Mbowe na Dr Slaa, natoa saa 24!

Status
Not open for further replies.
Kitaja wewe katika hili una hoja gani mkuu. Acha kashfa.
 
Last edited by a moderator:

We kiherehere tu,nani anakujua? Kama unafikiri kupata wafuasi ni rahisi jaribu uone aibu utakayoambulia.
 
We kiherehere tu,nani anakujua? Kama unafikiri kupata wafuasi ni rahisi jaribu uone aibu utakayoambulia.

Mkuu Mkono subiri uone. Si umekariri. Hatua zitakazochukuliwa nitakutana na vyombo vya habari. Akili yako ndogo inakutuma kuwa chadema ni Mbowe na Slaa. Lazma uwe taahira kuwaza hivi.
 
Last edited by a moderator:
Lengo kuu la thread hii ni hili hapa.......

@ LE MUTUZ STRAIGHT TALK!!:
Leo kuna habari njema sana kwetu CCM, kwamba Mwenyekiti wa Chadema ameamua kujitoa kugombea Urais 2015, so I told you OUR OPERATION CHAOS is working kwani our never ending online attacks zimemfanya ajipime, ok now one more to go, next on line ni Dr. Slaa, naye ni lazima ajitoe kugombea ili our best interest Zitto ndiye awe mgombea wao 2015!

- NILIWAAMBIENI HAWA HAWANA MGOMBEA URAIS 2015, SO SASA WALE WOTE TUNAOSHIRIKIANA KUWADHOOFISHA KWA KUTUMIA MITANDAO TUZIDISHE MASHAMBULIZI KAMA ILIVYO SASA, NINALO BOMU MOJA LA KIONGOZI WAO MMOJA MAARUFU KUTAKA KUMBAKA DEMU MMOJA MAJUU NA KESI IPO MAHAKAMANI NA DOCUMENTS ZIPO, INA MAANA HUYU AKIPEWA KUGOMBEA CHADEMA AKAPATA URAIS HATARUHUSIWA KWENDA HIYO NCHI, SASA TUTAKUWAJE NA RAIS AMBAYE NI LIMITED KWENYE INTERNATINIONAL COMMUNITY? SAAFI SANA MHESHIMIWA MBOWE KWA KUJIPIMA NA KUACHIA NGAZI SASA MSHAURI NA MWENZAKO SLAA AJIPIME!!

KIDUMU CCM!

KIDUMU CHAMA TAWALA!!

HA! HA! HA! HA!

- LE MUTUZ!!
 
Sijakuelewa mkuu
 
Mkuu Mkono subiri uone. Si umekariri. Hatua zitakazochukuliwa nitakutana na vyombo vya habari. Akili yako ndogo inakutuma kuwa chadema ni Mbowe na Slaa. Lazma uwe taahira kuwaza hivi.
Yamebaki masaa mangapi ujitoe..
 
Last edited by a moderator:

Kumbe we ni mamluki tu baada ya kusoma huu upuuzi wako,achana na sifa usizozistahili,fanya kazi zako na ujali familia yako kiherehere kitakuponza bure.
 
Last edited by a moderator:

Wakati Zitto anamshambulia Dr.SLaa hadharani,mchana kweupe hukuja na porojo zako hizi,ni hivi ndugu,yule jasiri na asiyemuogopa mtu yeyete kalianzisha,haitezekani kila tukio baya ndani ya chama nyuma yake yuko Zitto,nilikuwa nampenda sana Zitto but naona sasa hapana,anamatatizo na inawezekana amevumiliwa sana.
 
Sijakuelewa mkuu

Mbona umekuwa mdogo ghafla,Hujaelewa nini hapo mbona WILIAM J.S.MALECELA anaeleweka vizuri tu!?si ndo mpango kazi mliopewa lumumba!?tulia mtafukuliwa tu,hakuna atayebaki.
 
Sijakuelewa mkuu

Hujaelewa nini, wakati 'boss' wenu (W.J. Malecela) amewaandikia kwenye page yake ya facebook kuwa CCM lengo lenu ni kumfanya Zitto awe mgombea urais kupitia Chadema.
Bado hujaelewa..?? au...??
Soma tena mlivyoandikiwa na 'boss' wenu....!!
 
Mbona umekuwa mdogo ghafla,Hujaelewa nini hapo mbona WILIAM J.S.MALECELA anaeleweka vizuri tu!?si ndo mpango kazi mliopewa lumumba!?tulia mtafukuliwa tu,hakuna atayebaki.

Fisadidagaa huna jipya, naona unaweweseka kisa ninasimamia ukweli.
 
sixgates umeelewa sasa lengo lako la kuanzisha thread hii...??
Umejiona jinsi ulivyojaribu kujificha, lakini umeonekana..??

Sasa endelea kuchangia thread yako hii, huku ukijua lengo lako katika thread yako mwenyewe...!!!!
Ritz na Mamndenyi mpo hapo..??
Mbona leo hamuonekani..???
 
Last edited by a moderator:
Fisadidagaa huna jipya, naona unaweweseka kisa ninasimamia ukweli.

Hakika..!!
Unasimamia ukweli kuwa unatekeleza 'maagizo' kama yanavyoonekana kwenye nukuu ya W.J. Malecela.
Hakika,,,!!!!
 
Hujaelewa nini, wakati 'boss' wenu (W.J. Malecela) amewaandikia kwenye page yake ya facebook kuwa CCM lengo lenu ni kumfanya Zitto awe mgombea urais kupitia Chadema.
Bado hujaelewa..?? au...??
Soma tena mlivyoandikiwa na 'boss' wenu....!!

Mimi sio CCM nisome vizuri mkuu
 
Hakika..!!
Unasimamia ukweli kuwa unatekeleza 'maagizo' kama yanavyoonekana kwenye nukuu ya W.J. Malecela.
Hakika,,,!!!!

Mimi hakuna anaeweza kunituma. W.j.malecela ni looser hana ubavu wa kuniagiza jambo.

Jikite kwenye hoja acha ku attack personalities
 
Muda unazidi kuyoyomaa mkuu. Mtanielewa tu
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…