Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,418
Mi ni chadema, lakini Mbowe haeleweki katika hili. Ndo maana mimi huwa nina appreciate sana Mafia Dons, ukimgusa au kumuua mtu wake ana deal na wewe mpaka mwisho!!! Na tena Mbowe ana pesa na chama kina pesa, na tena kina rasilimali watu wenye uwezo wa kila aina! Tazama mawazo alivyouawa, kimya... Ben Saanane kimya! Hiyo itawakatisha tamaa vijana wataka mabadiliko katika kujitolea, wataona hata likiwakuta lolote hakuna anaejali. Revenge is the best food when saved cold!
Hivi utamlaumu Mbowe kwa kesi ya Mawazo?? Hivi kama Mahakamani hakuna haki unategemea Mbowe afanye je??Aongeze vijana kuuawa??
Hapa aliwakataza kuandamana na wamemteka Ben wangeandamana Policcm waliplan kuua wangapi??
Utu kwanza pesa baadaye