Mbowe ndiye tatizo CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbowe ndiye tatizo CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mkuki moyoni, Jul 6, 2011.

 1. m

  mkuki moyoni Senior Member

  #1
  Jul 6, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbowe ndiye tatizo kwa cdm, mnaona jamaa anavyowamaliza wanaompinga, eti kisa anataka aendelee kufanya biashara ndani ya cdm, mnakumbuka magari yake analazimisha atuuzie, anawaondoa wote wanaomkosoa, anawatumia watu tu, wakishamfanikisha anawatupa kama cond..m,huyu jamaa hafai nasikia anataka kuggombea urais ndio maana anafanya mbwmbwe sana na kuwahujumu wenzake,mbowe huna sifa ya kuwa rais wa nchi hii, hata moshi mjini unayotaka ukagombee ubunge utaabika kabisa.

  Unataka ww uwe juu tu kuliko wengine na huna uimara wa kufikiri, kumbuka ulivyoropoka kwenye bajeti baada ya kikao cha bunge, sikia ulivyoropoka kuhusu madiwani arusha, halafu leo unakuja na ujinga wa kuwakana, nimeongea na wanachama wengi sana wamenipa huu ujumbe nikupe, kama ukimeza wembe umezs tu, hasa huku visiwani hutakiwi kuja kabisa shaurilo ukijipendekeza utaokona.
  haya kwa uchaguzi wa cdm 2013 labda uuairishe eti, vinginevyo utaanguka na utashangaa.

  Tunamkumbuka chacha wangwe sana, tunammis sana msema ukweli wetu sie, kwa nini unagombana na kila mtume ajaye cdm akiwa hakubaliani na wewe mbaba? wewe ni tatizo.
   
 2. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Wewe unafaa basi nenda kagombee.
   
 3. H

  Hekima Ufunuo JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 220
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Uchambuzi haujanifanya nikuunge mkono, let sold evidence kwenye hili mh.
   
 4. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #4
  Jul 6, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,129
  Trophy Points: 280
  chadema mbona hatuna mwanachama kama wewe? Umetumwa na chenge nini? Mbowe amemfukuza nani? Au unazungumzia shibuda?
  Magari si yalishatolewa ufafanuzi na uongozi wa chadema? Mbona unakuwa du.wa.nzi?
  Hatuna mwanachama kama wewe so acha uzushi wako hapa.
   
 5. Selous

  Selous JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2011
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 1,322
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kweli mkuki moyoni. Pole ndugu kwa masaibu.
   
 6. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #6
  Jul 6, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hahahahaaha....hahahaaa....hahha...heheheee...
  mbumbumbu ndandanda mzungu wa reli.


  umenichekesha mpaka basi.
  Mbowe anatakiwa akaze buti la sivyo mamluki watakuwa wengi sana huko CHADEMA. wengi watakuja kwa njia nyingi kuwa makini mh Mbowe.
   
 7. M

  Michelle Hilton Senior Member

  #7
  Jul 6, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 141
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  km hamjui yy yuko kimaslah zaidi na chunguza zaidi uone jinsi alivyoleta mgogoro kuhusu ruzuku,huyo ndo m.kiti wao cjui akiwa rais itakuwaje atakuwa fisad mara 100
   
 8. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #8
  Jul 6, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  amiii mbona waleta taarabu atiiii, wewe si ulitaka kugombea chukua fomu amii acha longolongo za kimagamba atii.
  huko visiwani hakuna upinzani baada ya ndoa ya mkeka na tunaomba mtuachie siasa zetu za bara kwani nasi tumewaachia siasa za maji taka visiwaniatii.
   
 9. F

  FJM JF-Expert Member

  #9
  Jul 6, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Nini maoni yako kuhusu sakata la RADA?
   
 10. M

  Marytina JF-Expert Member

  #10
  Jul 6, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Mbowe ndiye KISIKI namba mbili kwa JK.
  ccm wanajua kuwa Mbowe ni ngangari sana na hayumbi kirahisi.
  Mbowe ana uwezo wa kujenga na kutetea hoja.
   
 11. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #11
  Jul 6, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mchango wa Mbowe usingekuwepo Chadema isingefika hapa ilipo! Chadema bila mbowe si kitu, Mbowe kaifanyia mengi chadema, always amekua akiitakia mema chadema, yupo kwa ajili ya chadema! Humu Jf wachonganishi mmekua wengi sana!
   
 12. M

  Marytina JF-Expert Member

  #12
  Jul 6, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  HATA KAMA NI UBABE BASI BORA AWE NAO maana bila huo ubabe CDM ingeyumba sana.
  MBOWE ni kisiki namba mbili na ni wazi aina ya uongozi wake ndio unaofaa zaidi kwa CDM ya sasa
   
 13. T

  Triple DDD Senior Member

  #13
  Jul 6, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 151
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuki moyono umesoma wapi uchaguzi 2013 ni wa Rais yupi?

  Kuhusu magari ni sahihi kukiuzia chama, yale magari yalinunuliwa na Mbowe ni special mobile music van mpaka zina
  stage za music na alikuwa anazitumia kampeni hadi kampeni hakuwa na issue nazo na sio fuso kama za kubeba
  nyanya kariakoo hilo uelewe. Chama kingepata gharama na hasara wakati wa next election cos wanalipa kwa awamu.

  Kama walijua gari la komba CCM la mziki ni ya aina hio sasa unataka ayapeleke wapi na alinunua kwa ajili ya CDM ??
  Tena ni msaada mkuba sana tunashukuru mbowe tena ununue vingine utupe.
  Hivi kobe ukimvua magamba atapona kweli ????
   
 14. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #14
  Jul 6, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  Pombe za kienyeji kweli zina madhara
   
 15. M

  Marytina JF-Expert Member

  #15
  Jul 6, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  iwe ni kwa ubabe, udikteta au umabavu wowote ule ila MBOWE NI KIKWAZA SANA KWA CCM kuirubuni CDM,
  tabia za Mbowe zimewafanya mamluki ndani ya CDM washindwe kupenyeza agenda zao.
  MBOWE AENDELEE HIVYO HIVYO .
   
 16. BABA JUNJO

  BABA JUNJO JF-Expert Member

  #16
  Jul 6, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 241
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuki moyoni !!!!!!!!!!!!!!!!!!!! unaukumbuka ule wimbo wa Afande Sele wa MKUKI MOYONI?
   
 17. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #17
  Jul 6, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hii kazi ya Nape.
  Alisema ameweka watu wa kuendeleza propaganda hapa JF.

  Na aliyeandika hii post ni gamba tu.
   
 18. M

  Mwana Mnyonge JF-Expert Member

  #18
  Jul 6, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 346
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  jamani tuwe makini na hawa watu,ccm wanatuma maamluki kukimaliza chama ,mimi nakubaliana kabisa na mbowe kuwa makini na mwenye msimamo kwa sababu akishindwa kuwa na msimamo chadema yetu itapotea.

  angalia ccm mwenyekiti wao ameshindwa kuwa na msimamo ndio maana unaona mambo yanenda kombo mafisadi wanaongezeka..

  idumu chadema imara
   
 19. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #19
  Jul 6, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Na ndio maana ukawa wa kwanza kuomba mods wadiifute hii uchafu umeandika hapa,NI BORA WAKAIFUTA SABABU HAINA MAANA KABISA NI MIPASHO AU UNAHARISHA.USHAURI WAKO HAUNA KICHWA WALA MIGUU,,,crap crap crap !
   
 20. m

  mndeme JF-Expert Member

  #20
  Jul 6, 2011
  Joined: Sep 2, 2008
  Messages: 322
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  amelewa huyu!
   
Loading...