Mbowe: Nimeitwa kwa DCI Manumba

Mbowe: Nimeitwa kwa DCI Manumba

Nimemsikia akiongea ITV na kusisitiza kuwa maandamano yako pale pale acha hata damu zimwagike japo CP Chagonja ametangaza kuwathibiti watakaofanya maandamano hayo.

Huyu Mbowe naona ana mihemko ya kuchaguliwa baada ya kubeba vibabu toka maeneo mbalimbali vimchukulie fomu.

Ni vema akakae chini atafakari nafasi aliyojitafutia ajue wapi aboreshe na siyo kutafutia waliomchagua matatizo.

Aache kulewa madaraka ya uenyekiti na kuropoka ovyo, hiyo raha aliyo nayo akaimalize kwanza ndipo aje aongee jambo la kitaifa yy kama kiongoz wa kambi ya upinzani. Akipata uraisi si atataka watu waandamane kwa kutembea kwa miguu hadi Uswisi!

Naona umelewa mataptap; hayo ni maneno yako ya kutunga. Mh Mbowe hawezi ameitwa kwa DCI Manumba, wakati DCI wala si Manumba. Huu Uzi inabidi mods muuondoe
 
Kuna wanaoona kuliko watoto wao wajukuu wateseke milele ni bora wafe kama Mkwawa!
 
Nimemsikia akiongea ITV na kusisitiza kuwa maandamano yako pale pale acha hata damu zimwagike japo CP Chagonja ametangaza kuwathibiti watakaofanya maandamano hayo.

Huyu Mbowe naona ana mihemko ya kuchaguliwa baada ya kubeba vibabu toka maeneo mbalimbali vimchukulie fomu.

Ni vema akakae chini atafakari nafasi aliyojitafutia ajue wapi aboreshe na siyo kutafutia waliomchagua matatizo.

Aache kulewa madaraka ya uenyekiti na kuropoka ovyo, hiyo raha aliyo nayo akaimalize kwanza ndipo aje aongee jambo la kitaifa yy kama kiongoz wa kambi ya upinzani. Akipata uraisi si atataka watu waandamane kwa kutembea kwa miguu hadi Uswisi!

hivi wewe ni mzima kwenye makalio yako?
 
Back
Top Bottom