Mbowe: Nimeitwa kwa DCI Manumba

Mbowe: Nimeitwa kwa DCI Manumba

hivi kwa siasa za tz na vyombo vya dola km ndo hvi tunauwezo wa kubeba mizoga ya nguruwe km wenzetu kenya na kuenda kufanya chchte kwenye jengo la bunge na vyombo vya dola vikavumilia km wenzetu na siasa zao zoluzokomaaa???vyombo vya dola vipo kwa ajili ya wananchi na si kuwatisha wananchi,viogope kutumiwa'
 
Nimesikia akijitabiria kuelekea kule wasikorudi watu au uoga umemshika tu. Na huyu jamaa 2+2=4 na 2x2=4 sasa tutaprove vipi?
 
Mifuasi ya chadema mijinga sana..ivi mnadhani kila mtu hana kazi ya kufanya kama nyinyi?? Wew kama huna kazi kaandamane,,wenye kazi zetu tutaenda kujenga nchi...kama mnahamu ya kuwashwa na mabom ya machozi na virungu nyie andamaneni...
 
Wote mnaopiga kelele humu hakuna hata mmoja atakae andamana...mtakuwa humu kutoa uptodates za virungu...cowards
 
Mbona Komba alipotangaza kuingia mstuni hakuitwa kwa DCI ........................... Tatizo la double standards za Tanzania, vyombo vya serikali vinalinda maslahi ya chama tawala!!

Ndiyo maana kinaitwa chama tawala..!
 
hivi kwa siasa za tz na vyombo vya dola km ndo hvi tunauwezo wa kubeba mizoga ya nguruwe km wenzetu kenya na kuenda kufanya chchte kwenye jengo la bunge na vyombo vya dola vikavumilia km wenzetu na siasa zao zoluzokomaaa???vyombo vya dola vipo kwa ajili ya wananchi na si kuwatisha wananchi,viogope kutumiwa'

Kufanya fujo na kuvuruga amani ya nchi ndo kipimo chako cha ukomavu wa siasa?
 
Nimesikia akijitabiria kuelekea kule wasikorudi watu au uoga umemshika tu. Na huyu jamaa 2+2=4 na 2x2=4 sasa tutaprove vipi?

anawapaisha tu hao wafuasi wake maana machafuko yakitokea anakimbia mbaya! Halafu wao wanaumia! Siku akivunjika mkono akikimbia kama yule babu, nadhan atastaafu pia.
 
Kufanya fujo na kuvuruga amani ya nchi ndo kipimo chako cha ukomavu wa siasa?

kwa yanayoendelea na yanayopigiwa kelele hayatakiwi kuvimilika,yanatakiwa kupingwa kwa nguvu zote na wala sio vurugu km unavofikiri
 
kwa yanayoendelea na yanayopigiwa kelele hayatakiwi kuvimilika,yanatakiwa kupingwa kwa nguvu zote na wala sio vurugu km unavofikiri

yanayoendelea yapo sawasawa sema tu IQ ze2 hazipo sawa, wanaotaka kuandamana iq zao zimechoka ndo maana wanajiita choka mbaya!
 
Nimemsikia akiongea ITV na kusisitiza kuwa maandamano yako pale pale acha hata damu zimwagike japo CP Chagonja ametangaza kuwathibiti watakaofanya maandamano hayo.

Huyu Mbowe naona ana mihemko ya kuchaguliwa baada ya kubeba vibabu toka maeneo mbalimbali vimchukulie fomu.

Ni vema akakae chini atafakari nafasi aliyojitafutia ajue wapi aboreshe na siyo kutafutia waliomchagua matatizo.

Aache kulewa madaraka ya uenyekiti na kuropoka ovyo, hiyo raha aliyo nayo akaimalize kwanza ndipo aje aongee jambo la kitaifa yy kama kiongoz wa kambi ya upinzani. Akipata uraisi si atataka watu waandamane kwa kutembea kwa miguu hadi Uswisi!
H a mkwaray kipumbavu kabisa Nye TISS mumeshindwa kuisimamia nchi katiba inasiginwa mbele za uso wenu mumenyamaza tuli hamuoni hatari mwananchi gani asieji tambua tumejitambuana tunaunga mkono kusimamishwa kwa uhuni unaofnyika Dodoma
 
Back
Top Bottom