Mbowe na Zitto... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbowe na Zitto...

Discussion in 'Jamii Photos' started by jmushi1, Mar 11, 2012.

 1. j

  jmushi1 JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 16,233
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Mnasemaji hapa wadau?
  [​IMG]
   
 2. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,242
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Mwenyekiti anamuandikia nani kimemo hichi?
   
 3. Joss

  Joss JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2012
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 730
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wewe unasemaje?
   
 4. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,240
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  Zitto siku zote hamkubali Mbowe..
   
 5. j

  jmushi1 JF-Expert Member

  #5
  Mar 11, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 16,233
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Ni hiyo face expression ya Zitto, kwasababu ni wazi anayatizama maandishi ya Mbowe.lol
   
 6. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #6
  Mar 11, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hata Nape Mbona Hamkubali JK
   
 7. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  zittophobiasis
   
 8. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #8
  Mar 11, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 28,951
  Likes Received: 4,031
  Trophy Points: 280
  Jamaa anaonekana alikua noma sana kwa chabo,anazuga kama anatazama muda alafu anakong'otea
   
 9. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #9
  Mar 11, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,248
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 160
  Genuinely expression ya Zitto sio mbaya kivile, sura yake ndio ilivo. Ila one thing I can say ni kua Kamuangalia Mbowe as If hana Imani na kile Mbowe anachokifanya.... AMA Anaona Mbowe hakujipanga (Maana ni dhahiri anakagua hasa kikaratasi anacho kihitaji); hivo kutoa image mbaya kwa watazamaji...
   
 10. Imany John

  Imany John Verified User

  #10
  Mar 11, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,708
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 160
  Hapa alikuwa anajiandaa,niliona hii kitu live.
  Ila sikujua nini zitto alikua akiwaza,mana amekaa kiuchunguzi sana.
   
 11. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #11
  Mar 11, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wote 4 wana karatasi nadhani zina nondo zao, mwenyekiti hapo ameletewa nondo zaidi dk za mwisho mwisho inabidi azipigilie pia. Zito hapo amearibu picha, pekee ndo Haonyeshi concentration na focus na seriousness badala yake anadokoa ujumbe uliofika kwa m/kiti nadhani mlio karibu nae mshaurini kuwa anapokuwa mbele ya umma ajizuie na distraction na awe focused
   
 12. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #12
  Mar 11, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Narudia tena na tena kwa anayemfahamu zitto kiukaribu atakubaliana na mimi kuwa zitto ndivyo alivyo awe na huzuni au furaha facial expression ndio hiyo na ndivyo alivyoumbwa msipende kumuhukumu, msilaumu kazi muumbaji.
   
 13. Kingdom_man

  Kingdom_man JF-Expert Member

  #13
  Mar 11, 2012
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 560
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 60
  Its just a picture
   
 14. micksawe

  micksawe Member

  #14
  Mar 11, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Naona anamwandikia mgombea wa ccm
   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  Mar 11, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,838
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 145
  Zitto anaonekana alikua mkali sana wa chabo kwenye mitihani...:A S 13:
   
 16. mangi waukweli

  mangi waukweli JF-Expert Member

  #16
  Mar 12, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 246
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  inaonekana MBOWE anafanya maamuzi yakwake bila kushirikisha wenzie sasa zitto anamwangalia tu akijua fika analolipendekeza halitasaidia ila litabomoa anashindwa kumwambia ukweli wachaga watamshambulia kua anataka uenyekiti wa chadema mbowe ana katabia ka jeuri na kufanya maamuzi bila kuwashirikisha wenzie esp ZITTO ,ref uteuzi wa DK SLAA
   
 17. mangi waukweli

  mangi waukweli JF-Expert Member

  #17
  Mar 12, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 246
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  na uyo mgombea anaonekana ameshakata tamaa ya kushinda uchaguzi wa ARUMERU
   
 18. chubulunge

  chubulunge Senior Member

  #18
  Mar 12, 2012
  Joined: Dec 30, 2011
  Messages: 132
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  its just picha tu
   
 19. FYATU

  FYATU JF-Expert Member

  #19
  Mar 12, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 3,302
  Likes Received: 1,362
  Trophy Points: 280
  mambo ya usalama wa magamba
   
 20. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #20
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,624
  Likes Received: 746
  Trophy Points: 280
  Je huyu hapa?

  [​IMG]

  [​IMG]
   
Loading...