Omulasil
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 8,174
- 10,445
Uwezekano ni mkubwa kuwa yuko TISS, ndiyo maana akawa BOT kama mfanyakazi miaka hiyooooo kabla labda hata hujazaliwa yeye mbowe alisha fanya kazi BOT.
Na kipindi hicho cha Mwl. JK 1 ilikuwa shughuli kweli kweli kuhusu wafanyakazi wa idara hizo nyeti kama fedha na wizara zote na kumbuka Baba yake na huyo jamaa (Mbowe) alikuwa ccm siyo damu tu bali hadi machozi.
Sasa, kuhusu B8 , CDM wanajua alipo maana , siyo rahisi wote wale wakae kimya, eti hadi ZZK aje kupiga kelele japo nimeona tuhuma humu JF kuwa B8 alitaka kumpa sumu ZZK, lakini walinzi shirikishi wa ZZK wakamshinda B8,
Walinzi hao wasioonekana kwa macho wala kwa sayansi ya mzungu, isipokuwa kwa kutumia ulinzi mwingine shirikishi.
Kwa hiyo, pana uwezekano wa ZZK akawa amemficha kwa kutumia ulinzi wake shirikishi nani ajuaye??
Nchi hii sarakasi na mazigaombwe ni mengi sana katika siasa zetu, yaani hakuna wa kumuamini kuwa atatuvusha salama bila usela fulani.
Binafsi, nishie hapa; wengine waseme nao.
Hivi mkuu unaposema "ulinzi mwingine shirikishi" unamaanisha benchi la ufundi a.k.a ndumba mbona naogopa lakn kama kuna ka ukweli fulani kama amepiga kimya, hatutamsoma anyway huenda akamwinua dk za nyongeza bado anasoma mchezo