Mbowe na CHADEMA wana itikadi na sera ya ubinafsi

..watu ambao walitendewa UNYAMA na Magufuli kwanini unachukia wakishangilia kifo chake?

..inawezekana Magufuli alikuwa mtu mzuri kwako, lakini umejiuliza ukatili aliowafanyia Mbowe, Lissu, na wapinzani wengine?
JokaKuu hayo maelezo yote ya nini ? Wao walishangalia kifo cha mpendwa wetu na sisi ni haki kushangilia mizoga yao, haina maelezo mengi. Mizoga yao ikipita tutairushia kinyesi kuonyesha isivyo na thamani kwetu, malipo ni hapa hapa duniani.
 
..kwanini usiwasamehe?

..sisi tuliobaki tunatakiwa tuwe na MARIDHIANO.
 
Kwani jpm hakuwa muuaji? Akina ben saanane, akina azori gwanda na wengine si aliwachapa marisasi na kuwaua. Lisu mwenyewe aneponea chupuchupu. Kunawatu amewabimbikia makesi na sasa mahakama inawatoa mmoja mmoja. Yule hakuwa mtu tulikuwa tunaongozwa na shetani mungu ametusaidia
Kama ulitumbuliwa kwa ufisadi uzembe au ni cheti feki bila shaka utamuona magufuli ni shetani. Kuna wale wa simon group waliyotaka kujibinafsishia uda bure. Kuna wale wa iptl waliyojidai wameuziwa mtambo ule na kujichotea mabilioni ya fedha za escrow account...na wengine wa aina hiyo. Watu kama hao kawapa kesi sasa udikteta uko wapi. Kwenye udikteta halisi wanaouliwa ovyo hawahesabiki... Sasa hiyo orodha yenu kila siku ni ben saanane sijui na nani yule hawajai mono. Wala hakuna ushahidi mnaotoa.
 
Malipo ni hapa hapa duniani, kuna watu watakufa huku midomo imepinda na sisi tutazodoa hiyo mizoga yao kuwaonesha chuki zetu kwao kwa kushangilia kifo cha JPM, Mbowe na Lissu utafika muda wao watakufa, itakuwa na zamu yetu kuzodoa mizoga yao, nisiambiwe ujinga wowote wa utu muda huo.
Unaweza kutangulia wewe, utawazodolea wapi? Kwenye nchi iliyoparaganyika, kuzodoana kupo tu, lakini anayeondoka ndiye huzodolewa.
 
Kama ulitumbuliwa kwa ufisadi uzembe au ni cheti feki bila shaka utamuona magufuli ni shetani. Kuna wale wa simon group waliyotaka kujibinafsishia uda bure. Kuna wale wa iptl waliyojidai wameuziwa mtambo ule na kujichotea mabilioni ya fedha za escrow account...na wengine wa aina hiyo. Watu kama hao kawapa kesi sasa udikteta uko wapi. Kwenye udikteta halisi wanaouliwa ovyo hawahesabiki... Sasa hiyo orodha yenu kila siku ni ben saanane sijui na nani yule hawajai mono. Wala hakuna ushahidi mnaotoa.
Jibu swali! Umeulizwa akina ben saanane, azory gwanda si jpm ndo amewaua?
 
Huyu ben saanane aliyekua anamtukana magufuli kila siku na kuandika kila siku degree ya magufuli ni feki? Na huyo azory gwanda aliyekua anafanya ujasusi kwa niaba ya magaidi wa kibiti? Hao wapinga maendeleo huenda walikutana na majanga kwenye kutekeleza shughuli zao. ..hakuna mwenye ushahidi wameenda wapi.
 
Kabudi aliseema kwamba jpm aliwau tena alikuwa akihojiwa na dw
 
Wanufaika wa dikteta wanalia njaa,hivi magazeti ya tanzanite bado yanatoka kweli
 
Huyu ben saanane aliyekua anamtukana magufuli kila siku na kuandika kila siku degree ya magufuli ni feki? Na huyo azory gwanda aliyekua anafanya ujasusi kwa niaba ya magaidi wa kibiti? Hao wapinga maendeleo huenda walikutana na majanga kwenye kutekeleza shughuli zao. ..hakuna mwenye ushahidi wameenda wapi.
Mbona wamekataa kuruhusu wachunguzi wa nje waje Ili watusaidie kujua walipo
 
Kwani ni lazima mtu akifa lazima nchi walete watu nje kuchunguza wakati kuna vyombo vyetu wenyewe?.. kama lissu amekataa kabisa kutoa ushirikiano na polisi badala yake ametimkia nje huku akilaumu. Isitoshe chadema wamemtorosha kabisa dereva nje ya nchi.
 
Vyetu vimeshindwa uwezo mdogo.Ushirikiano upi hali kila kitu kipo wazi,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom