Mbowe na CHADEMA wabadili gia angani, Watangaza Kumuunga Mkono Uhuru Kenyatta

Huu upuumbavu wa hali ya juu kabisa.

Na ni ishara ya kufilisika kifikra!

Kisa cha kujiingiza katika siasa za Kenya ni nini?

Yakitokea kama yaliyotokea ile 2007 mtakubali kubeba lawama?

CHADEMA na huyo mwenyekiti wao wa maisha ni bure kabisa.
 
Vyama vya kisanii utavijua tu.kwa hiyo chadema watakwenda kupiga kura au watalinda kura
 
Mbona mbowe hasemi kuhusu kagame? Sote tunajua kagame alivoiunga mkono chadema 2015 lkn sasa kagame naye kawageuka mbona hili hawalisemi wakati sote tunajua kuwa mwaka huu Rwanda pia kuna uchaguzi?. Chadema acheni unafiki.
 
Lowasa
Alisaidiwa sana na wakenya wamasai ambao wengi walio kwenye muungano wa wakalenjin ambako rutto makamu wa raisi anatoka. Wamasai wa Kenya wako pamoja Na Kenyatta. Asitoe visingizio mbowe aseme tu tunafuata kule mnunuzi wa chadema anakopenda
 
Lowasa alishatamka siku nyingi bila kikao chochote akatamka kuwa wao chadema wanamuunga mkono Kenyatta na wanampenda hilo baraza kuu limeenda tu kugonga mhuri wa approved. Baraza kuu lenye malofa kibao laweza tengua uamuzi wa tajiri lowasasa. Biblia inasema The Rich rules the poor. Maskini wa chadema kazi yao ni kuwa rubber stamp tu
 
Tafsiri rahisi kabisa, kila asie upande wako ni adui yako, kama hujui uliza kivipi, hicho ni kiswahili yetu watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…