Mbowe na Silinde wafunika sokoine Mbeya

Mbowe na Silinde wafunika sokoine Mbeya

Kwani kulikuwa na shimo mpaka wafunike? au kitobo?[/QUOTE

Lukosi, your comment is too childish, inakupunguzia crefibility jamvini Mkuu. Hizi kauli za hivyo waachie Bavicha na Wazee wa buku 7 wa Lumumba street.

Labda nimekupandisha sana kwa kukwambia comments za namna hiyo siyo za kiwango chako.
 
avatar100127_6.gif


Kama mtu unakuwa na white pubic hairs na bado unaongea ujingaujinga unaishangaza jamii sana!

Haya mwingine huyo!
 
mkulu wa nchi akijihusisha na stars lazima tushindwe.either kwa kuwatakia mafanikio au kwa kuhudhuria uwanjani.hongera MCC

Sasa hapa mkulu anahusikaje?Usipende kumpa mtu shutuma asizostahili,na hata kama una chuki naye ni vema ukaelekeza chuki hiyo mahala panapostahili.
 
Virusi vikipanda kichwani ni hatari sana.. cheki hyo sura...
Ok mimi nina virusi, kuna tatizo?

Au kwenu mtu akiwa na virusi vya ukimwi ni kosa la jinai?

UNAJUA KUNA WATU WANGAPI DUNIANI WANA VIRUSI? Hao wote umewakosea heshima ikiwa ni pamoja na viongozi wako wa Chadema

Wewe inaelekea una background mbovu sana na hata maisha yako inaelekea ni ya kuunga unga sana.

Kila ukiona comments zangu ni lazima unitukane, lakini angalia sasa usije ukawa unatukana mtu ambaye anaweza kuja kuwa mdhamini wako.

Natumia ID isiyo kificho na picha yangu umeiona, nakushauri kuanzia leo anza kunitafuta ili nikukwamue hapo ulipo
Sio matusi, lakini nadhani familia yako itafarijika sana ikisikia nakutafuta,

USIPENDE KUDHARAU MTU USIE MJUA KENGE WEEE!
 
The GreenCity shall always be the lead! I love Mbeya!
 
Back
Top Bottom