Mbowe ni wa kumuonea huruma tu!

Mbowe ni wa kumuonea huruma tu!

Tindikali Kali

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2018
Posts
544
Reaction score
396
Kwa ku-declare interest, binafsi sijawahi kukubali siasa za huyu mheshimiwa tangu dunia ianze, ila kwa udhaifu wa kibinadamu, kiukweli kabisa ningependa kum-favor na kuona akiachiliwa huru tu!

Naamini amejifunza sana sasa na ataweza kutofautisha kati ya siasa na sheria (ambazo kazitunga mwenyewe). Kujua pia ni ipi kati ya habari 100 za Mange ya kuichukua (Kama ipo).
Naamini pia ataweza kutambua japo kwa kuchelewa kuwa utawala umebadilika kweli na kuona kuwa yeye mwenyewe anatakiwa kubadilika kulingana na hali, maana utawala wa mazowea umepita.

Atatambua kuwa Tanzania kama nchi tulipoamua kufanya uchaguzi kila baada ya miaka mitano tulitaka kubadilisha flavour, mambo yasiwe yale yale kila siku eti. Ni bahati nzuri ngalau kwa mara ya kwanza sasa kama nchi tunamaanisha.

Hapa nakumbuka enzi za JK yeye na wenzake walikuwa wanaitisha maandamano kadri wanavyojisikia bila hata kufuata taratibu, watu wanakufa na wengine wanapata vilema vya kudumu, lakini nani alijali? Just the next morning JK anawaita Ikulu kwenda kugonga glass, hapo hapo jioni yake tena wanamtukana matusi yote ndani na nje ya bunge pamoja na kumwita dhaifu. Mwenyewe anacheka tu, hana habari! Sana sana atasafiri siku mbili tatu nje ya nchi kidiplomasia hata kukwepa harufu ya samaki pale Feri.

Walikuwa serikali kivuli na nusu hasa ambapo serikali halisi ilikuwa mbili. Mheshimiwa ana msongo mkubwa wa mawazo kwa mambo mengi ndani ya chama yanavyokwenda hovyo na msongo wa mwili kwa kukaa mahabusu muda mrefu mpaka sasa, obvious, halafu ongeza na la ENL! Karibia kila kitu kimebadilika ndani ya miaka mitatu.

Daah! Binafsi natamani, pengine hata #1 angetamani kuona anatoka. Lakini ndiyo tunafanyaje sasa na nchi yetu ni ya kidemokrasia, tumechagua kufuata utawala wa sheria? Itakavyoamua mahakama ni sawa, ama siyo sawa kwa kukata rufaa, kwao ama kwa serikali. Ni pole tu kwa kweli! Hilo lipo ndani ya uwezo wangu, nalimudu.

Nawasilisha, Tindikali
15g2dkx.jpg

CDM5.jpg

FB_IMG_1551897482322.jpg
 
View attachment 1039816
Mwonee huruma anayedhani kwa kukaa ikulu tu kaimaliza Dunia Kumbe Safari bado, Huhitaji kumwonea huruma Mbowe, ionee huruma nchi yako Tanzania, inavyodidimia kwa umaskini kila kukicha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sheria zipo kwa Mbowe tu?,suala la dhamana lilipaswa limalizwe na kesi kuendelea.

Hakika nakuambia huyu anayechezea kodi za wananchi ndiyo mvunja sheria Mkubwa.

Hafuati kanuni na taratibu za sheria ,je ni nani wa kumkemea..? Bunge lililojaa wagonga meza wa ndiyo limekosa meno.
 
Bunge limetiwa mfukoni. Lina fuata maagizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom