Mbowe: Ni vema baadhi yetu tuondoke lakini tulikomboe Taifa, lazima tutoke na Maamuzi Magumu

hawawezi kufanya hicho ndugu yangu...zaidi hawashauriki.
muda si mrefu utawaelewa tu
Dah mkuu ikiwa hivo wanatuangusha sana maana 2018 hyo inagonga hodi....... ccm wanazidi kupata airtime ikifika 2020 tutapigwa knockout hivi hivi tunaangalia
 
Kila la heri ktk mkutano wa Baraza Kuu la Chadema huko Dodoma hope mtamaliza na maazimio ya kulijenga na kuonyesha njia kwa Taifa la Tanzania.

Nategemea sitasikia maazimio kama operation Ukuta,Kata funua,n.k
 
"Sisi CHADEMA tunaamini kwamba utaratibu unaotumika na Rais katika kushughulika na hili swala la mchanga wenye madini litatupelekea kama taifa kushitakiwa katika mahakama za kimataifa na uwezekano mkubwa wa kushindwa kesi hizo upo na kupigwa faini za mabilioni ya pesa.
Ni muhimu kama taifa kuwa makini sana tunapofanya maamuzi juu ya wawekezaji." Freeman Mbowe
Dodoma, Tanzania
[HASHTAG]#Baraza[/HASHTAG] kuu CHADEMA

0bf0bbc7b4173baebdcb0e0d3df44f6e.jpg
 
Ni Asubuhi njema kabisa huku mji wa Dodoma ukiwa na shamrashamra kadhaa za Kikao cha Baraza kuu la Chadema kitakachoongozwa na Mwenyekiti wake Freeman Mbowe.

Tayari wajumbe kadhaa wameshawasili wakiwemo mawaziri wakuu wastaafu Edward Lowassa na Fredrick Sumaye.

Kikosi kamili cha habari Chadema kitawaletea live coverage kuanzia sasa.

Karibuni

hapo ndipo sielewi TBC wana akili gani. Chama kikuu cha upinzani kinafanya mkutano wao mkuu lakini hakipo live? Hivi hii television ni ya serikali ama ya mtu binafsi??

Japo siishi Tanzania kama kweli TBC hawaonyeshi huu mkutano basi ni hatari sana kwa siasa za Tanzania.
 
Ni Asubuhi njema kabisa huku mji wa Dodoma ukiwa na shamrashamra kadhaa za Kikao cha Baraza kuu la Chadema kitakachoongozwa na Mwenyekiti wake Freeman Mbowe.

Tayari wajumbe kadhaa wameshawasili wakiwemo mawaziri wakuu wastaafu Edward Lowassa na Fredrick Sumaye.

Kikosi kamili cha habari Chadema kitawaletea live coverage kuanzia sasa.

Karibuni

Jamii forums mlituonyesha mkutano wa CCM mbona huu hamuupnyeshi?????
 
Hamna shida ila hajafoji vyeti kuliko angekuwa na PHD ya kufoji!!!!
Shida Ipo - Akili Kubwa Itaongozwaje na ZIRO Kidato cha 6???? Mkewe Joyce Mukya hajambo? Msalimie pia na yule dada aliyekuawa msaidizi wake Bungeni ambaye amempa ubunge viti maalum. Mnajifanya waadilifu wakati kuna uozo kibao kwenye hicho chama...... zidumu fikra za ziro
 
Yaani hamna folowers kabisa, prof mruma kaufunika kabisa huu mkutano, kila ukiangalia humu JF ni makinikia tu.
 
Chadema wanaomba usiku na mchana tushtakiwe na acacia kwenye international courts au kangaroo courts mana wasipotushtaki chadema inapukutika kama nzige na itaonekana wazi wameudhika sana jpm kuvalia njuga swala la uhujumu uchumi
 
Ni Asubuhi njema kabisa huku mji wa Dodoma ukiwa na shamrashamra kadhaa za Kikao cha Baraza kuu la Chadema kitakachoongozwa na Mwenyekiti wake Freeman Mbowe.

Tayari wajumbe kadhaa wameshawasili wakiwemo mawaziri wakuu wastaafu Edward Lowassa na Fredrick Sumaye.

Kikosi kamili cha habari Chadema kitawaletea live coverage kuanzia sasa.

Karibuni

Updates....
Tayari Mwenyekiti wa Chama Freeman Mbowe ameshawasili ukumbini huku akisindikizwa na Katibu Mkuu Dr Vicent Mashinji,Wajumbe wa Kamati Kuu na viongozi wakuu wa mabaraza ya chama.

Mwenyekiti Mbowe analakiwa kwa bashasha kubwa na wajumbe wa Baraza Kuu huku waandishi wa habari wakiwa wamefurika katika ukumbi huu.

Updates no 2....
Sasa Mwenyekiti Mbowe anatoa hotuba rasmi kuashiria kulifungua Baraza Kuu.

Sisi mamilioni ya watanzania tunawaombea kikao chenye baraka na mafanikio tele
 
Back
Top Bottom