Mbowe: Nimeitwa kwa DCI Manumba

Mbowe: Nimeitwa kwa DCI Manumba

watoto wa Mbowe wote wako Marekani ni raia wa marekani kwa kuzaliwa Siku wakiwa mstari wa mbele kwenye maandamano na mimi nitaandamana

Ndio maana hujapigiwa hodi kwako uandamane dada nyie so mna matembezi yenu ya mshikamano!!!!
 
DCI-Director of criminal investigation currently is ISSAYA MUNGULU kachero aliyebobea kwenye hiyo fani ya UPELELEZI
 
Nimemsikia akiongea ITV kuwa ameitwa kwa DCI Manumba baada ya kutangaza maandamano nchi nzima na kusisitiza maandamano yako pale pale acha hata damu zimwagike japo CP Chagonja ametangaza kuwathibiti watakaofanya maandamano hayo.

Huyu Mbowe naona ana mihemko ya kuchaguliwa baada ya kubeba vibabu toka maeneo mbalimbali vimchukulie fomu.

Ni vema akakae chini atafakari nafasi aliyojitafutia ajue wapi aboreshe na siyo kutafutia waliomchagua matatizo.
Watu vibaraka kaa wewe hawafai popote pale. Alichosema Mbowe ni maazimio ya mkutano mkuu wa CDM na si jambo geni. Ni wajibu wa kila raia mwema kutii sharia zote halali za nchi na kuzivunja sharia zote kandamizi/dhalimu za nchi. Sehemu bora kabisa kwa raia kuishi kwenye nchi yenye utawala dhalimu na kandamizi ni jela.Jambo baya kabisa kwa mtu kushikiana na mtesi wake na kumaidia kumtesa. Henry, Ghandhi, King, Mandela Kwame na Nyerere walipitia hayo na baadae dunia ikawahesabu kuwa ni watu muhimu na maana waliopata kuishi katika jamii zao. Kwa mifano, Ghandhi, aliongoza watu wake wa India ya kale kuvunja sheria iliyowakataza kutengeneza chumvi iliyowekwa na serikali ya kiingereza. Martin Luther King, alimuunga mkono mama aliyepinga na kuvunja sharia ya utumiaji mabasi na alihamasisha na kushiriki katika harakati zote za kupinga sharia kandamizi marekani. Si ajabu kuwa katika harakati zote hizo, wengi walikufa na hata hao wawili waliuawa. Kufa kupo na inapasa kuchagua, kufa kwa unafiki na woga, huku ukikosesha haki zako za msingi au kufa kwa ushujaa na ukweli ukidai haki zako. Ni heri sote tukichagua kutokufa kwa unafiki wa amani na utulivu huku tukikosa hata panado kwenye hospitali zetu wakati walafi na vibwengo vyao walika mabilioni ya walipakodi hivihivi.
 
kweli maCCM ni ujinga mtupu, ndo maana nchi yarudi nyuma. Unajua sheria wewe? Sheria iko hivi: polisi hujulishwa tu siku, time na mahali pa maandamano na wao kazi yao ni kutoa ulinzi. Hakuna mahala sheria inawapa mamlaka polisi kutoa vibali vya maandamano. tena namuomba Mbowe amuulize huyo aliyemwita amuonyeshe kipengele cha sheria! Inasdikitisha polisi wetu hawajui hata sheria.

Akina Chagonja wanasema wanavyosema ni kwa sababu polisi wetu ni wavivu katika kila kitu.

Are there things you cannot say or do? Likewise,officials can't ask you to promise that protesters will obey the law
 
Fanyeni mfanyavyo watanganyika sisi tunataka zanzibar yetu tu.
 
kweli maCCM ni ujinga mtupu, ndo maana nchi yarudi nyuma. Unajua sheria wewe? Sheria iko hivi: polisi hujulishwa tu siku, time na mahali pa maandamano na wao kazi yao ni kutoa ulinzi. Hakuna mahala sheria inawapa mamlaka polisi kutoa vibali vya maandamano. tena namuomba Mbowe amuulize huyo aliyemwita amuonyeshe kipengele cha sheria! Inasdikitisha polisi wetu hawajui hata sheria.

Akina Chagonja wanasema wanavyosema ni kwa sababu polisi wetu ni wavivu katika kila kitu.

usidanganye watu na akili zako mbovu mno..maandamo yoyote lzm yapate kibali cha polisi

ila mtoa mada hayupo sahihi manumba amestaafu muda sasa

nafasi yake amechukua isaya mgulu
 
Wange anzia hapo Mlimani city ingekuwa bora saana....aaahaaa COWARDS.
 
Wangeanzia hapo Mlimani city ingekuwa bora saana....aaahaaa COWARDS.
 
mpeni kichwa tu muone moto wake! Hamjui mmechokwa kama uji ulolala!

Hebu tuambie Chagonja, tatizo ni nini kama kukiwa na maandamano??
Au yakiwepo nyie polisi mtakosa mishahara, au mtakufa au mtafukuzwa kazi au na nyie mna chama cha siasa kinachoshindana na hawa UKAWA??
Ni nini haswa tatizo lenu?
 
Nimemsikia akiongea ITV kuwa ameitwa kwa DCI Manumba baada ya kutangaza maandamano nchi nzima na kusisitiza maandamano yako pale pale acha hata damu zimwagike japo CP Chagonja ametangaza kuwathibiti watakaofanya maandamano hayo.

Huyu Mbowe naona ana mihemko ya kuchaguliwa baada ya kubeba vibabu toka maeneo mbalimbali vimchukulie fomu.

Ni vema akakae chini atafakari nafasi aliyojitafutia ajue wapi aboreshe na siyo kutafutia waliomchagua matatizo.

Baada ya kuvuna hiyo kitu maandamano
 
Attachments

  • 1410812184952.jpg
    1410812184952.jpg
    64.5 KB · Views: 177
Nimemsikia akiongea ITV kuwa ameitwa kwa DCI Manumba baada ya kutangaza maandamano nchi nzima na kusisitiza maandamano yako pale pale acha hata damu zimwagike japo CP Chagonja ametangaza kuwathibiti watakaofanya maandamano hayo.

Huyu Mbowe naona ana mihemko ya kuchaguliwa baada ya kubeba vibabu toka maeneo mbalimbali vimchukulie fomu.

Ni vema akakae chini atafakari nafasi aliyojitafutia ajue wapi aboreshe na siyo kutafutia waliomchagua matatizo.

Ahaa kumbe Mbowe ndo aliyesema "wapigwe tu maana tumechoka",, kama ni yeye kweli anamihemko
 
Yaani wale vibaka na mateja ccm inajaza malori unafikiri cdm ina nafasi? Mleta mada huna hoja. Cdm ni mziki mnene sana. Zzk aliucheza akachanganyikiwa. Haamini macho yake.
 
Ni shidaa na maajabu POlice wa Tanzania kutumika au kufanya kazi kwa maagizo ya Wasira na kina Willium Lukuvi shame on you Paul Chagonja na DC Manumba ole wenu Chadema ichukue nchi mtatafuta pa kwenda "####¤##"!!!!!!FU""#"##CK¤##"""#"#"#"These""#"#"""PU""""¤¤"¤%%&Se%¤¤%%%s
 
Wasikuokuwa na majukumu na mazuzu wanaodanganyika kisiasa wakaandamane wapambane na nguvu ya dora watuache sisi mtaani tunaendelea na maisha kwa amani.
 
Back
Top Bottom