mjepo
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 4,913
- 916
Kwa mda mrefu nimekuwa nafuatilia siasa za mwenyekiti wa chadema taifa ndugu mbowe,amekuwa akifanya siasa za harakati na mapambano ambayo kwa kiasi kikubwa amefanikiwa kukipa sifa chama chake kwa namna moja au nyingine.
Baada ya mda mwingi kupita akifanya siasa zake kwa siku hivi kribuni nimekuja kuamini kuwa mbowe ni muongo wa hali ya juu sana amekuwa akizungumza masuala ya uongo kabisa wakati huo akijua kuwa huo ni uongo.
Akichangia leo bungeni ameongea kitu cha uongo kabisa kwamba eti baraza la wafanya kazi yani TUCTA kwamba walitoa maoni ya kuunga mkono serikali tatu,hoja hii ya mbowe imenishangaza kwa kuwa mimi nilifanikiwa kuyaona hayo maoni ya tucta yalitaka serikali moja hii ya serikali tatu mbowe kaitoa wapi,kwa nini mbowe anatumia bunge kufanya siasa na kupotosha umma?
Lakini mbali na hiyo mbowe alitaka kupiga kura ya siri lakini zoezi la kupiga kura lilipofika mbowe alihimiza wajumbe wa upande wake wapige kura ya wazi nilishangaa sana juu ya hili kwa nini mbowe anakuwa muongo kwa kiasi hiki si sawa lazima abadilike anakera.