Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,949
Naomba tafsiri hapo, hayo mengine yatawasaidia watuhumiwa kwenye utetezi mahakamani
Soma vizuri au wewe siyo mswahili?😁😁
Naomba tafsiri hapo, hayo mengine yatawasaidia watuhumiwa kwenye utetezi mahakamani
Demonstrations is not a crime...katiba inaruhusu. Mbowe ameonewa ila iko siku watalipa kisasi
Huo ni uchambuzi finyu mno na wa upendeleo (biased).
Chambua hivi:-
(1) Kwanini waandamane?!
Waliandamana baada ya kutokusikilizwa kwa haki zao wakizozadai katika ule uchaguzi wa kinondoni/ kutokusikilizwa na mkurugenzi wa uchaguzi na waliandamana kwa kufuata haki ya kikatiba kudai madai yao yasikilizwe na watekelezewe na hii ni baada ya njia za kawaida kushindikana.
(2) Kuzuiwa kwa maandamano kwa mtutu wa bunduki "kuua" watu wasiokuwa na silaha walioandamana kisheria.
(3) Polisi wakafyatua risasi kuua watu walioandamana kikatiba na risasi ikampiga raia ambaye hakuwemo katika maandamano.
Ukianzia na hayo maelezo toka mwanzo, Sasa sema kwa HAKI ni nani alaumiwe??.
hilo liko mahakamani hatujadiliIlikuwaje polisi wakampiga risasi Aquilina??? tuanzie hapo kwanza.
Sasa uchungu wa nini wakati mambo yanawaendea byeNchi isiyo na wananchi wenye uchungu wa nchi ni haina tofauti na kupombeka kwa pesa za kamali,upinzani wakauke tu wasiwe na shobo watafune pesa hizo,watz ajanyooka hawana uchungu na nchi mpka waumie ndipo wapate angalau maumivu,wapinzani waachane na kukosoa chama tawala wakiunge mkono watafune wote pesa watuache wananchi na ubize wetu nawaapia tutanyooka taratibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna sheria inayomtaka police kupiga risasi ikiwa watu wamefanya maandamano ya amani?Chanzo ni maandamano yasiyofuata taratibu, yale yale ambayo kwa miaka ya nyuma ilikuwa poa tu!
Safari hii kafa mmoja na wamekomaliwa hatari
Kwa hiyo ukitaka aonewe huruma wakati kavunja sheria...acha ujinga....sheria ni msumeno..hakuna aliye juu ya sheriaKumuweka tu Mbowe ndani mmeitangazia dunia kuwa Tanzania ni ya ki DICTATOR !! Vipi Maghufuli ndiye angelikuwa Maduro , nadhani angeagiza vyombo vya Dola na vya maamuzi kumuua kabisa H. Guido .
Mtu aliyeruka dhamana hawezi kurudi mahakamani mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
We unavyomuona Mbowe anapigania maslahi ys wananchi au maslahi yake mwenyewe...? Hahahahha....umevurugwa..ukitaka kumjua huyo jamaa muulize Chacha wangwe Mkumbo Zitto Mwigamba Said Arfi na hawa kina Waitara Mollel na wengineo ambao wamemkimbiaNimecheka sana hiyo picha ya hapo chini,lakini kupanga ni kuchagua,unapoamua kuacha biashara na kuingia kwenye siasa ujiandae kwa lolote maana hapa unakuwa unapigania maslahi ya wananchi na si mali zako...
Labda nikuulize..taaluma yako ni nini..umesomea sheria au ndio nyie wa division five unajifanya unajua kila kitu..Sheria zipo kwa Mbowe tu?,suala la dhamana lilipaswa limalizwe na kesi kuendelea.
Hakika nakuambia huyu anayechezea kodi za wananchi ndiyo mvunja sheria Mkubwa.
Hafuati kanuni na taratibu za sheria ,je ni nani wa kumkemea..? Bunge lililojaa wagonga meza wa ndiyo limekosa meno.
Sheria zote zilikiukwa kama unavyosema, na walikuwa na haki ya kuandamana.Kuna sheria inayomtaka police kupiga risasi ikiwa watu wamefanya maandamano ya amani?
Vipi serikali ingetoa hat za viapo kwa wahusika WA upinzani hayo unayoyaita maandamano yangelifanyika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Maandamano ya raia wasiokuwa na silaha hayawezi kuzimwa kwa risasi za motto. Kuna siku wahusika watajibu hayo mashtaka; yametokea Afrika Kusini kwa askari wa jeshi la Makaburu. Hapa kwetu itakuwa ndiyo njia ya kupatanisha taifà; kuwafungulia mashtaka wale wote waliokiuka misingi ya haki na kutumia vibaya madaraka. Wakati maagizo kutoka juu hayatakuwepo.
hilo liko mahakamani hatujadili
Sheria zote zilikiukwa kama unavyosema, na walikuwa na haki ya kuandamana.
Je taratibu za maandamano zilifuatwa?
Ushoga umeisha umekuja utoto sasaUmewahi kuona kibali cha maandamano ya kupinga dhuluma ya serikali? Acha utoto.
Ushoga umeisha umekuja utoto sasa
Ni nani alithibitisha kama Aquilina alipigwa risasi na alipigwa risasi na nani? Tuanzie hapoIlikuwaje polisi wakampiga risasi Aquilina??? tuanzie hapo kwanza.