Mbowe, Mtei walamba 5bn/- Lengo ni kumpisha Lowassa apitishwe kugombea urais

kama kweli wamepewa hizo pesa mbona dr.slaa siku ile ktk press conference hakusema? unadhani angelinyamazia hilo ktk tuhuma zote zile alizomsema lowassa? tunayajua magazeti ya lumumba,JAMBO LEO likiwemo.
 
Hatimae imebainika sababu za Lowasa kupewa nafasi ya kugombea Chadema.Zaidi ya bilioni 6 inasadikiwa zilitumika.Hata hivo bado hali inazidi kwenda mrama kwa mgombea huyo.
 

Attachments

  • IMG-20150930-WA0053.jpg
    42.6 KB · Views: 405
Hatimae imebainika sababu za Lowasa kupewa nafasi ya kugombea Chadema.Zaidi ya bilioni 6 inasadikiwa zilitumika.Hata hivo bado hali inazidi kwenda mrama kwa mgombea huyo.
Chukua hiyo
 

Attachments

  • images.jpeg
    3.7 KB · Views: 595

ili mradi Lowasa amejitoa kwenye chama cha mafisadi, hata useme nini hakuna mtu atakaekuewa hapa ni mabadiliko tu
 
Hivi hizo pesa si zingefanya makubwa jimboni kwake alikokuwa mbunge!! Na ajiandae maana Magufuli ndio raisi,chaguo la watanzania.
 
kwanza walisema bilioni 10 sasa wamepunguza hadi bilioni 5, kwani Slaa alipata ngapi kwa kumpeleka Lowasa ukawa? hii habari tunaijua tayari na tumeamua kumchagua Lowasa kama raisi mpya wa jamhuri ya muungano ya Tanzania.

Mkuu mwanzo kweli tuliambiwa 10, baadae wakapunguza wakasema9, sasa imeshuka mpk5. Kesho tena tegemea kiwango kingine.

Wameshikwa wameshikika mwaka huu magamba jamani.
 
Nimelidharau rasmi Gazeti Raia Tanzania, yaani wamefikia hatua ya kunukuu habari kutoka kwa chanzo cha pili!

Ulimwengu, Mbwambo et al angalieni msije mkaiua tena Kampuni yenu kama mlivyofanya kwa Gazeti la Rai miaka ile.

Vv

Umejidharau wewe mwenyewe kwa umbulula wako. Labda nikufahamishe tu kwamba habari yoyote ya uongo ni mtaji kwa aliyesingiziwa. Sheria ya magazeti ya mwaka 1976 iko wazi kabisa. Sasa wewe unadharau gazeti badala ya kuwahamasisha wahanga wa habari hii wakatafute haki yao katika baraza la habari au mahakamani. Huo ni umbulula kabisa. Gazeti liko clear kabisaa. Jiulize wanajiamini nini? Revelation kwanza?
 
Kumbeee!!! Tulipigwa changa la macho. Haki ya mungu Lowassa hapati kura zetu.

Ndio maana hata haoneshi alama ya vidole viwili...hata havai kombati kwakuwa amekinunua chama ili kuupata urais itikadi ya chama ikafie mbali...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…