Mbowe: Ni vema baadhi yetu tuondoke lakini tulikomboe Taifa, lazima tutoke na Maamuzi Magumu

Ni Asubuhi njema kabisa huku mji wa Dodoma ukiwa na shamrashamra kadhaa za Kikao cha Baraza kuu la Chadema kitakachoongozwa na Mwenyekiti wake Freeman Mbowe.

Tayari wajumbe kadhaa wameshawasili wakiwemo mawaziri wakuu wastaafu Edward Lowassa na Fredrick Sumaye.

Kikosi kamili cha habari Chadema kitawaletea live coverage kuanzia sasa.

Karibuni

UZANDIKI TU HAKUNA JIPYA: WANAHUTUBIWA NA ZERO YA FORM 6
 
Ni Asubuhi njema kabisa huku mji wa Dodoma ukiwa na shamrashamra kadhaa za Kikao cha Baraza kuu la Chadema kitakachoongozwa na Mwenyekiti wake Freeman Mbowe.

Tayari wajumbe kadhaa wameshawasili wakiwemo mawaziri wakuu wastaafu Edward Lowassa na Fredrick Sumaye.

Kikosi kamili cha habari Chadema kitawaletea live coverage kuanzia sasa.

Karibuni

Molemo usitoweke sana kiasi hicho mkuu , usitutelekeze Makamanda wako kiasi hicho , tunapambana sana , japo adui yetu ni dhaifu mithili ya urojo lakini nyuma yake kuna vifaru , bastola na Smg , hata hivyo tunaelekea kushinda , zimebaki 20% tu.
 
Back
Top Bottom