Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,227
Respect mkuu,
Naona sasa umekaa sawa! Hapo nimekuelewa kiaina. Hao werngine nilimaanisha wewe na Masaka,Sam,Zemarcopolo,Shy nwa wengine kama hao.Maaanake unaposema ulikuja kivyako sikuelewi kwani kuna posti mwenzako MASAKA alikua anajisifia kwamba mmekuja kupambana na wanachadema sa if members humu ndani wote ni wanachama wa vyama vya siasa.
Mbona alipokutaja kwanini hukuongea haya maneno uliyoongeahapa ndani leo?
Hayanakubaliana na wewe,sasa anza wewe
nianze kwani wewe kauli za mbowe huzijui ?? kuanzia ccm imemuua ballali bila ya kutoa maelezo hadi ..............niendelee ??
You cant be serious; this can be defamation mind you and there is no sense of curiosity in your statement.Kuna taarifa alikuwa anaandikiwa sasa sijui mwandishi wake kagoma au vipi.
Just being curious....
"mla mlaleo mla Jana kala nini?
Hahah mtaleta mpaka ya mwaka wa 1950 lakini mwaka huu lazima mzae tuuHapa ndio sitaki kabisa kuwaamini wanasiasa wa nchi hii,
Mtafukuwa mengi ya nyuma, ila kwa sasa Lowasa ndiyo habari ya Mujini.
Hahah mtaleta mpaka ya mwaka wa 1950 lakini mwaka huu lazima mzae tuu
Sawa basi tumekubali Lowasa hafai ila tumemchukua hvyo hvyo, mnataka kipi kingine? Kama ni fisadi mbona hamkumshitaki wakati serikali ni yenu wenyewe
Mimi ni mwanaCCM mwenzako lakini wewe huenda una homon za kike kama hutiwi au kuliwa!