Mbowe na Silinde wafunika sokoine Mbeya

Mbowe na Silinde wafunika sokoine Mbeya

Wewe mla rambi rambi za mwangosi acha wivu wa kike.ndio maana unaishi kwa dada yako na umri huo ulionao.kubwa jinga wewe.

Nasikia anaishi kwa shemeji yake..! Yaani anaishi kwa jamaa aliyeoa dada yake.kwi kwi kwi kwi kwiiiiiiiiiiii..!
 
Hahaha hahaha yaani mtu na dada yake wote wameolewa teh teh teh teh teh teh! !!
 
hahaha CDM hoyee daaah hao ni watu wa watu n ndio maana wakaenda kwa mashabiki big up makamanda.
 
Chadema juuu...juuuu zaidi...mh.mbowe aka kamanda wa anga juuuu...juuu zaidi. ..operation teketeza magamba m4c with no apologies. 😛eace:
 
Ok mimi nina virusi, kuna tatizo?

Au kwenu mtu akiwa na virusi vya ukimwi ni kosa la jinai?

UNAJUA KUNA WATU WANGAPI DUNIANI WANA VIRUSI? Hao wote umewakosea heshima ikiwa ni pamoja na viongozi wako wa Chadema

Wewe inaelekea una background mbovu sana na hata maisha yako inaelekea ni ya kuunga unga sana.

Kila ukiona comments zangu ni lazima unitukane, lakini angalia sasa usije ukawa unatukana mtu ambaye anaweza kuja kuwa mdhamini wako.

Natumia ID isiyo kificho na picha yangu umeiona, nakushauri kuanzia leo anza kunitafuta ili nikukwamue hapo ulipo
Sio matusi, lakini nadhani familia yako itafarijika sana ikisikia nakutafuta,

USIPENDE KUDHARAU MTU USIE MJUA KENGE WEEE!

Hii jazba sio bure!
 
Kenge ni wewe unaye lelewa na shemeji yako.kubwa zima linaishi nyumbani kwa dada yake.kwanza rudisha rambi rambi ulizokula za mjane wa mwangosi.
 
Back
Top Bottom