Mbowe na Dr Slaa, natoa saa 24!

Status
Not open for further replies.
Zitto ndie aliyeanza kumshambulia Lema tena kwa yaliyotokea kwenye kikao ambcho hakwepo.

Sasa Lema asingepaswa nae kuja kumshambulia Zitto. Narudia. Two wrongs does not make one right.
 
Sina statistical data kw jinsi walivozidiana.
Kuwapigia kampeni Mkosamali,Kafulila na Machali.
Hakumfanyia Dr.Slaa kampeni.
Kufanya hoja ya swala posho ambyo ilikuwa ya chama ni yake n.k
 
Kuwapigia kampeni Mkosamali,Kafulila na Machali.
Hakumfanyia Dr.Slaa kampeni.
Kufanya hoja ya swala posho ambyo ilikuwa ya chama ni yake n.k

Mkuu izo ndio statistical data??? Kazi ipo..
 
Sasa Lema asingepaswa nae kuja kumshambulia Zitto. Narudia. Two wrongs does not make one right.
Kwa jinzi ilivyokuwa na Zitto kwa kupitia magazeti Lema kama mbunge alikuwa sahihi kwa upande mmoja kuweka hadharani unafki wake.
 
Kwa jinzi ilivyokuwa na Zitto kwa kupitia magazeti Lema kama mbunge alikuwa sahihi kwa upande mmoja kuweka hadharani unafki wake.

Ila Mwigamba hakuwa sahihi kumwaga hadharani ubadhilifu na matumizi mabaya ya fedha za Chama,Kuondolewa kinyemela kwa baadhi ya Vipengele katika Katiba ya Chama pamoja na kupuuzwa kwa maazimio mbalimbali ya Vikao vya Chama kunakofanywa na baadhi ya Viongozi wa juu?Nadhani wewe na wenzio wote mnaounga mkono huu ujinga ndio Wanafiki wakubwa.
 
Uguse mchanga, uguse udongo au usiuguse.......... njia ni ile ile. Mauti yako pale palepale, iwe CCM, iwe CDM. Lakini kwa kufuata necha, mzee yampasa atangulie kufa.
Haujawahi kuona mtoto mchanga anazaliwa leo kesho anakufa anawaacha wazee na mikongojo.
 
Ndugu yangu umesema kweli ndugu yangu na mdogo wangu Mhe Lema amekosea kwani Mhe Zito ni kiongozi wake kichama hata kama Mhe Zito anamakosa sio hivyo kumkosoa matokeo yake chama kinasambaratika na watu wanaanza kusema yaleyale ya NCCR,naomba sana viongozi waingilie kati jambo hili tumetumia fedha zetu,muda wetu NK tumechoka maneno ya kitoto kwa mtindo huu MACCM yatabaki madarakani,SASA MNAJENGA AU MNABOMOA?
 

Acheni kuingilia uhuru wa JF bana, mbona mwezi uliopita mlifungua laptop zenu na kumshambulia mama slaa na DR.SLAA mwenyewe kwa siku mbili mfululizo wakati akiwa marekani.Na tunaamini shambulio hilo lilitoa fundisho kwa namna fulani kwa walioshambuliwa na ninaamini somo lilieleweka.Anaposhambuliwa zitto mnasema ameonewa chama kiingile kati kwani yeye nani???? Yeriko Hongera sana funguka zaidi ya hapo.JF isifanywe kama lilivyo bunge la ANA MAKINDA, bunge likitakiwa likae kkujadili jambo la dharura tunaambiwa tutahatarisha usalama, wauza unga wanakiti chao bungeni, wauaji wanakiti chao bungeni, wauza pembe za ndovu wanakiti chao bungeni.
Watanzania tunakwenda wapi??? kumbe kuna untouchable ndani ya CDM.KOMENI KABISA.Madhambi ya zitto yasemwe ili ajirekebishe na ajue kuwa hajajificha anaonekana , itamsaidia kufanya maamuzi whether kuendela na rungula au kurudi ktk mstari.Lengo ni kujenga taifa la waadilifu, zitto tunamhitaji sana, ni mdogo wetu , ni kaka yetu, narafiki tusikubali kumpoteza tumshauri kwa kumwambia ukweli
 

Mkuu usijitie upofu Shambulio dhidi ya Dr Slaa na Josephine nililitekeleza mimi. Na lilikuwa halina tuhuma, lilikua ni jambo binafsi ambalo lilitokea hapa hapa JF juu ya matumizi ya account ya JF ya Slaa. Nakumbuka katika karipio langu kwa Dr slaa nilitaka kujua ukweli wa anyetumia ID yake. Baada ya kugundua pia kuna wakati josephine anaitumia... Kwa pamoja tumlimtaka Josephine atumie ID yake na ya Dr Slaa itumiwe na Dr, unless anaitumia kwa maagizo ya Dr tofauti na awali Josephine alikuwa anaitumia kujibu mipasho ya akina ZeMarcopolo.

Safari hii nimetoa tena ultimatum ya saa 24 kuhakikisha viongozi waandamizi wa chadema wanalitolea tamko hili saga la lema vs zitto. Tunahitaji taarifa za namna viongozi wanavyodeal na matatizo katika chama.

Tunagombana na waajiri wetu kisa chadema, tunagombana na wake zetu na watoto kisa hiki chama, so lazma tukikingie kifua, wapumbavu wawili ama watatu wasiturudishe nyuma.
 
Last edited by a moderator:
Kuishabikia chadema kwa sasa ni kufanya post moterm ya mwili wa marehemu
 
Kwahiyo wewe ni kiongozi wa kanda unayetishia kujitoa?ngoja tusubiri hizo 24 hrs.
 
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…