Mbowe mtazame kwa umakini sana Lissu

Mbowe mtazame kwa umakini sana Lissu

Nashauri jeshi la polisi lianze na posti hizi kuwachunguza wajaribu wa mauaji ya Lissu. Kuna chembechembe za post hii kuwa sababu ya Lissu kushambuliwa. Huyu Mbowe huyu, possibly anahusika kabisa na kupanga yaliyomkuta Lissu, achunguzwe. Dereva WA Lissu apatikane na kuhojiwa its possible anajua mengi yaliyofichika. Lema na Msigwa pia wahojiwe, hawa kuna kila dalili wanajua gem
 
Msuguano wa kugombea madaraka ndani ya Chadema siku zote Huwa unaleta victims sometime fatalities
Na jee serikali haijawahi kuliona hilo na kulishughulikia? Au usalama wa raia ambao sio wanaccm huwa hauwahusu? Mbona mna propaganda za kijinga kiasi hiki na kudhalilisha serikali kuwa ina vyombo dhaifu visivyoweza kufanya uchunguzi?
Kwa hiyo hata haya tunayoambiwa na Sirro tujue moja kuwa hayawezekani?
 
Nyie si hamna imani Na serikali Na Jeshi la Polisi? Umizaneni wenyewe huko
 
Kwako Mwenyekiti wetu Mbowe, F.A. (MB-KUB)

Tunatambua wazi nguvu na jitihada na juhudi zako katika kuijenga CHADEMA licha ya msukosuko mkubwa wa mwaka 2015 pale Katibu Mkuu, Dr. W.P. Slaa alipojiondoa ndani ya chama kufuatia uamuzi wako wewe kumkaribisha ndani ya chama na kumpa nafasi ya ugombea urais, bila kushindanishwa, target yetu kuu dhidi ya vita ya ufisadi, Edward N. Lowassa. Yaliyotokea ni historia na hatuna haja ya kurejea tena. Licha ya UKUTA kuanguka vibaya sana pamoja na uimara wa Rais Magufuli katika kuiongoza nchi na chama chake (wahasimu wetu CCM), bado chini yako CHADEMA inasonga tu. Tunatambua kipindi kigumu ulichopitia cha kutoweka kwa msaidizi wako mkuu, Ben Saanane bila taarifa, lakini bado uko imara kabisa. Tunatambua uhsuishwaji wako na biashara ya mihadarati, ukwepaji kodi na kulipa mapango mpaka kuvunjwa kwa kitegauchumi chako hapo Bilcanas na madai ya kodi ya TRA. bado uko imara. Hiyo ni kwa uchache misukosuko unayopitia.

Sasa Ndugu Mwenyekiti kuna changamoto kubwa sisi makamanda tunaokijua chama, inakuja mbele yako. Nayo si nyingine bali ni uwepo wa Tundu A. Lissu. Tunatambua kuwa huyu ulimpatia nafasi ya kuja ndani ya chama na kuweza kugomeba ubunge wa Singida Mashariki mwaka 2010 nakuweza kuteteta tena mwaka 2015. Huyu jamaa si wa kumpuuza hata kidogo. Wote tu mashahidi jinsi alivyoweza kupata nafasiya kuwa Rais wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika licha ya kupitia vikwazo na misukosuko mingi sana. Historia yake na yako zinafanana kwa kiasi fulani ingawa yake ina uzito zaidi hasa ukizingatia kiwango chake cha elimu, uwezo wake wa kujenga hoja na uimara wa misimamo yake. Ni kweli chama kimepata kuwa na kina wasomi wengi kama Zitto Kabwe, Kitila Mkumbo, Baregu, Safari, Vincent Mashinji na wengine wengi wasio na majina. Ila huyu Lissu, Mwenyekiti Mbowe kuwa naye makini sana.

Tunaona jinsi ambavyo ameweza kujijenga na kujipatia wafuasi wengi ndani na nje ya chama, hasa pale alpoweza kushinda nafasi ya urais wa TLS. Kwa sasa anafanya diplomasia ya kukutana na Rais Magufuli kupitia nafasi yake ya urais wa TLS. Ameshakutana na kaimu Jaji Mkuu, ana mpango wa kukutana na Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Waziri wa Sheria, n.k. Yote hayo ni kupitia nafasi ya urais wa TLS. Wewe Mwenyekiti huwezi kupata nafasi hiyo kutokana msimamo wa Rais Magufuli kutotaka siasa mpaka 2020. Nafasi pekee uliyo nayo ni ya ubunge na bahati mbaya sana hakuna tena mambo ya bunge "live". Nini maana yake? Nitafafanua.

Maana yake ni kwamba Tundu Lissu kwa sasa ana nafasi kubwa sana ya kusikika na kujitangaz an hivyo kujijenga, kupitia urais wa TLS. Ameshatoa na anaendelea kutoa matamko ambayo ndani ya chama yanamjengea ufuasi mkubwa sana na nje ya chama. Mwaka 2018 ni mwaka wa uchaguzi wa ndani. Tayari Lissu ameanza kupigiwa chapuona vijana wengi agombee uenyekiti (Lissu awe Mwenyekiti CHADEMA na Lema awe Katibu)

Pia mwenendo wa vijana wa CHADEMA mtandaoni unalekea kumjenga zaidi Lissu kuliko chama. Kwa uchache tazama mabandiko haya:

Nampongeza,kumtia moyo na kumuombea kwa Mungu Mh.Tundu Lissu

Ni Tundu Lissu na wala siyo Lowassa kushinda Urais 2020 kwa UKAWA

Je, Tundu Lissu aweza kuwa Mwanasheria bora wa Afrika?

Hayo ni mabandiko machache tu. Sasa Mwenyekiti Mbowe, tunajua kiwango chako cha elimu na ujenzi wako wa hoja. Swali la kujiuliza ni kwamba Lissu akigombea uenyekiti, unaweza kumshinda kweli? Nimewaza na kuona jinsi ulivyoweza kuwazuia Marehemu Chacha Wangwe licha kuwa na ushawishi mkubwa ndani ya chama kipindi kile. Tunajua hakuwa na CV kama ya Lissu lakini alikuwa jasiri na mwenye ushawishi na kipndi hichi Lissu hakuwa ndani ya chama kivile. Akajaribu Zitto Kabwe. Huyu ana elimu kubwa na uwezo mkubwa kuliko wewe na kuliko Wange, pengine anashindana na Lissu.Lakini huyu ulimleta na kumkusa ndani ya chama

Kama wasemavyo waswahili, masikio hayazidi kichwa. Wote tuliona kilichompata alipojaribu kukupoka uenyekiti wako. Sasa yuko anahangaika na ACT yake. Tunajua ni kwa nini ni wewe tu lazima uendelee na uenyekiti wako. Chama unakijua vizuri sana. Wengine hawa kina Lissu, Zitto na wengineo hawajawahi hata kuweka senti kukijenga chama. Umetoa mengi kukjenga chama. Umezunguka nchi hii miaka mingi kukijenga chama.

Nakuuliza, je Mwenyekiti Mbowe, kwa kasi hii na uzito unaoongezeka wa Tundu Lissu, akisimama na kugombea uenyekiti, atakushinda?

Uko tayari kupambana naye? Una uwezo na sifa kama zake?

Je Lissue ana hela ya kukijenga chama?

Mwenyekiti Mbowe kuwa makini sana na Lissu.
nieti nawe ni mtaalam wa kuchochea migogoro kwenye vyana pinzani
 
Kaka tulishasema, kikulacho...Upelelezi lazima uanze mle mle ndani, wao wenyewe wanaujuwa ukweli, wanakataa wakiambiwa, wameumizana wenyewe kwa wenyewe, Magu na dola yake hawana haja ya kumuumiza Mh. Lissu, hii issue imeanza kwa Mwkt wa Kudumu kushuka chini, wale wa Arusha na Kilimanjaro lazima wanalijuwa hili..Ukweli utajulikana tu, haya mambo hayana siri..
 
Na jee serikali haijawahi kuliona hilo na kulishughulikia? Au usalama wa raia ambao sio wanaccm huwa hauwahusu? Mbona mna propaganda za kijinga kiasi hiki na kudhalilisha serikali kuwa ina vyombo dhaifu visivyoweza kufanya uchunguzi?
Kwa hiyo hata haya tunayoambiwa na Sirro tujue moja kuwa hayawezekani?

Possibility nyingine ni kuwa kuna watu ndani ya cdm katika ngazi za juu ambao ni ssehemu ya usalama wa RAIA. Wanaweza kuwa wamekosea katika utendaji wao, wakatekeleza above required measures. Hawa hawawezi kuwa exposed kama vile ambavyo elimu zao haziwi exposed na hakuna mwenye ubavu wa kuzidai.
 
Nimegundua kwa nini uliamua kujiita jingalao, sio kwamba wewe ni mjinga kihivyo,bali uliamua kuwa hata ukileta propaganda mfu wakuone ni mjinga wao. Hii thread ya march umeenda kuifukua kuileta hapa ili iweje?
Dogo jibu hoja, haya mambo ya uuaji ndani ya Chadema si jambo jipya. Mtajidanganya mkiendelea kufikiri kuwa hamna matatizo kwa kuamua kuyapuuza
 
Kwako Mwenyekiti wetu Mbowe, F.A. (MB-KUB)

Tunatambua wazi nguvu na jitihada na juhudi zako katika kuijenga CHADEMA licha ya msukosuko mkubwa wa mwaka 2015 pale Katibu Mkuu, Dr. W.P. Slaa alipojiondoa ndani ya chama kufuatia uamuzi wako wewe kumkaribisha ndani ya chama na kumpa nafasi ya ugombea urais, bila kushindanishwa, target yetu kuu dhidi ya vita ya ufisadi, Edward N. Lowassa. Yaliyotokea ni historia na hatuna haja ya kurejea tena. Licha ya UKUTA kuanguka vibaya sana pamoja na uimara wa Rais Magufuli katika kuiongoza nchi na chama chake (wahasimu wetu CCM), bado chini yako CHADEMA inasonga tu. Tunatambua kipindi kigumu ulichopitia cha kutoweka kwa msaidizi wako mkuu, Ben Saanane bila taarifa, lakini bado uko imara kabisa. Tunatambua uhsuishwaji wako na biashara ya mihadarati, ukwepaji kodi na kulipa mapango mpaka kuvunjwa kwa kitegauchumi chako hapo Bilcanas na madai ya kodi ya TRA. bado uko imara. Hiyo ni kwa uchache misukosuko unayopitia.

Sasa Ndugu Mwenyekiti kuna changamoto kubwa sisi makamanda tunaokijua chama, inakuja mbele yako. Nayo si nyingine bali ni uwepo wa Tundu A. Lissu. Tunatambua kuwa huyu ulimpatia nafasi ya kuja ndani ya chama na kuweza kugomeba ubunge wa Singida Mashariki mwaka 2010 nakuweza kuteteta tena mwaka 2015. Huyu jamaa si wa kumpuuza hata kidogo. Wote tu mashahidi jinsi alivyoweza kupata nafasiya kuwa Rais wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika licha ya kupitia vikwazo na misukosuko mingi sana. Historia yake na yako zinafanana kwa kiasi fulani ingawa yake ina uzito zaidi hasa ukizingatia kiwango chake cha elimu, uwezo wake wa kujenga hoja na uimara wa misimamo yake. Ni kweli chama kimepata kuwa na kina wasomi wengi kama Zitto Kabwe, Kitila Mkumbo, Baregu, Safari, Vincent Mashinji na wengine wengi wasio na majina. Ila huyu Lissu, Mwenyekiti Mbowe kuwa naye makini sana.

Tunaona jinsi ambavyo ameweza kujijenga na kujipatia wafuasi wengi ndani na nje ya chama, hasa pale alpoweza kushinda nafasi ya urais wa TLS. Kwa sasa anafanya diplomasia ya kukutana na Rais Magufuli kupitia nafasi yake ya urais wa TLS. Ameshakutana na kaimu Jaji Mkuu, ana mpango wa kukutana na Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Waziri wa Sheria, n.k. Yote hayo ni kupitia nafasi ya urais wa TLS. Wewe Mwenyekiti huwezi kupata nafasi hiyo kutokana msimamo wa Rais Magufuli kutotaka siasa mpaka 2020. Nafasi pekee uliyo nayo ni ya ubunge na bahati mbaya sana hakuna tena mambo ya bunge "live". Nini maana yake? Nitafafanua.

Maana yake ni kwamba Tundu Lissu kwa sasa ana nafasi kubwa sana ya kusikika na kujitangaz an hivyo kujijenga, kupitia urais wa TLS. Ameshatoa na anaendelea kutoa matamko ambayo ndani ya chama yanamjengea ufuasi mkubwa sana na nje ya chama. Mwaka 2018 ni mwaka wa uchaguzi wa ndani. Tayari Lissu ameanza kupigiwa chapuona vijana wengi agombee uenyekiti (Lissu awe Mwenyekiti CHADEMA na Lema awe Katibu)

Pia mwenendo wa vijana wa CHADEMA mtandaoni unalekea kumjenga zaidi Lissu kuliko chama. Kwa uchache tazama mabandiko haya:

Nampongeza,kumtia moyo na kumuombea kwa Mungu Mh.Tundu Lissu

Ni Tundu Lissu na wala siyo Lowassa kushinda Urais 2020 kwa UKAWA

Je, Tundu Lissu aweza kuwa Mwanasheria bora wa Afrika?

Hayo ni mabandiko machache tu. Sasa Mwenyekiti Mbowe, tunajua kiwango chako cha elimu na ujenzi wako wa hoja. Swali la kujiuliza ni kwamba Lissu akigombea uenyekiti, unaweza kumshinda kweli? Nimewaza na kuona jinsi ulivyoweza kuwazuia Marehemu Chacha Wangwe licha kuwa na ushawishi mkubwa ndani ya chama kipindi kile. Tunajua hakuwa na CV kama ya Lissu lakini alikuwa jasiri na mwenye ushawishi na kipndi hichi Lissu hakuwa ndani ya chama kivile. Akajaribu Zitto Kabwe. Huyu ana elimu kubwa na uwezo mkubwa kuliko wewe na kuliko Wange, pengine anashindana na Lissu.Lakini huyu ulimleta na kumkusa ndani ya chama

Kama wasemavyo waswahili, masikio hayazidi kichwa. Wote tuliona kilichompata alipojaribu kukupoka uenyekiti wako. Sasa yuko anahangaika na ACT yake. Tunajua ni kwa nini ni wewe tu lazima uendelee na uenyekiti wako. Chama unakijua vizuri sana. Wengine hawa kina Lissu, Zitto na wengineo hawajawahi hata kuweka senti kukijenga chama. Umetoa mengi kukjenga chama. Umezunguka nchi hii miaka mingi kukijenga chama.

Nakuuliza, je Mwenyekiti Mbowe, kwa kasi hii na uzito unaoongezeka wa Tundu Lissu, akisimama na kugombea uenyekiti, atakushinda?

Uko tayari kupambana naye? Una uwezo na sifa kama zake?

Je Lissue ana hela ya kukijenga chama?

Mwenyekiti Mbowe kuwa makini sana na Lissu.
Mkuu ni dhahiri mwenyekiti kafanyia kazi angalizo lako
 
Daaah! Kumbe mlikuwa mmeshapanga kabisa nani wa kumpakazia “mauwaji ya Lissu”, ndiyo maana hiyo imekuwa karata yenu nyie wanazi. Kama mna dini, muogopeni huyo mnaemwabudu na kumuita Mungu.

This is very low, ukizingatia hatujafikia wairaki na walibya!
 
Pole sana kwa mujibu wa raisi hatoongeza marupurupu yatabaki buku 7 tu
 
Huenda Lissu angepata nafasi ya kuonana na mwenyekiti wa ccm angembadilisha mtizamo wake kuhusu upinzani na namna bora zaidi ya kuongoza na kuleta matokeo chanya kiuchumi kisiasa na uongozi bora hasa demokrasia yetu bila kusahau kukabiliana na ufisadi na mafisadi . maana hayo yote Rais Wetu kashindwa vibaya mno japokuwa thamira yake ni nzuri.
 
Daaah! Kumbe mlikuwa mmeshapanga kabisa nani wa kumpakazia “mauwaji ya Lissu”, ndiyo maana hiyo imekuwa karata yenu nyie wanazi. Kama mna dini, muogopeni huyo mnaemwabudu na kumuita Mungu.

This is very low, ukizingatia hatujafikia wairaki na walibya!
Ufalme wa Mbowe hautakiwi kupinga ndani ya Chadema
 
Back
Top Bottom