Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 739
- 1,673
Ulianzaje kumwamini mwana CCM?Mbowe amesema hamuamini Rais Samia wala chama chake sababu miswada yake haikisi R4 anazozihubiri na wenzake, akisemw kiongozi anapaswa kutembea kwenye maneno yake, ambavyo haikua hivyo.
View attachment 2870776
Swali zuriUlianzaje kumwamini mwana CCM?
Hii Michezo tuuu wanatuchezea akili...siasa ni mchezoo tu wanatuchezeaaMbowe amesema hamuamini Rais Samia wala chama chake sababu miswada yake haikisi R4 anazozihubiri na wenzake, akisemw kiongozi anapaswa kutembea kwenye maneno yake, ambavyo haikua hivyo.
View attachment 2870776
Lissu aliona mbali.Ulitahadharishwa sana na wenzako ukakataa kuwasikiliza.
Lissu alikataa katakata maridhiano na CCM. Wewe ukawa ng'ang'ari kuwalazimisha wenzako.
Umechelewa kujua hilo..
Kwa hiyo sio mama?Mbowe awage na Adabu huwezi kumuita Rais " huyu mama"
Duh...!, maneno makali haya!. Naendelea kumuombea msamaha Rais Samia, kwa vile yeye sio mwanasheria, masikini mama wa watu, hajui kuwa huo muswada wa sheria ya uchaguzi ni muswada batili unaokiuka ibara ya 11 ya Katiba ya JMT. Madudu ya ajabu ya ubatili wa Katiba yetu, mabadiliko "fake" ya sheria na Tume ya Uchaguzi, Rais Samia asilaumiwe kwasababu yeye sio mwanasheria!.Mbowe amesema hamuamini Rais Samia wala chama chake sababu miswada yake haikisi R4 anazozihubiri na wenzake, akisemw kiongozi anapaswa kutembea kwenye maneno yake, ambavyo haikua hivyo...
Kwani ukiwa Rais unakuwa huna jinsia?Mbowe awage na Adabu huwezi kumuita Rais " huyu mama"
Mbowe ni MWONGO. Huwezi ukala keki halafu ukabakia nayo. Mbowe umepokea fedha za Samia, acha kuwakoga wenzio kuwafanya hawajui kinachoendelea.Mbowe amesema hamuamini Rais Samia wala chama chake sababu miswada yake haikisi R4 anazozihubiri na wenzake, akisemw kiongozi anapaswa kutembea kwenye maneno yake, ambavyo haikua hivyo.
Akiongeza kuwa miswada hiyo haikupuuza tu maoni ya CHADEMA, bali ilipuuza hata ya kikosi kazi, waangalizi wa kimataifa, maelezo ya mahakama na kwamba yeye Mbowe ni nani mpaka ang’ang’anie kuwa Rais Samia na chama chake kina nia njema wakati kila kitu kipo wazi?
Mbowe akaongeza yawezekana Marwa alijua mapema kuwa CCM haiaminiki, lakini CHADEMA imefanya kila juhudi, wamejidhihirishia wenyewe kuwa CCM na Rais Samia haimaniki, na Marwa alipomuuliza kama anajutua kuwaamini CCM Mbowe amekiri hilo, na kusema ndio maana leo amesimama mbele ya umma kuliongelea hilo.
Sisi wenyewe hatuaminiania ndio wewe utuamini!Mbowe amesema hamuamini Rais Samia wala chama chake sababu miswada yake haikisi R4 anazozihubiri na wenzake, akisemw kiongozi anapaswa kutembea kwenye maneno yake, ambavyo haikua hivyo.
Akiongeza kuwa miswada hiyo haikupuuza tu maoni ya CHADEMA, bali ilipuuza hata ya kikosi kazi, waangalizi wa kimataifa, maelezo ya mahakama na kwamba yeye Mbowe ni nani mpaka ang’ang’anie kuwa Rais Samia na chama chake kina nia njema wakati kila kitu kipo wazi?
Mbowe akaongeza yawezekana Marwa alijua mapema kuwa CCM haiaminiki, lakini CHADEMA imefanya kila juhudi, wamejidhihirishia wenyewe kuwa CCM na Rais Samia haimaniki, na Marwa alipomuuliza kama anajutua kuwaamini CCM Mbowe amekiri hilo, na kusema ndio maana leo amesimama mbele ya umma kuliongelea hilo.
Huyu mwenyekiti naona muda wake wa kuachia kiti umefika 2015 alimgeuka Dr slaa na kumpokea yule mfugaji mwenye bleach za kikongo yaan sio mtu wa kumuakini kutokana hali yake ya kugeuka geuka ni kama yule nyoka mwenye vichwa viwili!!!!Ulitahadharishwa sana na wenzako ukakataa kuwasikiliza.
Lissu alikataa katakata maridhiano na CCM. Wewe ukawa ng'ang'ari kuwalazimisha wenzako.
Umechelewa kujua hilo..
It's yoo high to get over (yeah, yeah)Mbowe amesema hamuamini Rais Samia wala chama chake sababu miswada yake haikisi R4 anazozihubiri na wenzake, akisemw kiongozi anapaswa kutembea kwenye maneno yake, ambavyo haikua hivyo.