Mbowe ni mtu wa ajabu sana

Sijawahi kumuona mwanasiasa aliehudumu ktk siasa miaka 40 hafla kukosa uongozi akakaa kimya Kama Mbowe.

Sio Tanzania, China au hata Japan
Labda wewe ndio mshamba, kukaa kimya baada ya kuhudumu mrefu kitu cha ajab
Ni ustaarabu wa mtu binafsi, unless huna huo ustaarab au una tamaa
 
tumia neno mwenye makengeza kama aitwavyo na vyombo vya jeshi nchini

Miaka yote hiyo amefanya biashara bila tin number au kwake chadema ilikuwa tin number
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…