only83
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 5,342
- 2,528
Kwani kulikuwa na shimo mpaka wafunike? au kitobo?
Kwani kulikuwa na shimo mpaka wafunike? au kitobo?
Naamini familia yake Baba V watawahi polisi wakisikia wewe Lukosi unamtafuta maana ukimpata tu Kucha na macho yake vitakuwa haatarini! maana nyie sio watu wazuri hata kidogo.Natumia ID isiyo kificho na picha yangu umeiona, nakushauri kuanzia leo anza kunitafuta ili nikukwamue hapo ulipo
Sio matusi, lakini nadhani familia yako itafarijika sana ikisikia nakutafuta,
USIPENDE KUDHARAU MTU USIE MJUA KENGE WEEE!
Kwani kulikuwa na shimo mpaka wafunike? au kitobo?
CCM ni genge la vibakaChadema ni genge la wahuni
Ok mimi nina virusi, kuna tatizo?
Au kwenu mtu akiwa na virusi vya ukimwi ni kosa la jinai?
UNAJUA KUNA WATU WANGAPI DUNIANI WANA VIRUSI? Hao wote umewakosea heshima ikiwa ni pamoja na viongozi wako wa Chadema
Wewe inaelekea una background mbovu sana na hata maisha yako inaelekea ni ya kuunga unga sana.
Kila ukiona comments zangu ni lazima unitukane, lakini angalia sasa usije ukawa unatukana mtu ambaye anaweza kuja kuwa mdhamini wako.
Natumia ID isiyo kificho na picha yangu umeiona, nakushauri kuanzia leo anza kunitafuta ili nikukwamue hapo ulipo
Sio matusi, lakini nadhani familia yako itafarijika sana ikisikia nakutafuta,
USIPENDE KUDHARAU MTU USIE MJUA KENGE WEEE!
Sijawahi kukasirika kuhusu box hata siku moja
BOX NDIO FANI YANGU
habari wadau
wakati mechi kati ya mbeya city fc na jkt ruvu ikiendelea katika uwanja wa sokoine mbeya, ghafla ameingia mwenyekiti wa chadema taifa mh.freeman mbowe akiwa ameongozana na mh.silinde mbunge wa mbozi pamoja na viongozi wengine wa chadema,uwanja mzima umeripuka kwa furaha huku washabiki wakionyesha alama ya vidole viwili,
mh,mbowe pamoja na viongozi wenzake wamekaa jukwaa la maashabiki wa mbeya city fc....
My take:
Hakika chadema yatosha mbeya.
Hela ya ruzuku wanaitumia kuwapeleka BAVICHA kwenye mafunzo maalumu ya kuporomosha matusi.