Mbowe ni wa kumuonea huruma tu!

Mbowe ni wa kumuonea huruma tu!

Kumuweka tu Mbowe ndani mmeitangazia dunia kuwa Tanzania ni ya ki DICTATOR !! Vipi Maghufuli ndiye angelikuwa Maduro , nadhani angeagiza vyombo vya Dola na vya maamuzi kumuua kabisa H. Guido .

Mtu aliyeruka dhamana hawezi kurudi mahakamani mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app

TANZANIA ni nchi huru

ukiishaitangaza kidunia, then inakuwaje?

mbona hao USA au UK hawajamtoa?

mtu anaumia ndanj mnaleta upuuzi, ndio maana, JPM anataka akili ike kichwani kwanza
 
Kwa ku-declare interest, binafsi sijawahi kukubali siasa za huyu mheshimiwa tangu dunia ianze, ila kwa udhaifu wa kibinadamu, kiukweli kabisa ningependa kum-favor na kuona akiachiliwa huru tu!

Naamini amejifunza sana sasa na ataweza kutofautisha kati ya siasa na sheria (ambazo kazitunga mwenyewe). Kujua pia ni ipi kati ya habari 100 za Mange ya kuichukua (Kama ipo).
Naamini pia ataweza kutambua japo kwa kuchelewa kuwa utawala umebadilika kweli na kuona kuwa yeye mwenyewe anatakiwa kubadilika kulingana na hali, maana utawala wa mazowea umepita.

Atatambua kuwa Tanzania kama nchi tulipoamua kufanya uchaguzi kila baada ya miaka mitano tulitaka kubadilisha flavour, mambo yasiwe yale yale kila siku eti. Ni bahati nzuri ngalau kwa mara ya kwanza sasa kama nchi tunamaanisha.

Hapa nakumbuka enzi za JK yeye na wenzake walikuwa wanaitisha maandamano kadri wanavyojisikia bila hata kufuata taratibu, watu wanakufa na wengine wanapata vilema vya kudumu, lakini nani alijali? Just the next morning JK anawaita Ikulu kwenda kugonga glass, hapo hapo jioni yake tena wanamtukana matusi yote ndani na nje ya bunge pamoja na kumwita dhaifu. Mwenyewe anacheka tu, hana habari! Sana sana atasafiri siku mbili tatu nje ya nchi kidiplomasia hata kukwepa harufu ya samaki pale Feri.

Walikuwa serikali kivuli na nusu hasa ambapo serikali halisi ilikuwa mbili. Mheshimiwa ana msongo mkubwa wa mawazo kwa mambo mengi ndani ya chama yanavyokwenda hovyo na msongo wa mwili kwa kukaa mahabusu muda mrefu mpaka sasa, obvious, halafu ongeza na la ENL! Karibia kila kitu kimebadilika ndani ya miaka mitatu.

Daah! Binafsi natamani, pengine hata #1 angetamani kuona anatoka. Lakini ndiyo tunafanyaje sasa na nchi yetu ni ya kidemokrasia, tumechagua kufuata utawala wa sheria? Itakavyoamua mahakama ni sawa, ama siyo sawa kwa kukata rufaa, kwao ama kwa serikali. Ni pole tu kwa kweli! Hilo lipo ndani ya uwezo wangu, nalimudu.

Nawasilisha, Tindikali

View attachment 1039816
Subir bwabwa wew wanasheria wenu wamegaragazwa mahakama ya rufaa leo wamegaragazwa tena mahakama kuu wanasheria wajinga hawajui kes ipi ni ya kupeleka mahakaman na nikesi ipi si ya kupeleka.
 
Ujinga mtupu eti utawala wa sheria . Tangu lini sheria zilifuatwa hapa kwetu?

Eti utawala umebadilika ,nyie ni wakoloni?

Kwamba hii kesi ilitakuwa kupelekwa kwa Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa siyo?
 
Ujinga mtupu eti utawala wa sheria . Tangu lini sheria zilifuatwa hapa kwetu?

Eti utawala umebadilika ,nyie ni wakoloni?

Sent using Jamii Forums mobile app
CDM5.jpg
15g2dkx.jpg
 
"Msinililie mimi, jililieni wenyewe na watoto wenu". Wakuonewa huruma ni yule ambaye alisema "Nimerudi nyumbani" ukimwangalia usoni hana furaha, hana amani, hana ukakamavu. Hata wale waliokuwepo ukiwaangalia pia hawana furaha hawana amani lakini wanapiga makofi.

Kama mzazi basi atalazimika kumpokea kwa kuwa ni mwanae hata kama hana faida. Wazazi wavumilivu sana kwani hupokea hata misiba ya watoto wao waliotokomea kusikojulikana kwa miaka mingi.
Mkuu pole kwa kuwa na akili iliyojikunjakunja!
 
Kwa ku-declare interest, binafsi sijawahi kukubali siasa za huyu mheshimiwa tangu dunia ianze, ila kwa udhaifu wa kibinadamu, kiukweli kabisa ningependa kum-favor na kuona akiachiliwa huru tu!

Naamini amejifunza sana sasa na ataweza kutofautisha kati ya siasa na sheria (ambazo kazitunga mwenyewe). Kujua pia ni ipi kati ya habari 100 za Mange ya kuichukua (Kama ipo).
Naamini pia ataweza kutambua japo kwa kuchelewa kuwa utawala umebadilika kweli na kuona kuwa yeye mwenyewe anatakiwa kubadilika kulingana na hali, maana utawala wa mazowea umepita.

Atatambua kuwa Tanzania kama nchi tulipoamua kufanya uchaguzi kila baada ya miaka mitano tulitaka kubadilisha flavour, mambo yasiwe yale yale kila siku eti. Ni bahati nzuri ngalau kwa mara ya kwanza sasa kama nchi tunamaanisha.

Hapa nakumbuka enzi za JK yeye na wenzake walikuwa wanaitisha maandamano kadri wanavyojisikia bila hata kufuata taratibu, watu wanakufa na wengine wanapata vilema vya kudumu, lakini nani alijali? Just the next morning JK anawaita Ikulu kwenda kugonga glass, hapo hapo jioni yake tena wanamtukana matusi yote ndani na nje ya bunge pamoja na kumwita dhaifu. Mwenyewe anacheka tu, hana habari! Sana sana atasafiri siku mbili tatu nje ya nchi kidiplomasia hata kukwepa harufu ya samaki pale Feri.

Walikuwa serikali kivuli na nusu hasa ambapo serikali halisi ilikuwa mbili. Mheshimiwa ana msongo mkubwa wa mawazo kwa mambo mengi ndani ya chama yanavyokwenda hovyo na msongo wa mwili kwa kukaa mahabusu muda mrefu mpaka sasa, obvious, halafu ongeza na la ENL! Karibia kila kitu kimebadilika ndani ya miaka mitatu.

Daah! Binafsi natamani, pengine hata #1 angetamani kuona anatoka. Lakini ndiyo tunafanyaje sasa na nchi yetu ni ya kidemokrasia, tumechagua kufuata utawala wa sheria? Itakavyoamua mahakama ni sawa, ama siyo sawa kwa kukata rufaa, kwao ama kwa serikali. Ni pole tu kwa kweli! Hilo lipo ndani ya uwezo wangu, nalimudu.

Nawasilisha, Tindikali

View attachment 1039816
Pole sana,
unaonekana umeumia sana.

Katika kuleta mabadiliko yenye manufaa ya vizazi vijavyo hutakiwi kutoa mchango unaokuonesha umerojeka kiasi hiki.
(Very desperate)

Ni aibu kwa mpambanaji, akina Mandela wangerojeka kwa mateso na vitisho vya makaburu tusingekuwa hapa.

Huo ni udhaifu, jera siku 45 tu kwa mtu mwingine wewe unakuwa kama jojo iliyochemshwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Enzi za Jk hayo maandamano aliyoyaitisha Mbowe yakasababisha watu wakawa vilema yalifanyika wapi na lini au umekurupuka tu toka usingizini ukaja JF .
 
Sheria zipo kwa Mbowe tu?,suala la dhamana lilipaswa limalizwe na kesi kuendelea.

Hakika nakuambia huyu anayechezea kodi za wananchi ndiyo mvunja sheria Mkubwa.

Hafuati kanuni na taratibu za sheria ,je ni nani wa kumkemea..? Bunge lililojaa wagonga meza wa ndiyo limekosa meno.
Jifunze kuijua sheria!!! Mahakama iko huru tatizo la wapinzani wengi mahakama isipo judge wanavyopenda wao mnaanza kuita majina yenu kama dikteta ambayo hayaathiri chochote aidha mahakamni au nje!!!

Unapaswa utoe uchadema kwanza then beba kofia ya sheria kama mbowe kaonewa!!! Au walikuwa na hiyo kesi wawili tu????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana,
unaonekana umeumia sana.

Katika kuleta mabadiliko yenye manufaa ya vizazi vijavyo hutakiwi kutoa mchango unaokuonesha umerojeka kiasi hiki.
(Very desperate)

Ni aibu kwa mpambanaji, akina Mandela wangerojeka kwa mateso na vitisho vya makaburu tusingekuwa hapa.

Huo ni udhaifu, jera siku 45 tu kwa mtu mwingine wewe unakuwa kama jojo iliyochemshwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani tupo wapi?
Kuhusu kurojeka, angalia vizuri hizo picha. Ni awamu ya nne vs awamu ya tano, huoni mtu aliyerojeka?
Binafsi namuonea huruma, natamani apate dhamana
 
Naamini amejifunza sana sasa na ataweza kutofautisha kati ya siasa na sheria (ambazo kazitunga mwenyewe).

Wewe hujielewi na umeandika kwa kufuata mihemuko, hivi ni nani mtu wa kwanza hapa nchini anayetakiwa kuonyesha njia ya kutii sheria?!,

(1) Hujui kufanya mikutano ya kisiasa ni haki ya kikatiba ya vyama vya siasa !?
(2) Hujui kuandamana ni njia moja ya kikatiba kudai haki?!
(3)Hujui kwamba hakuna mtu yeyote aliyejuu ya sheria--- licha ya wadhifa wake?!--- polisi wameelekezwa kuua ili wapandishwe vyeo.
(4) Hujui mtuhumiwa yeyote anatakiwa kwanza apelekwe mahakamani ili ajitetee ?! -- kuliko kutoa amri zinazo kiuka haki za kinadamu.
(5) Hujui kiongozi ni lazima aongozwe na katiba HEKIMA na BUSARA wala siyo jazba??
(6) Hujui kiongozi hatakiwi kutukana na kudharau watu??
(7) Hujui kiongozi hatakiwi awe na upendeleo wa sina yeyote??
(8) Hujui kiongozi anatakiwa alinde ulimi wake katika kila anachoongea??
(9) Hujui kiongozi ni yule anayepeleka maendeleo yanayojali kwanza hadhi ya utu na siyo yanayojali hadhi ya vitu??.
(10) Hujui hii nchi ni ya Watz wote na haimilikiwi na mtu au watu fulani au chama fulani??
(11) Hujui kila mtu anayohaki ya kutoa maoni yake bila hofu kwa mustakbali wa nchi bila kuvunja sheria?? (Freedom of expression )
 
Kwa akili yako Mbowe kasalimu amri? Utasubiri sana, jamaa kawa imara zaidi. Umeona sura yake kizimbani? Full tabasamu, huwezi linganisha na sura zingine zinazokuja mahakamani Kwa huzuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na huoni hata inchi moja nyuma ya hilo "tabasamu" daah!
Wewe ndiyo mfano halisi wa aina ya watu anaowaongoza, nyumbu at it's purest form. Ni wa kumuonea huruma zaidi kwa kweli
 
Wa kuonea huruma ni hawa wasanii na siyo watetezi wa haki za Mtanzania!
-%20KumbukiziMTAFUTANO.jpeg
 
Back
Top Bottom