi nitaandamana

Maandamano Chade.jpg
 
likianza libeneke hakuna wakuachwa mjombaa uwage na akili et watuache sisi.kwa taarifa tu polis wako elfu arobain nchi nzima na sisi tuko ml45 takwim ni askari mmoja raia elfu moja miasita so wapi na wapi na maandamano ni haki ya raia yeyote anaejitambua dunian kuzuia maandamano nikuyachochea.hakuna nchi africa iliyokua na amani kama averycost lakini rais wao alipigwa vibao kama mtoto mdogo hivi huzi juzi tu.na watnzania tunazijua mbivu ok mh kamanda wa anga songa mbele tuko nyumayako kifo sio kitendo cha aibu

... tukifika huko hatari!
Baada ya kumsikiliza SHIBUDA jana jioni na kutafakari nani kamtuma aseme yale nimejiaminisha kuwa TANZANIA inachezewa na WEHU waliokubuhu. Kama msemo ulivyo - ukicheza na mjinga atakutoboa macho.
 
Kama Polisi na Watawala wangekuwa na busara japo kidogo; wangewaruhusu kuandamana ili ujumbe na kilio chao kisikike!

Busara ni kuwaongezea ulinzi ili waandamane kwa amani na utulivu!
Kuwanyima fursa ya kuandamana ni kuficha ukweli juu ya maovu yanayofanyika!
 
Dhambi kubwa duniani ni uoga,najua wewe umeshaushinda.Kamanda tuko nyuma yako kwani UKWELI UMETUWEKA HURU.Tulianza na Mungu tutamaliza na Mungu.Leo hii Mkwawa Mandela ni mashujaa kwa sababu walikataa kutawaliwa.Wapo wengi walishindwa kuwa na ujasiri
 
Ndio mzee Kama misukule ya Mbowe! Teh!
Acha kuwalisha watu ujinga ww kunguru mwoga duniani kote watu huandamana kupinga mambo flan flan tanzania hata mia bora za waandamanaji hawamo ni wazee wa ndio mzee
 
Siku ya tukio I hope utakua zako magetoni umetulia tuliii kama mbowe na slaa!
Dhambi kubwa duniani ni uoga,najua wewe umeshaushinda.Kamanda tuko nyuma yako kwani UKWELI UMETUWEKA HURU.Tulianza na Mungu tutamaliza na Mungu.Leo hii Mkwawa Mandela ni mashujaa kwa sababu walikataa kutawaliwa.Wapo wengi walishindwa kuwa na ujasiri
 
Wapigwe tu!

Naamini kuwa muda si mrefu Maaskofu, Wachungaji na Mashekh watapata kazi ya kuziombea roho zilale kwa amani. Maandamano ya UKAWA ni kuitekenya serikali tulivu au kuchokoza nyuki! SERIKALI AMKA
 
Wakati mwingine utawala bora hauna maana yeyote...ni mwanya wa watu kuharibu utaratibu..!

You are missing a point, Rule of law siyo utawala bora ................... ndiyo maana unabishana na kila mtu humu wakati you are off the point!! Anyway, kwa mtazamo wako basi itabidi Tanzania tufafe mambo yetu kama North Korea!!
 
Sirluta, sisi ndio tumemchagua. kama kupata matatizo ni swala letu kama wanachama.
kwa taarifa yako tupo tayari kwa lolote hata ikibidi kufa na kiongozi wote, huna haja ya kutuonea huruma wala hatuhitaji huruma ya kibaraka yoyote.
 
You are missing a point, Rule of law siyo utawala bora ................... ndiyo maana unabishana na kila mtu humu wakati you are off the point!! Anyway, kwa mtazamo wako basi itabidi Tanzania tufafe mambo yetu kama North Korea!!

Utawala wa sheria that is wat u mean? Ndo hayo hayo tu...Bata,kuku wote ndege...!
 
Back
Top Bottom