Mbowe mtazame kwa umakini sana Lissu

Mbowe mtazame kwa umakini sana Lissu

Mh Tundu Lisu anazo sifa zote za kushika nafasi yoyote kubwa serikalini isipokuwa nafasi ya Rais Wa nchi.Kwa maoni yangu,anafaa zaidi kushika nafasi za kiutendaji zaidi kuliko kisiasa.Anaweza kuwa Jaji mkuu,AG,Waziri Wa sheria nk.Urais labda 10 years to come but not 2020.
 
Sidhani kama wanachama wataamua Lissu awe mwenyekiti kutakua na tatizo!
Hizo kashfa za kusema mbowe huwa unawaundia zengwe wale wanaogombea uenyekuti wa chama hua hazina ukweli.....
Na mara nyingi ukiangalia wanaomuandama ndio wale wanaotaka kupenyeza mtu aliyerahisi kurubunika iwe kama yale ya cuf na lipumba!

Divide and rule them
Ina maana Lissu anarubunika kamanda?
 
Huyu nzige lengo lake ni kutaka kuona CDM inaingia kwenye crisis ya wenyewe kwa wenyewe kama CUF na lumumbani. hakuna kipindi CDM wako na utulivu kana kipindi hiki na huu ukimwa sijui utaleta mtikisiko gani kwa wana lumumba?[/QUOTE
Kamanda unamaanisha Lissu hatakiwi kugombea uenyekiti wa chama?
 
Kama huyo baba toshiba ndo kakutumia kuja kuleta uzi wa kipumbavu namna hii wewe ma yeye jibu lenu ni pumbavu zenu
Kamanda matusi hayasaidii. Uchaguzi wa ndani ni kesho tu 2018, tunapaswa kujiandaa.
 
Wewe ni mbweha mkubwa, unajaribu kujenga mfarakano ndani ya chama, hivi mbowe ni mwenyekiti wa kudumu?
Tuache ujinga demokrasia ianzie chamani.
Sina uhakika Lisu atataka awe mwenyekiti wa chama na tls
Povu la nini?
 
Hatutaki Lissu agombee uenyekiti wa CHADEMA. Tunachotaka ni kuona Lissu anapambana na Magufuli katika kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ifikapo 2020. Dikteta hana ujanja tena. Aanze kabisa kuandaa mashamba ya viazi vitamu kule Chato.
Mleta mada ndicho alichojaribu kumuhadharisha Mbowe
 
Kwako Mwenyekiti wetu Mbowe, F.A. (MB-KUB)

Tunatambua wazi nguvu na jitihada na juhudi zako katika kuijenga CHADEMA licha ya msukosuko mkubwa wa mwaka 2015 pale Katibu Mkuu, Dr. W.P. Slaa alipojiondoa ndani ya chama kufuatia uamuzi wako wewe kumkaribisha ndani ya chama na kumpa nafasi ya ugombea urais, bila kushindanishwa, target yetu kuu dhidi ya vita ya ufisadi, Edward N. Lowassa. Yaliyotokea ni historia na hatuna haja ya kurejea tena. Licha ya UKUTA kuanguka vibaya sana pamoja na uimara wa Rais Magufuli katika kuiongoza nchi na chama chake (wahasimu wetu CCM), bado chini yako CHADEMA inasonga tu. Tunatambua kipindi kigumu ulichopitia cha kutoweka kwa msaidizi wako mkuu, Ben Saanane bila taarifa, lakini bado uko imara kabisa. Tunatambua uhsuishwaji wako na biashara ya mihadarati, ukwepaji kodi na kulipa mapango mpaka kuvunjwa kwa kitegauchumi chako hapo Bilcanas na madai ya kodi ya TRA. bado uko imara. Hiyo ni kwa uchache misukosuko unayopitia.

Sasa Ndugu Mwenyekiti kuna changamoto kubwa sisi makamanda tunaokijua chama, inakuja mbele yako. Nayo si nyingine bali ni uwepo wa Tundu A. Lissu. Tunatambua kuwa huyu ulimpatia nafasi ya kuja ndani ya chama na kuweza kugomeba ubunge wa Singida Mashariki mwaka 2010 nakuweza kuteteta tena mwaka 2015. Huyu jamaa si wa kumpuuza hata kidogo. Wote tu mashahidi jinsi alivyoweza kupata nafasiya kuwa Rais wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika licha ya kupitia vikwazo na misukosuko mingi sana. Historia yake na yako zinafanana kwa kiasi fulani ingawa yake ina uzito zaidi hasa ukizingatia kiwango chake cha elimu, uwezo wake wa kujenga hoja na uimara wa misimamo yake. Ni kweli chama kimepata kuwa na kina wasomi wengi kama Zitto Kabwe, Kitila Mkumbo, Baregu, Safari, Vincent Mashinji na wengine wengi wasio na majina. Ila huyu Lissu, Mwenyekiti Mbowe kuwa naye makini sana.

Tunaona jinsi ambavyo ameweza kujijenga na kujipatia wafuasi wengi ndani na nje ya chama, hasa pale alpoweza kushinda nafasi ya urais wa TLS. Kwa sasa anafanya diplomasia ya kukutana na Rais Magufuli kupitia nafasi yake ya urais wa TLS. Ameshakutana na kaimu Jaji Mkuu, ana mpango wa kukutana na Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Waziri wa Sheria, n.k. Yote hayo ni kupitia nafasi ya urais wa TLS. Wewe Mwenyekiti huwezi kupata nafasi hiyo kutokana msimamo wa Rais Magufuli kutotaka siasa mpaka 2020. Nafasi pekee uliyo nayo ni ya ubunge na bahati mbaya sana hakuna tena mambo ya bunge "live". Nini maana yake? Nitafafanua.

Maana yake ni kwamba Tundu Lissu kwa sasa ana nafasi kubwa sana ya kusikika na kujitangaz an hivyo kujijenga, kupitia urais wa TLS. Ameshatoa na anaendelea kutoa matamko ambayo ndani ya chama yanamjengea ufuasi mkubwa sana na nje ya chama. Mwaka 2018 ni mwaka wa uchaguzi wa ndani. Tayari Lissu ameanza kupigiwa chapuona vijana wengi agombee uenyekiti (Lissu awe Mwenyekiti CHADEMA na Lema awe Katibu)

Pia mwenendo wa vijana wa CHADEMA mtandaoni unalekea kumjenga zaidi Lissu kuliko chama. Kwa uchache tazama mabandiko haya:

Nampongeza,kumtia moyo na kumuombea kwa Mungu Mh.Tundu Lissu

Ni Tundu Lissu na wala siyo Lowassa kushinda Urais 2020 kwa UKAWA

Je, Tundu Lissu aweza kuwa Mwanasheria bora wa Afrika?

Hayo ni mabandiko machache tu. Sasa Mwenyekiti Mbowe, tunajua kiwango chako cha elimu na ujenzi wako wa hoja. Swali la kujiuliza ni kwamba Lissu akigombea uenyekiti, unaweza kumshinda kweli? Nimewaza na kuona jinsi ulivyoweza kuwazuia Marehemu Chacha Wangwe licha kuwa na ushawishi mkubwa ndani ya chama kipindi kile. Tunajua hakuwa na CV kama ya Lissu lakini alikuwa jasiri na mwenye ushawishi na kipndi hichi Lissu hakuwa ndani ya chama kivile. Akajaribu Zitto Kabwe. Huyu ana elimu kubwa na uwezo mkubwa kuliko wewe na kuliko Wange, pengine anashindana na Lissu.Lakini huyu ulimleta na kumkusa ndani ya chama

Kama wasemavyo waswahili, masikio hayazidi kichwa. Wote tuliona kilichompata alipojaribu kukupoka uenyekiti wako. Sasa yuko anahangaika na ACT yake. Tunajua ni kwa nini ni wewe tu lazima uendelee na uenyekiti wako. Chama unakijua vizuri sana. Wengine hawa kina Lissu, Zitto na wengineo hawajawahi hata kuweka senti kukijenga chama. Umetoa mengi kukjenga chama. Umezunguka nchi hii miaka mingi kukijenga chama.

Nakuuliza, je Mwenyekiti Mbowe, kwa kasi hii na uzito unaoongezeka wa Tundu Lissu, akisimama na kugombea uenyekiti, atakushinda?

Uko tayari kupambana naye? Una uwezo na sifa kama zake?

Je Lissue ana hela ya kukijenga chama?

Mwenyekiti Mbowe kuwa makini sana na Lissu.
Umetumwa na Empaya pombe iliopitwa na wakati.
Sasa ivi wenzako wanachangamkia Shujaa.
 
Naona Aliufanyia kazi ushauri wako!!
Nimegundua kwa nini uliamua kujiita jingalao, sio kwamba wewe ni mjinga kihivyo,bali uliamua kuwa hata ukileta propaganda mfu wakuone ni mjinga wao. Hii thread ya march umeenda kuifukua kuileta hapa ili iweje?
 
CCM ndiyo wanaenda kumalizia uchaguzi wa ndani.

Miye nausubiria huo wa CHADEMA 2018
 
Wewe ndio uliemponza Lissu.
Kumbe unajua yaliyompata Chacha Wangwe
Naongezea ya Aman Walid Kabourou
Hatujasahau ya Zito Kabwe na time take
Wako waliotoswa kwa kupingana Mbowe, kama Slaa
Huyu Lissu nae alipaswa kuangaliwa na kushughulikiwa kama hao waliotangulia
Mtoa post umemponza Kamanda
Ndio maana shambulio haliakisi weledi wa asasi zetu, hebu fikiria;
TISS,
TPDF,
POLICE,
SEAL/SPECIAL UNIT.

Naam tunajua ndani Vyombo vyetu tuna vifaa na vijana weledi kiasi cha kutoa jicho la MTU aliyeko umbali wa Mita 100...!!!
SNIPERS

Hapo bado hujafikiria alternative nyingine kama sumu au Chemicals za kisasa zinazoua taratibu
Lissu was the easiest man for the Government hand kumfikia
Kila siku anakamatwa na Police
Kila siku analala Lupango
Ukimpa sumu intakayomuua baada ya mwaka mmoja, hakuna ambaye angeshtukia...., wakati huo mnamuachia aendelee kubwabwaja wee..., nyinyi mnachukua ujiko ''siku hizi serikali imekuwa na uvumilivu sana'' - kumbe inajua ilichofanya.
Jaman Makamanda nasema kweli Mmemponza LISSU
Kwa nini lakini..!??
 
Nimegundua kwa nini uliamua kujiita jingalao, sio kwamba wewe ni mjinga kihivyo,bali uliamua kuwa hata ukileta propaganda mfu wakuone ni mjinga wao. Hii thread ya march umeenda kuifukua kuileta hapa ili iweje?
Msuguano wa kugombea madaraka ndani ya Chadema siku zote Huwa unaleta victims sometime fatalities
 
Nimegundua kwa nini uliamua kujiita jingalao, sio kwamba wewe ni mjinga kihivyo,bali uliamua kuwa hata ukileta propaganda mfu wakuone ni mjinga wao. Hii thread ya march umeenda kuifukua kuileta hapa ili iweje?
Ulitaka hii thread tuifufue lini?
Jana niliwaona mnamquote mwalimu sana...na kuna quote moja hivi inasema

"TUSIYAKIMBIE MATATIZO KWA KUJIDAI HAYAPO"

Rejea kwenye mada mkuu!
 
Back
Top Bottom