Wanaenda kudiscus nini?
Kabla hujatoa mrorongo wa maneno, inakupasa kufanya uchunguzi kwanza ni mkutano unahusu nini na ni nani mlengwa usipende kuongea sana. Usiwafananishe Mbowe, Dr Slaa na JK anayeenda kutoa mada kwenye mkutano.Hivi, kwanini asingekwenda kiongozi mmoja tu wa juu na mwingine akabaki? Au ndiyo uroho wa safari tu? Maana hapa akisafiri JK tu nongwa,, haya sasa hawa, mwenyekiti na katibu wote hao! Vipi tena hapa??? Ingeleta tija zaidi kama angekwenda Slaa na mtu kama Wenje au Mbowe na mwingine yeyote mpya kama Lissu aua Sugu ili kumjengea uzoefu wa kimataifa. Sasa magwiji yote mawili yanafuatana!
Safari tamu jameni,, maana hapa tusimseme mwenzetu tu wa mlango wa pili.
Napita tu lakini wakuu.
Afadhali hao wameenda wawili lakini unafikiri Kikwete huwa anaenda peke yake? Kikwete husafiri na kundi la watu wakiwemo mawaziri. Usihofu ndugu yetu kwani viongozi wa Chadema wanasafiri mara chache sana na nadhani hata wewe huwa huwasikii.Hivi, kwanini asingekwenda kiongozi mmoja tu wa juu na mwingine akabaki? Au ndiyo uroho wa safari tu? Maana hapa akisafiri JK tu nongwa,, haya sasa hawa, mwenyekiti na katibu wote hao! Vipi tena hapa??? Ingeleta tija zaidi kama angekwenda Slaa na mtu kama Wenje au Mbowe na mwingine yeyote mpya kama Lissu aua Sugu ili kumjengea uzoefu wa kimataifa. Sasa magwiji yote mawili yanafuatana!
Safari tamu jameni,, maana hapa tusimseme mwenzetu tu wa mlango wa pili.
Napita tu lakini wakuu.
Umeniwahi mkuu,nawaza gharama za kwenda viongozi wote wakuu wa chama ambacho kina hitaji kujengwa vyema!Hivi, kwanini asingekwenda kiongozi mmoja tu wa juu na mwingine akabaki? Au ndiyo uroho wa safari tu? Maana hapa akisafiri JK tu nongwa,, haya sasa hawa, mwenyekiti na katibu wote hao! Vipi tena hapa??? Ingeleta tija zaidi kama angekwenda Slaa na mtu kama Wenje au Mbowe na mwingine yeyote mpya kama Lissu aua Sugu ili kumjengea uzoefu wa kimataifa. Sasa magwiji yote mawili yanafuatana!
Safari tamu jameni,, maana hapa tusimseme mwenzetu tu wa mlango wa pili.
Napita tu lakini wakuu.
Maneno ya mkosaji hayo,kwenye ukweli wala tusiupinge!Afadhali hao wameenda wawili lakini unafikiri Kikwete huwa anaenda peke yake? Kikwete husafiri na kundi la watu wakiwemo mawaziri. Usihofu ndugu yetu kwani viongozi wa Chadema wanasafiri mara chache sana na nadhani hata wewe huwa huwasikii.
Hata hivyo wao ndio viongozi wa wananchi maana sera za chama chao ndizo zinazotekelezwa ndio maana wakisema bei ya sukari imepanda serikali inaanza kuwaambia wafanyabiashara washushe bei.
Tunawatakia safari njema
Hivi, kwanini asingekwenda kiongozi mmoja tu wa juu na mwingine akabaki? Au ndiyo uroho wa safari tu? Maana hapa akisafiri JK tu nongwa,, haya sasa hawa, mwenyekiti na katibu wote hao! Vipi tena hapa??? Ingeleta tija zaidi kama angekwenda Slaa na mtu kama Wenje au Mbowe na mwingine yeyote mpya kama Lissu aua Sugu ili kumjengea uzoefu wa kimataifa. Sasa magwiji yote mawili yanafuatana!
Safari tamu jameni,, maana hapa tusimseme mwenzetu tu wa mlango wa pili.
Napita tu lakini wakuu.
The Monrovia meeting, according to Bakandonda, started yesterday and will end tomorrow. It is being attended by parties from various African countries, with a delegation from Britain and Norway.
The Democratic Union of Africa brings together political parties with conservative related ideology. It is sponsored by the Conservative Party of Britain.
Several top FDC leaders like Aswa MP Reagan Okumu, Odonga Otto, Bugweri MP Abdu Katuntu, FDC former Youth leader Ibrahim Kasozi and FDC vice-chairperson for Buganda Joyce Ssebugwawo have come out openly to oppose Besigyes call for protests and, instead, advised on shifting such efforts to rebuilding the party.
Are You sure Bwana/Bibi Selemani?Nenda kasome vizuri acha kupotosha umma.