Mbowe na Silinde wafunika sokoine Mbeya

Mbowe na Silinde wafunika sokoine Mbeya

Bavicha siwawezi
stock-illustration-13080127-white-flag.jpg

Umeonaee!... Vitobo hivyo!..
 
Ok mimi nina virusi, kuna tatizo?

Au kwenu mtu akiwa na virusi vya ukimwi ni kosa la jinai?

UNAJUA KUNA WATU WANGAPI DUNIANI WANA VIRUSI? Hao wote umewakosea heshima ikiwa ni pamoja na viongozi wako wa Chadema

Wewe inaelekea una background mbovu sana na hata maisha yako inaelekea ni ya kuunga unga sana.

Kila ukiona comments zangu ni lazima unitukane, lakini angalia sasa usije ukawa unatukana mtu ambaye anaweza kuja kuwa mdhamini wako.

Natumia ID isiyo kificho na picha yangu umeiona, nakushauri kuanzia leo anza kunitafuta ili nikukwamue hapo ulipo
Sio matusi, lakini nadhani familia yako itafarijika sana ikisikia nakutafuta,

USIPENDE KUDHARAU MTU USIE MJUA KENGE WEEE!

Wewe ndo kenge kweli...! kwa akili yako fupi virusi unavyovijua wewe ni vya ukimwi tu..!? afu eti huwa nakutukana.... huwa nakujibu upuuzi unaoandika... Na anza kwanza kwa kujikwamua wewe utoke kwa shemeji yako ujitegemee, kisha mkwamue baba yako uliyemtelekeza at that age.... then ndo uendelee kuota ndoto zako za kuwa eti unaweza kuwa msaada kwangu njegele wewe...!
 
Huyu mtu ana upeo wa kufikiri wa Kiccm..! Hajui kuwa hata CCM ni kirusi..!
 
Akili yake imeathirika kwa kiasi kikubwa kiazi huyu.. anapenda mno kujipendekeza..
 
Wewe ndo kenge kweli...! kwa akili yako fupi virusi unavyovijua wewe ni vya ukimwi tu..!? afu eti huwa nakutukana.... huwa nakujibu upuuzi unaoandika... Na anza kwanza kwa kujikwamua wewe utoke kwa shemeji yako ujitegemee, kisha mkwamue baba yako uliyemtelekeza at that age.... then ndo uendelee kuota ndoto zako za kuwa eti unaweza kuwa msaada kwangu njegele wewe...!
Tumia verified user ID halafu ndio tulumbane
 
Domy...HESHIMA KWAKO!!!
Nimesign-in kwa kazi moja tu...KUKUGONGEA "LIKE"
Umempatia jibu sahihi CHRIS LUKOSI mpaka mwenyewe amenyoosha bendera na kujisalimisha ...you made my day!!!
Umekosea kitu kimoja tu...umemshtua sasa anaweza akaondoa kizibo kwenye KITOBO...anyway nafikiri hataondoa kwa maana hulka yake inaonyesha ni mtu anayefurahia sana kuzibwa kitobo!!!
 
Aksante sana Mkuu,Wakati mwingine mtu akijifanya mpuuzi unatakiwa kumjibu kipuuzi...! w/end njema
 
Back
Top Bottom