Mbowe na Dr Slaa, natoa saa 24!

Status
Not open for further replies.
Acha vitisho visivyo na mashiko. Amin amin hao uliowataja watapita, na wewe utapita lakini CHADEMA itabaki. Saa 24 umetoa nyingi sana. Halafu pia wewe nauna madhara. Ni nyoka wa kijani
 
[MENTION]Sizgates[/MENTION], Vipi ..?? Saa 24 bado hazijatimia ili 'uondoke' kama ulivyosema..??
Sipati picha utakavyobebwa juu-juu kwenye mkutano wa hadhara...!!
FaizaFoxy atakuwepo mkutanoni akipiga vigele-gele..??

Last edited by a moderator:

Unashangaza sana, unampa nani saa 24, unadhani Chama ni familia, siyo kila kitu kichojadiliwa kwenye mitandao nicha kutolea tamko.. Mnyika mkurugenzi wa Habari na Uenezi alishatoa tamko na alishwakemea viongozi wasiotumia vikao kutoa hoja zao, yanayosemwa na wananchama hakuna wa kuyazuia hata wewe huwezi, wanaoleta risit za Zitto siyo viongozi wa chadema ni wanachama tu, na hawakilishi uongozi wa chadema!
 
Jamani tuwe wahalisia;Mnataka Mbowe ama Slaa watoe tamko la nn? Wamkemee Lema kisa Zitto ni naibu katibu mkuu? Angekuwa anawathamini hao mnaotaka wamkingie kifua ingepasa wafanye hivo.Kama mtu anahangaika kukupindua uongozini utamteteaje? Hapa msiniulize mapinduzi yaliyopangwa na kina Zitto na masalia wengine,muulize Mamuya,Saanane,Mwampamba ama dada yetu Juliana Shonza.
Zitto angetumia siasa safi kuhusu malengo yake,angekuja kuwa kiongozi mzuri sana wa nchi yetu.
Huwa najiuliza,hii haraka na papara ya Zitto ni ya nini?
Zitto ajibu hizo nyaraka na ushahidi wa akina Nassary,aache kuomba huruma ya watu kwa kujifananisha na viongozi wa MALASYIA NA India
 
Sizgates, Vipi ..?? Saa 24 bado hazijatimia ili 'uondoke' kama ulivyosema..??
Sipati picha utakavyobebwa juu-juu kwenye mkutano wa hadhara...!!
FaizaFoxy atakuwepo mkutanoni akipiga vigele-gele..??

Yamebaki masaa sita.

Mwambie Slaa asifanye mzaha na makamanda kama Sixgates, ohoooo shauri yenu.
 
Yamebaki masaa sita.

Mwambie Slaa asifanye mzaha na makamanda kama Sixgates, ohoooo shauri yenu.

Hapana.
Mwambie sixgates ajiandae kubebwa mgongoni..??
Na alivyo ki-mbau-mbau, atarushwa-rushwa angani kama shujaa...!!
Kikwete atakuwepo...Vipi 'utatia' timu kwenye mkutano huo wiki ijayo..??
 
Last edited by a moderator:
Hapana.
Mwambie sixgates ajiandae kubebwa mgongoni..??
Na alivyo ki-mbau-mbau, atarushwa-rushwa angani kama shujaa...!!
Kikwete atakuwepo...Vipi 'utatia' timu kwenye mkutano huo wiki ijayo..??

Sixgates amejitolea sana kuijenga Chadema.

Mdau wa namna hiyo anaposema jambo ni lazime lipewe uzito unaostahili.

Viongozi kukaa kimya wakati wanachama wanaojitolea kwa ajili ya chama wanapotaka kusikia kauli zao ni dharau iliyopitiliza...
 
Acha vitisho visivyo na mashiko. Amin amin hao uliowataja watapita, na wewe utapita lakini CHADEMA itabaki. Saa 24 umetoa nyingi sana. Halafu pia wewe nauna madhara. Ni nyoka wa kijani

Mkuu unadhan madhara utayaona leo?? Subiri.
 
Mkuu huoni double standard au umejitia upofu?
 
Ndani ya chadema msichoelewa tatizo sio Zitto, tatizo ni udhaifu wa viongozi wa chama. Copy this.
 
Ufunuo asante kwa kumpa za uso, huwezi kumpa saa 24 Dr Slaa kwa lipi?

Moja ya jambo linalokera ni kutaka kumfanya Dr slaa kama mungu wa chadema. Yeye kama anakosea akosolewe, mara nyingi anakosea na tunamkosoa. Sasa mimi sio fuata upepo.
 
Moja ya jambo linalokera ni kutaka kumfanya Dr slaa kama mungu wa chadema. Yeye kama anakosea akosolewe, mara nyingi anakosea na tunamkosoa. Sasa mimi sio fuata upepo.

Katika historia ya siasa za Tanzania, Slaa hajawahi kuomba radhi hata siku moja.

Ni rahisi kuuhamisha mlima Kilimanjaro uende Kigoma kuliko Slaa kuomba radhi kwa kosa alilofanya...
 
Hapana.
Mwambie sixgates ajiandae kubebwa mgongoni..??
Na alivyo ki-mbau-mbau, atarushwa-rushwa angani kama shujaa...!!
Kikwete atakuwepo...Vipi 'utatia' timu kwenye mkutano huo wiki ijayo..??

Mkuu, sitaki kujadili sana mambo ya future tense ndani ya chadema kwa sababu mda sii mrefu naingia kwenye kikao kujadili hatma yangu chadema.
 
Last edited by a moderator:

Hujui lolote kuhusu Yericko ndio maana unaropoka usivyovielewa. There is a lot of conspiracy.
 
jana umeweka uzi wako huu saa 22:01, muda huu "ninauhakika" huwez fanya mkutano na waandish wa habar (press conference). Hili ulilifanya makusudi kwasababu unazozijua. Sasa bas, weka jina lako kamili hapa na namba yako ya kadi ya uanachama hai wa CHADEMA ili usijetuma mamluki kudanganya umma.... TAFADHALI ZINGATIA HAYO
 
Chadema kwasasa ni maiti inayotembea kuelekea muda wowote inazikwa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…