Mbowe na wewe ni TISS au?

Mbowe na wewe ni TISS au?

Saanane ni kichwa yule. A very intellectual dude. Am certainly sure yupo somewhere,abroad.
Ben Saanane alimtorosha kwenda Netherlands, binti mmoja mnyarwanda, aliyekuwa amewekewa mitego ya kutosha na Paul Kagame, kwa sababu ya kuwa critic wake. Binti yule akiwa angani ndani ya Emirates ndo Mashushushu wakajua,, kazi ya Ben hiyo!!
So, Ben alijua anytime atadakwa, in the height of the campaign of Fake PhD ya Magu.

Muulize Mushumbushi, PhD ya Magu haina tatizo lolote, ilibidi awazuge maadui zake wa ndani, wote walikuwa katika seek and hide game. Kama alifanikiwa basi ametoroka, kama hakufanikiwa he is in for it. Mtuhuru anafahamu I bet
 
Who is "Mushumbushi"?
Kwa mamlaka ya nani unasema PhD YA Magu haina tatizo, ili hali facts ziliwekwa na ikaonekana kuna fishy game?
 
Huwa najaribu kumwangalia sana huyu mzee wangu hasa kuhusu kupotea kwa ndugu na mdogo wangu Ben Saanane, jamaa hua reaction yake ni ndogo mno isiyofanana na wadhifa wake pamoja na kazi aliyokua akiifanya Saanane kwenye ofisi yake.Ndio maana ubaridi wa Mbowe juu ya hili suala linawapa wapinzani wake midomo ya kusema wajuayo, hili halina ubishi kabisa.

Kama waziri mkuu alilivalia njuga suala la kupotea kwa Faru John na ukweli ukajulikana,Mh mbowe anashindwaje kutenga rasirimali za kutosha kutoka chama kuhakikisha ukweli juu ya huyu mtu unajulikana? ,na Mh Mbowe anashindwaje kuongoza wenzake ndani ya chama chake kwa namna yeyote kujua alipo mdogo wangu Ben ima awe hai au vinginevyo.Mbowe napata shaka sana nae juu ya hili suala,anajua nini? au nawe ni mojawao?

Kuna mzee mmoja ni mtu mzima kabisa,niliwahi kumsikia akisema kua Mbowe nae ni mwana-system, tena alidai kua Mbowe yumo tokea enzi za mwalimu.Sitaki kuhoji juu ya hilo maana hata Mh Mrema nae alisemwa hivyo hivyo lakini hivi sasa tunaona anavyolelewa.

Kilicho kikubwa hapa ni kuusema ukweli wa yasikikayo kwenye jamii na hisia za wanajamii kwa ujumla, kama haya mambo yana elements za ukweli basi Upinzani nchi haipo. Ndio maana kulipotokea mabadiliko na hali ya hewa na upepo wake kutaka kubadili uekekeo kuna watu waliingia mitini na wengine wakakimbilia kujiuzulu. Haya ndio majibu ya kwanini upinzani umefikia hapa ulipo.

Ukitaka afanye nini zaidi ya alichokifanya??Hivi hebu tuweke itikadi zetu mbali Mbowe ana Jeshi??Je Mbowe ana Tiss??Kama achana na taarifa zimeafikiwa walengwa na wanafuatilia wakamabiwa file limefungwa mpaka Wafadhili walipolistukia Polisi wakafungua ten file unataka afanye nini zaidi??

Kama Serikali inafanya kitu gani kumpata??Unadhani kama System ndiyo wahusika wakuu ulitaka Mbowe afanye je?
 
Muulize Mushumbushi, PhD ya Magu haina tatizo lolote, ilibidi awazuge maadui zake wa ndani, wote walikuwa katika seek and hide game. Kama alifanikiwa basi ametoroka, kama hakufanikiwa he is in for it. Mtuhuru anafahamu I bet

PhD ya Mkullu ni fake na yeye anajua hana PhD ndiyo sababu wamemteka Ben either wanamlazimisha kufuta kauli au wameamua kumuua sababu amekataa kutengua tafiti yake.

Vyote hivyo vina ukweli. Kama Mkullu PhD yake ingekuwa valid kulikuwa n sababu gani ya kupotea kwa Ben na alisema mwenye proof aweke hakuna aliyeweka.

Vyomba vya Usalama vina la kujibu kwenye hili.
 
wengi washabiki na wenye mahaba na Mbowe mnaweza kutetea hili, kwa sababu hamna aibu na hamjielewi

Mbowe angepaza sauti, angelia usiku na mchana...kumpata msaidizi wake, mwanachama wake kabisa

Tuacheni story

Una uhakika hakufanya??Mbowe alisema,Lissu aliongea Bavicha walisema unataka waseme kwa kutumia nini??

Pamoja na kusema bado walipeleka kesi polisi,je polisi walifanya kazi yao??

Jibu ni hapana sababu walijua Ben yupo kwao kwa order ya Mkullu.

Unajingine??
 
Wewe unamjua Mbowe au humjui. hana muda huo wa kupoteza

Kama Mbowe angekuwa ana miliki vyombo vya dola ningemlaumu sana

Ila wanaomiliki vyombo vya dola ndiye waliyemteka Ben period.

Na wanajua walipomuweka kama kumuua au yuko hai Polisi na vyombo vya dola na mabosi wake wanajua hilo.

Hili ni pamoja na Bashite na wale Green guard waliowekwa kule kwenye taasisi nyeti
 
Huwa najaribu kumwangalia sana huyu mzee wangu hasa kuhusu kupotea kwa ndugu na mdogo wangu Ben Saanane, jamaa hua reaction yake ni ndogo mno isiyofanana na wadhifa wake pamoja na kazi aliyokua akiifanya Saanane kwenye ofisi yake.Ndio maana ubaridi wa Mbowe juu ya hili suala linawapa wapinzani wake midomo ya kusema wajuayo, hili halina ubishi kabisa.

Kama waziri mkuu alilivalia njuga suala la kupotea kwa Faru John na ukweli ukajulikana,Mh mbowe anashindwaje kutenga rasirimali za kutosha kutoka chama kuhakikisha ukweli juu ya huyu mtu unajulikana? ,na Mh Mbowe anashindwaje kuongoza wenzake ndani ya chama chake kwa namna yeyote kujua alipo mdogo wangu Ben ima awe hai au vinginevyo.Mbowe napata shaka sana nae juu ya hili suala,anajua nini? au nawe ni mojawao?

Kuna mzee mmoja ni mtu mzima kabisa,niliwahi kumsikia akisema kua Mbowe nae ni mwana-system, tena alidai kua Mbowe yumo tokea enzi za mwalimu.Sitaki kuhoji juu ya hilo maana hata Mh Mrema nae alisemwa hivyo hivyo lakini hivi sasa tunaona anavyolelewa.

Kilicho kikubwa hapa ni kuusema ukweli wa yasikikayo kwenye jamii na hisia za wanajamii kwa ujumla, kama haya mambo yana elements za ukweli basi Upinzani nchi haipo. Ndio maana kulipotokea mabadiliko na hali ya hewa na upepo wake kutaka kubadili uekekeo kuna watu waliingia mitini na wengine wakakimbilia kujiuzulu. Haya ndio majibu ya kwanini upinzani umefikia hapa ulipo.

Kijana Bado unakua kumbe..Mbowe ni system tokea zamani. Na ni wapinzani wengi tu. Nyerere alikuwa smart sana alimake sure hawa jamaa wapo kila sehemu..!
 
Uwezekano ni mkubwa kuwa yuko TISS, ndiyo maana akawa BOT kama mfanyakazi miaka hiyooooo kabla labda hata hujazaliwa yeye mbowe alisha fanya kazi BOT.

Na kipindi hicho cha Mwl. JK 1 ilikuwa shughuli kweli kweli kuhusu wafanyakazi wa idara hizo nyeti kama fedha na wizara zote na kumbuka Baba yake na huyo jamaa (Mbowe) alikuwa ccm siyo damu tu bali hadi machozi.

Sasa, kuhusu B8 , CDM wanajua alipo maana , siyo rahisi wote wale wakae kimya, eti hadi ZZK aje kupiga kelele japo nimeona tuhuma humu JF kuwa B8 alitaka kumpa sumu ZZK, lakini walinzi shirikishi wa ZZK wakamshinda B8,
Walinzi hao wasioonekana kwa macho wala kwa sayansi ya mzungu, isipokuwa kwa kutumia ulinzi mwingine shirikishi.

Kwa hiyo, pana uwezekano wa ZZK akawa amemficha kwa kutumia ulinzi wake shirikishi nani ajuaye??

Nchi hii sarakasi na mazigaombwe ni mengi sana katika siasa zetu, yaani hakuna wa kumuamini kuwa atatuvusha salama bila usela fulani.

Binafsi, nishie hapa; wengine waseme nao.
kipindi hicho bosi wa BOT alikua mkwe na mmiliki mwenza wa project ya ufipani.
 
Mbowe kwa kweli anajua ukweli katika ili, kwa nini halizingumziii ata kidogo

Kama anajua ukweli Polisi ilimkamata kumuhoji??

Ile meseji aliyoandikiwa na yule UVCCM vipi? Aliyeandika amekamatwa?? Kama bado maana yake nini??

In short CCM pamoja na Uongozi wake wanajua Ben yuko wapi.

Ni wao kwenda kuomba radhi kwa wazazi wa Ben.
 
kipindi hicho bosi wa BOT alikua mkwe na mmiliki mwenza wa project ya ufipani.

Hadithi zenu za alinacha.Kamdanganyeni Mwenyekiti wenu maana anadanganyika sana.

Huku kwetu tunadadisi na kuperuzi.
 
Huwa najaribu kumwangalia sana huyu mzee wangu hasa kuhusu kupotea kwa ndugu na mdogo wangu Ben Saanane, jamaa hua reaction yake ni ndogo mno isiyofanana na wadhifa wake pamoja na kazi aliyokua akiifanya Saanane kwenye ofisi yake.Ndio maana ubaridi wa Mbowe juu ya hili suala linawapa wapinzani wake midomo ya kusema wajuayo, hili halina ubishi kabisa.

Kama waziri mkuu alilivalia njuga suala la kupotea kwa Faru John na ukweli ukajulikana,Mh mbowe anashindwaje kutenga rasirimali za kutosha kutoka chama kuhakikisha ukweli juu ya huyu mtu unajulikana? ,na Mh Mbowe anashindwaje kuongoza wenzake ndani ya chama chake kwa namna yeyote kujua alipo mdogo wangu Ben ima awe hai au vinginevyo.Mbowe napata shaka sana nae juu ya hili suala,anajua nini? au nawe ni mojawao?

Kuna mzee mmoja ni mtu mzima kabisa,niliwahi kumsikia akisema kua Mbowe nae ni mwana-system, tena alidai kua Mbowe yumo tokea enzi za mwalimu.Sitaki kuhoji juu ya hilo maana hata Mh Mrema nae alisemwa hivyo hivyo lakini hivi sasa tunaona anavyolelewa.

Kilicho kikubwa hapa ni kuusema ukweli wa yasikikayo kwenye jamii na hisia za wanajamii kwa ujumla, kama haya mambo yana elements za ukweli basi Upinzani nchi haipo. Ndio maana kulipotokea mabadiliko na hali ya hewa na upepo wake kutaka kubadili uekekeo kuna watu waliingia mitini na wengine wakakimbilia kujiuzulu. Haya ndio majibu ya kwanini upinzani umefikia hapa ulipo.

Mbowe anaweza asiwe TISS ila ninachojua na hata kwa uhakika wa ' Kinadharia ' tu ni kwamba karibia 95% ya Viongozi wa Vyama vya Upinzani nchini Tanzania ni Pro - CCM.
 
Hilo mbona linajulikana hata gari analotumia ni jamaa wa system
 
mbowe ni red guard

Kwa hiyo Mwenyekiti wa Chama Cha Mauaji ni Green guard eh,na ndiyo maana green guard wanapewa vitambulisovya taasisi nyeti na kazi ya kuteka,kutesa na kuua?

Mdogo wangu Mwenyekiti wako hana Mbingu. Na siku yako utaenda peke yako hautuwa na mlinzi wala wakili.

Kesi zako utajitetea mwenyewe, adhabu yako ni ya kwako, jirekebisha tabia ya kuua watu si njema
 
Mi ni chadema, lakini Mbowe haeleweki katika hili. Ndo maana mimi huwa nina appreciate sana Mafia Dons, ukimgusa au kumuua mtu wake ana deal na wewe mpaka mwisho!!! Na tena Mbowe ana pesa na chama kina pesa, na tena kina rasilimali watu wenye uwezo wa kila aina! Tazama mawazo alivyouawa, kimya... Ben Saanane kimya! Hiyo itawakatisha tamaa vijana wataka mabadiliko katika kujitolea, wataona hata likiwakuta lolote hakuna anaejali. Revenge is the best food when saved cold!
 
Rasilimali za kiusalama ni pamoja na vyombo vya dola.mtu atafutwi kwa hela
 
Mbowe anaweza asiwe TISS ila ninachojua na hata kwa uhakika wa ' Kinadharia ' tu ni kwamba karibia 95% ya Viongozi wa Vyama vya Upinzani nchini Tanzania ni Pro - CCM.

Ni naweza kukukatalia kwa asilimia 100.Ungesema asilimia 95 ya Viongozi wa Upinzani walikuwa wanaccm kwa fact kwamba ilikuwa hupati kazi wala huendelei chuo kikuu kama siyo CCM.

Baada ya hapo inategemea mapenzi ya MTU.Wengine 1992 baada ya vyama vingi tulichoma kadi za CCM hivyo ukiniambia mie mwanaccm nitakushangaa.

CCM tabia ya kutesa ilianza toka TANU usipokuwa mrengo wao walikutesa na Ku kufunga jela hivyo sishangai Magufuli kuamua kurudia CCM na TANU ya miaka ile.

Hivyo ka sababu ya ulazima wa kuwa mwanaccm enzi hizo haimaanishi Mbowe ni Mwanachama wa CCM.
 
Back
Top Bottom