Mbowe na hadithi ya Chura!

Mbowe na hadithi ya Chura!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,838
Wahenga wanasema kwamba Chura ukimuweka kwenye maji ya moto huruka mara moja na kutoka lkn ukimuweka kwenye maji ya uvuguvugu na atakaa, na ukiongeza joto la maji kidogo kidogo Chura atasikia raha na kuendelea kubakia kwenye maji huku akifurahia joto, ukiendelea kuongeza joto la maji na maji kuanza kuchemka Chura atakuja kushtuka kwamba anapaswa kuruka lkn anakuwa ameshachelewa na maji kumpika na kumuua.

Mbowe sasa hivi ni Chura ambaye yuko kwenye yanayongezeka joto pole pole huku akisikia raha, badala ya kuruka kungali mapema.

Kama kila mtu anakutaja wewe ni tatizo lkn hausikii na unang’ang’ania, una tofauti gani na Chura?
 
Kila mtu ? Eti ma lumumba ndio kila mtu. Waachie CDM yaliyo ya CDM. ACHENI unafiki. Hangaikeni na mwenyekiti wenu. Kwenu huko mmekabwa hakuna ruhusa hata kushauri, ukikohoa tu Shangazi yako ndio atadhurika.
 
Chama kinakufa NATURAL DEATH hata Mbowe hana namna ya kukinusuru. Naamini anatamani kukinusuru lakini hana jinsi anaumia moyoni tu. Atakuwa anajifungia ndani analia peke yake
. Uelewa wa watanzania wengi juu ya vyama vingi ni mdogo sana, Hivi vyama ni vya umma mimi na wewe, iweje alie? Kwani ni biashara?. Kuna hasara kubwa kutokuwa na vyama imara vya upinzani. Kwani waliohama ni wanachama au mwakilishi!. Ati Mbowe alie kwa kipi cha ajabu wakati ni siasa haramu, hakuna natura death hapo. Poor mind.
 
Ameajiri vijana zaidi ya elfu 20. wewe house girl tu umeshindwa kumuajiri

Hata akiajiri nchi nzima, mimi hanihusu na wala sijali na litakalo mpata, mimi na yangu hamna nafasi ya kujali mwingine!
 
Wahenga wanasema kwamba Chura ukimuweka kwenye maji ya moto huruka mara moja na kutoka lkn ukimuweka kwenye maji ya uvuguvugu na atakaa, na ukiongeza joto la maji kidogo kidogo Chura atasikia raha na kuendelea kubakia kwenye maji huku akifurahia joto, ukiendelea kuongeza joto la maji na maji kuanza kuchemka Chura atakuja kushtuka kwamba anapaswa kuruka lkn anakuwa ameshachelewa na maji kumpika na kumuua.

Mbowe sasa hivi ni Chura ambaye yuko kwenye yanayongezeka joto pole pole huku akisikia raha, badala ya kuruka kungali mapema.

Kama kila mtu anakutaja wewe ni tatizo lkn hausikii na unang’ang’ania, una tofauti gani na Chura?
CCM bana...

Nashangaa badala CCM iiache CDM ifeli eti wao ndio wamekua washauri na watetezi wakubwa now....

How can I trust CCM mna best interest of CDM at heart kama sio sanaa hizi?

What a joke!
 
. Uelewa wa watanzania wengi juu ya vyama vingi ni mdogo sana, Hivi vyama ni vya umma mimi na wewe, iweje alie? Kwani ni biashara?. Kuna hasara kubwa kutokuwa na vyama imara vya upinzani. Kwani waliohama ni wanachama au mwakilishi!. Ati Mbowe alie kwa kipi cha ajabu wakati ni siasa haramu, hakuna natura death hapo. Poor mind.
Ni mapema sana sasa hivi kuwa na hasira ya namna hii, mambo ndo kwanza yanaanza. Mbowe chama kinamfia mikononi kwa sababu hajui afanye nini kuresque situation amebaki bumbuazi tu. Hana mbinu wala mkakati wowote kama mkt anasubiri kusoma magazeti apate habari za nani kaondoka lini.

Ameamua nae aache mambo yaende hivyohivyo tu maana anaona hana namna
 
Wahenga wanasema kwamba Chura ukimuweka kwenye maji ya moto huruka mara moja na kutoka lkn ukimuweka kwenye maji ya uvuguvugu na atakaa, na ukiongeza joto la maji kidogo kidogo Chura atasikia raha na kuendelea kubakia kwenye maji huku akifurahia joto, ukiendelea kuongeza joto la maji na maji kuanza kuchemka Chura atakuja kushtuka kwamba anapaswa kuruka lkn anakuwa ameshachelewa na maji kumpika na kumuua.

Mbowe sasa hivi ni Chura ambaye yuko kwenye yanayongezeka joto pole pole huku akisikia raha, badala ya kuruka kungali mapema.

Kama kila mtu anakutaja wewe ni tatizo lkn hausikii na unang’ang’ania, una tofauti gani na Chura?
Nadhani ni vizuri ili chadema ife. ccm mfurahi, si mlijiapiza kwamba mtahakikisha chadema inakufa
 
Back
Top Bottom