Mwanagandila
Senior Member
- Oct 9, 2011
- 182
- 100
Ilikuwa ni furaha na vifijo na nderemo ndani ya viwanja vya ustawi wa jamii, umati mkuvwa ulijitokeza kuwapa sapoti wasanii wanaodai maslahi kupitia sanaa yao ya music, Vinega walipiga show kali kiasi kwamba kila alikidhika na kiingilio alichokitoa, sugu alikamua na kuwarusha raia ile sana, mapacha, soggy, adili, rama d na wasanii wengine wengi kuanzia mwanzo hafi mwisho wa shoo saa 7 usiku ilikuwa ni bandua.
Na mwishoni wakati sugu akiimba mbunge wa ubungo John Mnyika na Mbunge wa Ilemela Hynes Kiwia walijumuika jukwaani kucheza na kumpa sapoti Sugu, mh Mbowe mbunge wa hai naye alihudhuria na kuomba vyombo vya usalama viongeze mda kidogo sugu na vinega waendelee kutoa mistari toka saa 6 mpk saa 7 show ilopoishia kitu ambacho wapenzi wa music walifurahia sana.
Kwa kifupi sugu na vinega wamefanikiwa coz raia waliitikia wito na kujitokeza kwa wingi kuwapa sapoti wazawa!
Scanning complete one virus found, ruge
Muhuni bibi yako na ndugu zako wooote...hapo na wewe utakuwa umezaliwa kihuni na utakao wazaa wote watakuwa wahuni kwahiyo uzao wako ni wakihuni pia,Watch your ass before saying somebody's ass is ....!!You can mention there..Lazma wampe sapoti muhuni mwenzao.
kuna misanii mingne kama ming'ombe au mikondoo waliitwa na sugu kwenye kumpa sapoti ya kudelete virus, kwa woga wao na uelewa mdogo pamoja na elimu ndogo wakakubli kutoa utu wao na kwenda kwa ruge kujiunga na vile vitoto vya THT,aibu yao yan unanyonywa tangu ukiwa underground ukiwa na uelewa mdogo mpaka unakuwa mtu mzima bado unaogopa kusimama na kukemea unyöyaji shame on you..jmoo,sele,kalapina,na wengneo wasiojua haki zao
lazma wampe sapoti muhuni mwenzao.
Ilikuwa ni furaha na vifijo na nderemo ndani ya viwanja vya ustawi wa jamii, umati mkuvwa ulijitokeza kuwapa sapoti wasanii wanaodai maslahi kupitia sanaa yao ya music.
Vinega walipiga show kali kiasi kwamba kila alikidhika na kiingilio alichokitoa, sugu alikamua na kuwarusha raia ile sana, mapacha, soggy, adili, rama d na wasanii wengine wengi kuanzia mwanzo hadi mwisho wa shoo saa 7 usiku ilikuwa ni bandua.