Mbowe na wewe ni TISS au?

Mbowe na wewe ni TISS au?

Una uhakika hakufanya??Mbowe alisema,Lissu aliongea Bavicha walisema unataka waseme kwa kutumia nini??

Pamoja na kusema bado walipeleka kesi polisi,je polisi walifanya kazi yao??

Jibu ni hapana sababu walijua Ben yupo kwao kwa order ya Mkullu.

Unajingine??

mkuu tetea tu maana ndilo unaloliweza
 
Ina maana inteligensia ya CDM iko likizo? Zile data za wale walioanzisha ACT mbona walimwaga hadharani?
 
Umehitimisha kwa dhana potofu kila sentensi.

Hujajitendea haki.

Swali dogo Ben ni raia wa Tanzania kwanza, usaidizi kwa Mbowe ni ya pili. Kama faru John raslimali za taifa zilitumika kwa nini kwa raia Ben zisitumike? Je mwenye dhamana ya rasilimali ni Mbowe au serikali?
 
Nauliza Ndugu yetu ben saa nane alikuwa anashughulika na nini kwenye ofisi ya mbowe

Nawasilisha
 
Huwa najaribu kumwangalia sana huyu mzee wangu hasa kuhusu kupotea kwa ndugu na mdogo wangu Ben Saanane, jamaa hua reaction yake ni ndogo mno isiyofanana na wadhifa wake pamoja na kazi aliyokua akiifanya Saanane kwenye ofisi yake.Ndio maana ubaridi wa Mbowe juu ya hili suala linawapa wapinzani wake midomo ya kusema wajuayo, hili halina ubishi kabisa.

Kama waziri mkuu alilivalia njuga suala la kupotea kwa Faru John na ukweli ukajulikana,Mh mbowe anashindwaje kutenga rasirimali za kutosha kutoka chama kuhakikisha ukweli juu ya huyu mtu unajulikana? ,na Mh Mbowe anashindwaje kuongoza wenzake ndani ya chama chake kwa namna yeyote kujua alipo mdogo wangu Ben ima awe hai au vinginevyo.Mbowe napata shaka sana nae juu ya hili suala,anajua nini? au nawe ni mojawao?

Kuna mzee mmoja ni mtu mzima kabisa,niliwahi kumsikia akisema kua Mbowe nae ni mwana-system, tena alidai kua Mbowe yumo tokea enzi za mwalimu.Sitaki kuhoji juu ya hilo maana hata Mh Mrema nae alisemwa hivyo hivyo lakini hivi sasa tunaona anavyolelewa.

Kilicho kikubwa hapa ni kuusema ukweli wa yasikikayo kwenye jamii na hisia za wanajamii kwa ujumla, kama haya mambo yana elements za ukweli basi Upinzani nchi haipo. Ndio maana kulipotokea mabadiliko na hali ya hewa na upepo wake kutaka kubadili uekekeo kuna watu waliingia mitini na wengine wakakimbilia kujiuzulu. Haya ndio majibu ya kwanini upinzani umefikia hapa ulipo.
Jiuluze kesi zote anazofunguliwa mbowe unaona zina uhai? zinayeyuka tu jiiiii,ushawahi kuona mbowe anakua treated badly na polisi km wanavyotandikwa wenzake wakina Lissu au Lipumba? FYI jamaa ni zao la mzee wetu yani ni ndugu damu na bwana "Shikamoo".....
 
Imani yangu huyu Jamaa hajafa Yupo huko ng'ambo anaongeza ujuzi muda utaongea kabla ya uchaguzi 2020 atarudi kuja kuuwasha moto
 
Utatenga raslimal Ufanye kazi ya polis

Unajuaje km chama hakijafanya juhudi za kumpata

Tatizo lumumba huwa mnaharisha
 
mbowe anafanya anvyotaka na sio unavyotaka wew angelikuwa anafatisha mawazo ya kipuuzi kama haya CDM isingekuwa hapa ilipo
 
Oh Kumbe sasa Mnajua Mtu akinyamaza anaweza kuwa Kahusika eh

1) Magufuli alipoulizwa 2.7 Billion alizoiba Hazina na Kuwahonga nazo CCM milioni 10 kila mmoja kabla ya kura ya Mswada wa Habari mpaka sasa amekataa kujibu kwa Kuwa ni kweli ni Mwizi, sio?
2) Bashite Zaidi ya Kituo cha Clouds kwa kutumia askari wa Ulinzi wa Rais na Mitutu Magufuli hajalaani Mpaka leo na sio hivyo tu akaenda mbali na akasema makonda Piga kazi, Hii inamaana Ndiye aliyemtuma na !umwezesha bashite, sio?
3) Mbwa koko mmoja alimvamia Nape na Kumchomolea Bastola tena Kizembe zembe na Yule Mshenzi na wenzake waliendesha Gari lililoonyesha limesajiliwa na Ikulu, Magufuli hajalaani, wala kuzungumzia, Kwa hiyo yeye ndiye aliyewatuma wale good for nothing street dogs, sio?

Mnajifanya Mna Propaganda za Kipuuzi, Kuua na Kuteka watu Kisha Kusingizia Wengine

1) Hatujasahau mliwasingizia Chadema na Mbowe Kuwa ati wanalipua watu wao kwa mabomu!
2) Hatujsahau mliwasingizia Chadema na Mbowe kuwa Walimwagia watu tindikali, ili hali mnafanya nyie!
3) Hatujasahau Mliwasingizia Chadema walimteka Ulimboka mpaka alipowaumbua!
4) Mmesahau Polisi wanne waliouawa Dar mliwasingizia Ukawa na Ukuta wao?
5) Mnasahau Mlisingizia ati Chadema ndio waliomuua Mawazo kisha Mnakataza asizikwe?
6) Mmesahau juzi tu mlisema Lowassa kanunua Chadema billion 3 na kumpa mbowe, Mnaona magic haiwork mnakuja na nyingine

Hizo propaganda za Kitoto na TISS wa Tanzania Wengi wao ni Watoto wa Viongozi wa CCM walioshidwa Shule, at Intelligence Services! What an Irony am mnataka tuwataje mmoja mmoja na walipata Ngapi Form Four? Zaidi ya 75% TIS ni Mabashite aka Villaza, ndio maana wanafanya mambo ya ovyo!

Kubalini Tume basi ili Watu kama "Mbowe" waumbuliwe, wanakuwa TISS wanawateka wasaidizi wao halafu wanalia lia eh tusikubali Tuichunguze TISS si ipo kisheria bwana!
 
Saanane ni kichwa yule. A very intellectual dude. Am certainly sure yupo somewhere,abroad.
Ben Saanane alimtorosha kwenda Netherlands, binti mmoja mnyarwanda, aliyekuwa amewekewa mitego ya kutosha na Paul Kagame, kwa sababu ya kuwa critic wake. Binti yule akiwa angani ndani ya Emirates ndo Mashushushu wakajua,, kazi ya Ben hiyo!!
So, Ben alijua anytime atadakwa, in the height of the campaign of Fake PhD ya Magu.
Magu anaingiaje hapo kama Ben alikuwa anawasaidia wapinzani wa kagame
 
Huwa najaribu kumwangalia sana huyu mzee wangu hasa kuhusu kupotea kwa ndugu na mdogo wangu Ben Saanane, jamaa hua reaction yake ni ndogo mno isiyofanana na wadhifa wake pamoja na kazi aliyokua akiifanya Saanane kwenye ofisi yake.Ndio maana ubaridi wa Mbowe juu ya hili suala linawapa wapinzani wake midomo ya kusema wajuayo, hili halina ubishi kabisa.

Kama waziri mkuu alilivalia njuga suala la kupotea kwa Faru John na ukweli ukajulikana,Mh mbowe anashindwaje kutenga rasirimali za kutosha kutoka chama kuhakikisha ukweli juu ya huyu mtu unajulikana? ,na Mh Mbowe anashindwaje kuongoza wenzake ndani ya chama chake kwa namna yeyote kujua alipo mdogo wangu Ben ima awe hai au vinginevyo.Mbowe napata shaka sana nae juu ya hili suala,anajua nini? au nawe ni mojawao?

Kuna mzee mmoja ni mtu mzima kabisa,niliwahi kumsikia akisema kua Mbowe nae ni mwana-system, tena alidai kua Mbowe yumo tokea enzi za mwalimu.Sitaki kuhoji juu ya hilo maana hata Mh Mrema nae alisemwa hivyo hivyo lakini hivi sasa tunaona anavyolelewa.

Kilicho kikubwa hapa ni kuusema ukweli wa yasikikayo kwenye jamii na hisia za wanajamii kwa ujumla, kama haya mambo yana elements za ukweli basi Upinzani nchi haipo. Ndio maana kulipotokea mabadiliko na hali ya hewa na upepo wake kutaka kubadili uekekeo kuna watu waliingia mitini na wengine wakakimbilia kujiuzulu. Haya ndio majibu ya kwanini upinzani umefikia hapa ulipo.
Hatimaye imefahamika.
 
Uwezekano ni mkubwa kuwa yuko TISS, ndiyo maana akawa BOT kama mfanyakazi miaka hiyooooo kabla labda hata hujazaliwa yeye mbowe alisha fanya kazi BOT.

Na kipindi hicho cha Mwl. JK 1 ilikuwa shughuli kweli kweli kuhusu wafanyakazi wa idara hizo nyeti kama fedha na wizara zote na kumbuka Baba yake na huyo jamaa (Mbowe) alikuwa ccm siyo damu tu bali hadi machozi.

Sasa, kuhusu B8 , CDM wanajua alipo maana , siyo rahisi wote wale wakae kimya, eti hadi ZZK aje kupiga kelele japo nimeona tuhuma humu JF kuwa B8 alitaka kumpa sumu ZZK, lakini walinzi shirikishi wa ZZK wakamshinda B8,
Walinzi hao wasioonekana kwa macho wala kwa sayansi ya mzungu, isipokuwa kwa kutumia ulinzi mwingine shirikishi.

Kwa hiyo, pana uwezekano wa ZZK akawa amemficha kwa kutumia ulinzi wake shirikishi nani ajuaye??

Nchi hii sarakasi na mazigaombwe ni mengi sana katika siasa zetu, yaani hakuna wa kumuamini kuwa atatuvusha salama bila usela fulani.

Binafsi, nishie hapa; wengine waseme nao.
Jamaa mzinguaji sana
 
Ukiwa mjinga utasadiki kuwa Mbowe na Mrema [Hayati ] walikuwa wapinzani , wananzengo wa kula kila kitu na kila mtaa.
Hao wamekuwa sehemu ya bawa la tai mkuu, watakuwa hivyo daima wapo hai au wakiwa mautini.
😂😂
 
Mbowe ameamua kuumaliza mwendo kwa njia ya aibu kubwa mno, ila damu ya Ally Kibao itamtesa sana maishani.
Yupo kazini katika kuilinda nchi na siyo kufanya siasa za mihemko za akina Heche na Lissu.
 
Back
Top Bottom