Mbowe na Slaa wamesusiwa chama?

kwa hiyo unachotaka kuona ni maslahi ya chama na sio taifa mimi napinga hoja yako eti slaa na mbowe wamesusiwa chama wabunge kazi yao imekuwa ni kushughulikia hoja binafsi, au umetumwa nini
 
Mimi binafsi sikubaliani na mtazamo wako japo nauheshim. mfano hujafanya utafiti kuhusu machemri ni mmoja wa wa bunge ambao kazi yao ni nzuri sana imagine mtu alimwangusha getrude mongela kazi yake ni nzuri jimboni. benson mbona is active. Nadhani ulikua huna habari lakini hongera kwaku wa alert.
 
Nawewe umegundua kazi unayo ifanya? Hapa wewe una kijenga?

 
Huu ni mtazamo wako wala sio utafiti wewe TUNTEMEKE
 
Mtoa mada na kuonea huruma sijui kama unajua maana ya hoja binafsi!

Hivi unadhani ikiitwa hoja binafsi ataongelea kuhusu mafilia yake?

Hebu twambie hoja binafsi ambayo imewasilishwa na hao wabunge ambayo haigusi maslai ya wananchi!

Kwa swala la kusema viongozi wamesusiwa chama ni uongo mtupu!
 


Haya tushakusikia na hongera kwa kusema yaliyopo moyoni mwako, turudi kule kwenye mada yetu ya kumhusu HECHE ukajibu hoja zetu tunakusubiri mkuu. fanya fasta.
 
Akili gan hizi za huyu jamaa ambazo taifa letu linapata kutoka na shallow mind ya kiasi hiki?
Hivi unadhani CHADEMA ni dhaifu kwa jinsi unavyodhani wewe? Unamjua vyema Benson kigaila na makanda wote uliowataja?
 
kazi ya molemo ni kutibua tibua yaani yeye hanaga hoja hata siku moja...ataishia kulialia tu kwamba mnamsema mbowe na dr.slaa
molemo uwezo wake wa kuchambua hoja na kuzijibu accordingly ni nusu kaputi.
Mkuu TUNTEMEKE nashukuru sana kwani nilikuwa simfahamu Molemo kwa tabia hizo....next time sitapata tabu.
 
Hata maana ya hoja binafsi hajui!

kwa hiyo unachotaka kuona ni maslahi ya chama na sio taifa mimi napinga hoja yako eti slaa na mbowe wamesusiwa chama wabunge kazi yao imekuwa ni kushughulikia hoja binafsi, au umetumwa nini
 
Tubadilike nini? Fafanua au unadandia hoja bila kutafakari?
Kuhusu alicho sema kuhusu hoja binafsi unakubaliana nacho?
Au na wewe maana ya hoja binafsi imekupiga chenga kama mtoa mada!
Umesema kweli kamanda!cdm tubadilike!
 
Kumbe na wewe ni miongoni mwa wenye akili za samaki?.
 
Wewe ni mwanachama wa chama gani?
 
kama kawaida yao wanasubiri matukio ndo wa bwabwaje majukwaani na kwenya vyombo vya habari jipya hakuna na mawazo mapya ya kujenga uchumi hakuna
 

Are you pretending to be great thinker or full of teit a teit?
 
Hivi bungeni wabunge wanaenda kutetea maslai ya chama au wanainchi, Molemo anataka hoja za wabunge wachadema zilenge zaidi chama(chadema) He is very wrong?
 
me ni mwanachama asiye na mawaa wa chadema ambaye kwangu itikadi ni zaidi ya kusema ukweli na kutetea uhai wa chama
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…