Domy
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 4,700
- 1,090
Habari wadau
Wakati mechi kati ya Mbeya City FC na JKT Ruvu ikiendelea katika uwanja wa Sokoine Mbeya, ghafla ameingia mwenyekiti wa Chadema Taifa Mh.Freeman Mbowe akiwa ameongozana na Mh.Silinde mbunge wa Mbozi pamoja na viongozi wengine wa Chadema,Uwanja mzima umeripuka kwa furaha huku washabiki wakionyesha alama ya vidole viwili,
Mh,Mbowe pamoja na viongozi wenzake wamekaa jukwaa la maashabiki wa Mbeya City FC....
My take:
Hakika Chadema yatosha Mbeya.